mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,744
Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake[emoji635][emoji3575][emoji573][emoji636]The British Ministry of Defense alleges that a Russian fighter fired a missile at a British military aircraft over the Black Sea on September 29 "by mistake."( RC-135W is a spy plane Ben,and what was doing there?)
Russia said that it was a "technical malfunction"
Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022
Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na kumtaka ajiuzulu