Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa punguza matusi [emoji304][emoji2524]‍[emoji304][emoji1300][emoji129]
Naona unatangaza biashara yako kuuza mtaro WA majitaka na bendera zako hizo za rainbow , unatafuta basha WA kukufukua mtaro sio ?
 
Acheni Babu Putin achanganyikiwe[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ Scholz: Germany to train 5,000 Ukrainian soldiers by spring.

The training will take place as part of the Military Assistance Mission in support of Ukraine, which aims to prepare about 15,000 Ukrainian soldiers, AP reports, citing German Chancellor Olaf Scholz.

"With this, we are underlining our readiness to participate in the long-term building of strong Ukrainian Armed Forces, hand in hand with our partners," said Scholz.
 
Urusi imebakiza vitongoji vichache kuchota kupyansk yote Jana waliteka mji wa gorobiviek
KILA wakijaribu ku break diffensive line wanatuachia VICHWA 200 au zaidi na tuvifaru tano au sita na tugari vita tutatu. Mtego mwingine ni kinu cha nuke KILA wakitaka kukiteka vinabaki VICHWA 100 au 150 boti kadha zinazamishwa na hawaachi huo ujinga
 
1666277610511.png

Kwanza nicheke
 
US walivyokua muflis sasa
Halaf atakuja mtu hapa aisifie US kama katumia mwezi mmoja

HAITI kanchi kenyewe kamefulia kale kako shaghla baghala

Hata uongozi wao wandani tu mtihni

Ila acha tuone
Mwezi mmoja hapana mkuu, wale wanafanya money laundering ya aina ake. Wanazivuna pesa kutoka kwa walipa kodi katika njia kama hizo. 1 month not enough kujaza matumbo yao.
 
Ndio Maana nimeamua kutumia browser,Maana app hata ukimblock akija kua quoted tu then ujinga wote utaona Kama ulivyo.Nimeyablock ma BOTS zaidi ya 80 huko.Naenjoy kiukweli.
Mkuu kwenye hii league nimekuacha point nyingi 😂, mimi nimewafungia kama 100+ hivi. Soon nitahamia kwa Pro Russia wenzangu wanao endeshwa na mihemko.

snapshot_www.jamiiforums.com_1666277872855.png


Hiyo list nzima imetoka kwenye huu uzi asalaleee
 
Wapuuzi nyie nyote mnaoshadadia vita Russia or Ukraine kwani kwani kwenu huku Acha wamalizane kabisa . Toilet paper ya kufutia mikundu yenu inawashinda . Wadanganyika mlo mmoja shida . Mnakuja kujaza matope hapa . Mngekuwa na akili za kupigana HAYA MATOZO tungeshinda , tuacha huu makumaku wa Russia . Maanina kabisa .
 
Ameshindwa sasa kuitoa hiyo regime, hana akili ndio maana alishindwa kupata ushawashi wowote Ukraine FSB ikazidiwa na CIA.
Angepandikizaje watu Ukraine mkuu,remember that is a sovereign nation,sio rahisi kihivyo.Na pia unaona ange eliminate vipi hao watu in a smart way.Again remember Ukraine is an independent nation na CIA,MOSAD na MI6 nao wamo humo.Mimi naamini Putin alishafanya attempts zote hizo ulizo suggest,ila ameona kwamba the most feasible alternative is to get rid of the regime once and for all.
 
Hivi kwani badala ya kutukana ama kutukanana mtu akiamua kuchagua wa kuzungumza nao anapungukiwa nini?

Kwani ni lazima ku-reply kila post ya mtu kwenye hii thread? Mbona tunakua hivi lakini mmh?

Hasira za nini? Ugonvi wa nini?

Kwanini isiwe wale wana yao na sie tuna yetu kila mtu atizame upande wake?

Hata kama ni kueleweshana, tunaeleweshana nini ambacho kitam'badili mtu mtizamo wake na mahaba yake ikiwa miezi almost mi8 imepita na ameamua kua hivyo alivyo?

Binafs nakereka sana, na ningeomba niwasemee wengine wanaopita kimya kimya.

Una-scroll alot of text zimejaa matusi tupu, unaamua ku'ignore halafu unakuta uliyemtia block kuna jamaa pro' upande ulipo kam'qoute wanajibizana utumbo tu. What for? Kwani kumchunia mtu ambae hayupo tayar kwa hoja kuna uzito gani mmh?

Pro-Russia baadhi kwenye hii mambo mna'fail vibaya. Naamini siku ikipita bila ku'qoute or replying text ya Pro BOTS hampungukiwi kitu.

Tupeane break wadau.

Ipite walau siku basi tuishie kupeana taarifa yanayo jiri ila sio matusi mnayopeana ajab zaidi hamjuani zaidi ya maandishi yenu kweye jamvi.
Wengi naona hawalielewi hili unamuignore tu unapita
 
Mkuu kwenye hii league nimekuacha point nyingi 😂, mimi nimewafungia kama 100+ hivi. Soon nitahamia kwa Pro Russia wenzangu wanao endeshwa na mihemko.

View attachment 2392948

Hiyo list nzima imetoka kwenye huu uzi asalaleee
Nilidhani ninatisha Kumbe ninafanya Mzaha Kwny block aisee 😁😁,aione mkuu Qibsyl ili ayashughulikie vzr ma BOTS.
 
Back
Top Bottom