kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
kamikaze ilikuwa hatari sana kwao, hakuna mtu ambae hakuchanganyikiwa pale, nchi inalipuka kama mzaha.Jamaa keshakimbia kichapo tayar [emoji4]
kamikaze ilikuwa hatari sana kwao, hakuna mtu ambae hakuchanganyikiwa pale, nchi inalipuka kama mzaha.Jamaa keshakimbia kichapo tayar [emoji4]
Mkuu hizi drone Russia hua anazirusha mtindo wa swarming, yaani anarusha drone nyingiii hata 50 (kama alivyofanya juzi) kwa wakati mmoja hivyo si rahisi kwa Ukraine ambayo haina air defenses za kutosha kuzitungua zote lazima nyingine zitapenya.Hivi vi drone wameshavipatia havivuki sasa hivi vinakaangwa tuView attachment 2391959
Mkuu je unashangaa ukiona wale wa West wakisubiri tu kila nafasi kuthibitisha Iran inasema uwongo na kuongeza vikwazo? (maana walisema hatumi silaha...) . Kuhusu machozi nyuma ya pazia sina maarifa.ukiona wakuu wanaitisha vikao vya dharula na kuweka vikwazo kwa iran, ujue machozi mingi nyuma ya pazia, kuhusu evidence itakuwa vingumu sana cause labda ukraine wenyewe watoe hizo video na picha kitu ambacho usitegemee kifanyike kisiue morale ya wapiganaji
hayo mashimo mingi unaona ingine imechimbwa na anti missiles zikikosa sambaha lazima kuna mahali zinaanguka. so ukraine will always show you what they want you you see or hear. He who controls the media controls you
Wanadai zile air defense za marekani hazioni juu kwa hiyo kombola likitokea juu haioni kabisaa yenyewe sijui inazuia yanayotokea chini kuja juu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Toka wale wanamgambo wa Houth kutoka Yemeni kuchapa visima vya mafuta vya saud while walikua na air defense za gharama sana kutoka US. Pale pale wafalme waligundua walikua wanatepeliwa na mwana US...
Kwa miaka mingi USA aliwafanya Saud kama mafala, amewagombanisha na syria, Yemen na majirani wengine...sasa wanamkataa kimtindo. Aibu kwa mashoga
Hahahaha sasa hivi mnashangilia Raia kuzikwa wengi kwenye kaburi moja zile shangwe za referendum zimeisha[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Putin si alisema atakaeshambulia maeneo yaliyojiunga na Urusi atakua ni sawa kashambulia RF,na atatoa jibu Kali ikiwemo nyuklia [emoji23]...Imekuaje tena?!Ameamua kuwaondoa eneo Hilo,watakaozikwa ni wanamgambo wa Ukraine!Ila this time hamtawafukua Maana hamtapata fursa hiyo!
Na huyu mjamaa mwenzenu mnamzungumziajeHuh mara oooh USAID wanawejengea vyoo, mara oooh mnapewa msaada wa Net na 'ndom'. Haya sasa [emoji90]
View attachment 2392031
The fight between Russia and Collective West it's a fighting between 'Good' and 'Evils'... Kila mmoja kwa nafsi yake anajua aliko egemea.
Team Pro Russia... Popote mlipo... Stay safe buddies [emoji2772].
Wanashangilia mass grave huku wakilaani udhalim unaofanywa na NATO..,Hawa jamaa wengi wao Wana mtindio wa ubongo [emoji848]Hahahaha sasa hivi mnashangilia Raia kuzikwa wengi kwenye kaburi moja zile shangwe za referendum zimeisha[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Putin si alisema atakaeshambulia maeneo yaliyojiunga na Urusi atakua ni sawa kashambulia RF,na atatoa jibu Kali ikiwemo nyuklia [emoji23]...Imekuaje tena?!
NATO ndo wanapigana na Russia, hii inaweza fanya Russia atumiye nguvu zaidi na uharibifu mkubwa wa miundombinu na maisha ya binadamu.Baba hakuna Cha kasoro wala udhaifu katika jeshi la Urusi.
Jeshi ni imara sana.
Nguvu anayopambana nayo Urusi ni nguvu kubwa mno ambayo hakuna nchi duniani iliwahi kupambana nayo.
Unajua vitani ni kama mchezo mmoja wa hatari hivi,wewe kama jeshi ukipanga hivi ujue wenzako wanatrack au wanadukua mipango Yako,ukienda kujificha sehemu Fulani tayari maadui zako wanazo taarifa zote kwa hiyo wanakutibula,na ndio unashambuliwa na ikibidi unarudi nyuma.
Ukraine kama Ukraine uwezo wa kumsoma ama kumdukua ama kumtrac Urusi Hana,narudia Tena Hana,uwezo huo anasaidiwa na nchi nyingi mno.
Baba usiziharau nchi za NATO ziko juu mno katika ulimwengu wa mawasilaano Ujasusi vita na mambo yote.
Hao ndio wanampa sapoti Ukraine.
Na wao NATO wanajua kabisa bila wao Leo hii Ukraine ingeshakamatwa yote.
Ila hata wao wanaujua mziki wa Urusi maana kwa umoja wao wanashangaa ni jinsi Gani Urusi anavyowamudu.
Baba tumeongea mifano na mifano humu,tumeshachoka kurudia.
Kama Leo hii Ukraine Ingekua inapigwa let say na Iran pamoja na Syria hata na Libya kwa pamoja,NATO wangeingia mazima.
Hofu ya NATO wala sio nyukilia za Urusi TU,Urusi Ina uwezo mkubwa mno kijeshi.
Urusi inaweza kuangamiza satellite za nchi zote za west wanazotegemea ,hii sio technology ndogo hata kidogo.
Kwa mapenzi makubwa walioonyesha west kwa Ukraine Ingekua Ukraine inapigwa na nchi hizo nilizozitaka nadhani NATO wote wangeingia vitani,lkn hawajafanya hivyo kwa Urusi.
Ni kweli Urusi anapata upinzani huko Ukraine lkini sio kwa ubavu wa Ukraine ni ubavu wa NATO TU.
Ndugu yangu naomba nikuambie jambo moja,hakuna nchi duniani tangu kuumbwa kwa Dunia hii iliyowahi kupata misaada ya Hali ya juu ya kijeshi kama inavyopata Ukraine Leo hii.
USA siku zote akipigana wapinzani wake hawakuwahi kupata misaada mikubwa namna hii.
Hivyo huo unaousema ni udhaifu wa Urusi sio udhaifu Bali ni nguvu kubwa anayokutananayo Urusi huko vitani kutoka west
Huu mnaoita udhaifu kwa Marekani upo mwingi TU,sema hamkuweza kuuona.kwa sababu Marekani amekua akipigana vita nyiepes mno,Tena na nchi zisizokua na msaada wowote.
Mfano,Iraq,Libya, Afghanistan,na Somalia.
Hizi ni nchi dhaifu mno kijeshi kwa jeshi la Marekani.
Sasa kwa nchi hizi mnaweza kiwaona kama USA Wana mipango mizuri vitani,lakini si kweli ni kwa sababu wanapiganaga na nchi zenye uwezo mdogo na zisizo na misaada.
Mfano mdogo tu.
Marekani, uingereza na Ufaransa wakishirikiana na waasi waliokua wanampinga Assad wa Syria walitaka kumng'oa Rais Assad wa Syria,lkn Urusi ikishirikiana na Iran walipoinngilia Assad mpaka Leo Yuko madarakani.wakati ilibaki Allepo na Damascus TU Assad atolewe.
Nimechoka mazee.!
Printing money ya Federal reserve sio sawa na ya Russia au BOT, huelewi bado go educate yourselfHujui mambo ya kiuchumi. Unadhani Debt linaliowa kwa dollars!?
Hebu soma hapa kidogo upate akili
Often, I hear this idea that we should just print more money. In the face of growing inflation and a rapid decline in supplies, printing money seems like a magical solution to make everyone wealthy and eliminate poverty. Everyone would have more money and therefore be more affluent, right?
In actuality, printing money is contrary to the most basic principles of economics. Economics is based on the idea of supply and demand. If we printed more money, there would be an artificial overabundance of demand – money – but the supply of goods would not increase at the same rate.
What results is dangerous inflation. Prices would increase to a level where the newfound money would be worthless.
This situation has happened time and time again throughout history.
After World War I, the Weimar Republic established in Germany printed ridiculous amounts of money to deal with their financial crisis. The German mark, their form of currency, became so worthless that people would use it as wallpaper and firewood because the currency was cheaper than those goods. One loaf of bread cost half a mark in 1918, but the price rose to 200 million marks by 1923.
More people had money to buy things, but there was only so much supply, so prices increased. The newly-printed money they found lost value and did not allow for everyone to buy goods.
The consequences are clear: printing money drastically raises prices and lowers people’s purchasing power and savings.
Even today, with gas prices and everyday items at extreme highs, printing money and dispersing it into the pockets of consumers would raise the supply of money yet also raise the prices. The money would become useless.
People don’t just magically become wealthy. The U.S. dollar is a piece of paper. It is not backed by a precious metal like gold or silver.
A new idea in economics, according to Investopedia, is that of Modern Monetary Theory (MMT), the belief that a well-established government like the United States can print money or take in excessive amounts of debt to operate the government.
Congresswoman Alexandria Ocasio-Cortez, who has an economics degree from Boston University, appeared to advocate for MMT when she said the United States should “break the mistaken idea that taxes pay for 100 percent of government expenditure,” instead supporting deficit spending.
With a national debt at almost $29 trillion, the United States seems to have turned to MMT. It is impossible for our country to pay that back. America’s spending spree began in the 20th century starting with Woodrow Wilson all the way to Donald Trump, and the trend will continue with President Biden.
The United States’ financial practices have been incompetent, and printing money is a way they have exercised this ignorance. Despite politicians’ efforts to create an economic utopia where everyone has money, it is futile and, characteristic of a utopia, unattainable.
Poverty can never be eliminated. There will always be people with higher purchasing power than others. Printing money cannot eliminate this gap because the economic consequences of printing money is not an increase for financially stable people, it is higher prices and inflation.
The old saying stands true “Money doesn’t grow on trees.” The United States is operating under dangerous financial practices. “Why don’t we just print more money?” is a hazardous question.
Hii Vita ikiisha basi Iran,China na Korea kaskazini watakuwa wamepata tech nyingi Sana za silaha za ulaya Kwa ujumla wake, ndiyo maana Israel imewaonya ulaya kuwa hizo silaha wanazopeleka Ukraine zitakuja kuwapiga siku mojaGive the meaning of "the so called Ukraine"... Litakuwa swali la Paper la UE in Diplomasia mnamo 2050.
So unamaanisha anamnanhiii mtoto wa Raisi 😂.
Bro we hautaki msaada mmmh? Hautaki matundu ya vyoo mjengewe kijijini kule ha ha ha.
Matokeo ya uharibifu wa mitambo ya Umeme hauwezi kuona kwa sasa lakini kadiri siku zinavyo songa ndio utaanza kujua Urusi ilikuwa inamanisha nn.Mkuu asante kwa maneno ya hekima.
Nirudie: bado namsubiri yule atakayenionyesha athira ya droni hizo kwa maendeleo katika mapigano... Ilhali droni zinaleta kelele na ifo kadhaa kwenye miji ya Ukraine, nasikia pia kwamba Warusi wameanza kuondoa ofisi zao huko Kherson.
(Nilimsikia pia yule wa Ukraine akisema wako mbioni kufanya ukarabati. Tutaona watafika wapi . . .)
Huoni Hali zao ni mbaya kiuchumi?Putin akisema anatenda Kweli kabisa, maana tunaona wazi anavyowashughulikia vyema wale wanaoingilia vita yake huko Ukraine [emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kuwa wewe ndiye unayejiaibisha....mimi nimesema hapa kuwa huyo Jeneral alisema hivyo ---sasa sijui wewe unabisha nini...Halafu just use your common sense....Unadhani askari wa NATO hawapo Ukraine???!!! For your information NATO wapo pale Ukraine lakini kama mercenaries kwa maana hawajavaa uniform za NATO...mipango yote ya Ukraine inaratibiwa na maafisa wa NATO...askari wa Poland ndio waliojaa huko Ukraine wakijifanya kuwa wamekuja wenyewe bila serikali yao kujua...Nyie jamaa hamjielewi na mnaandika uongo humu ,Kwani kuna NATO troops zinazopigana on the ground hapo Ukraine ? , mbona mnajiaibisha hivyo , Majeshi ya Ukraine ndio yapo kwenye battle field ,NAto wao wanasupport trainings za wanajeshi WA Ukraine zinazofanyika pale Poland ,UK na USA pia kusupply military hardware basi ,yaani NATO wawe na military boots on the ground mngekuwa mnaongelea vita sasa hivi ? ,Hivi mnajua NATo ni nini kweli ninyi au mnaandika Tu kujifurahisha hapa ?
Bila shaka mkuu makombora na ndege zisizo na rubani zimemuogofya.Kala Kona 😂😂😂😂😂😂