Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh!! siamini kwamba warusi hawachoki kupukutika kila siku namna hii.., yule dikiteta Hana budi kudhibitiwa mapema iwezekanavyo🥱
1673252769191.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Axel Lloyd
Nyie wakuu muko na shida sanaa sisemi kama RUSSIA kaua majeshi ya UKRAINE kama anavyodai
Ila nashangaa kusema kua wanajeshi wake 80+ wamekufa acc to MOD wao mnakubali kwamba wamekufa tena zaidi
Ila chakushangaza zaidi mnakataa habari ya huyo huyo MOD wao kuwa kuna wanajeshi 800s kua wameliwa kichwa

Ila sawa [emoji16]

MKUU T14 Armata RUSSIA anapigana vita anavyoona yeye inafaa na anapunguza hasara haimaanishi kwamba hata zipata

Unasema kwamba UKRAINE walipewa mifumo ya ulinzi baada ya muda kadhaa wa SMO kuanza wewe na aliekua kansela wa GERMAN angela markel yupi yupo sahihi kwamba jeshi la UKRAINE lilianza kupewa misaada na kunegotiate ile MINSK agree ili waunde jeshi lakukabiliana na RUSSIA huko mbeleni unajuaje kama hawakupewa AD huko nyuma!!?

RUSSIA anaulazima gani wakupeleka bombers ndani ya UKRAINE akijua kua ni risk pia akijua kua anauwezo wakuhit target bila kuingia ndani ya UKRAINE

Mnasema kwamba RUSSIA hajamiliki anga la UKRAINE ili anga imilikiwe tupeni fact inatakiwa iweje ndio tukubaliane kwamba anga imemilikiwa na RUSSIA kwamba lazima wapeleke bombers ama lazima wafanye nini!!?

Tunasema RUSSIA anamiliki anga ila sio kwa 100% sababu kila leo RUSSIA anapiga kupitia angani huko UKRAINE akiamua licha yakua jamaa wamepewa AD zakutosha ila bado wanataka wapewe patriot ingawaje napenda wapewe THAD tuone ufanisi

Kitendo cha UKRAINE kuomba patriot mnatakiwa mujiulize anaomba kwaajili ya nini kama anga lake halijamilikiwa pakubwa na RUSSIA

Mwisho tunaomba mututajie majiji yapi ya UKRAINE ambayo yamesalimika na mashambulio ya anga ya RUSSIA kwasababu tu RUSSIA haijamiliki anga lake wapi KHARKIV SUMY LIVIV KYIV DON BASS au wapi!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gadaff walimuwekea No fly Zone.nashangaa kwa nini awamuwekei Urusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mimi nakushangaa zaidi wewe unaeshindwa kuelewa logic ndogo hivo?

Habari ya Ukraine kuua wanajeshi wa Russia ilitangazwa na MOD ya urusi wakakiri wazi na ushahidi wa jengo ulikuwepo tena limeisha lote.

Habari hii ya juzi imetolewa na MOD ya Russia kupitia chombo chake RT hakuna upande mwingine ulioripoti hiyo habari tena ukiangalia picha ya damage ya jengo lenyewe haifananii na kuuwa watu 600.

Mkuu samahani hivi ni kweli huoni tofauti ya hizi habari 2 au kuna walakini kwenye reasoning yako?
 
Kwenye jengo unalosema lilioneshwa na MOD wa RUSSIA umepata ushahidi gani kwamba walikufa watu 89 nje yakuona hilo jengo

Kuona jengo limelala lote ndio inatosha kusema kwamba wamekufa watu 80s

Pia naukukumbusha UKRAINE walisema wameua 400 kwenye shambulio lile

UKRAINE na RUSSIA yupi alikua sahihi kwakuangalia ushahidi ulosema wa jengo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nakushangaa zaidi wewe unaeshindwa kuelewa logic ndogo hivo?

Habari ya Ukraine kuua wanajeshi wa Russia ilitangazwa na MOD ya urusi wakakiri wazi na ushahidi wa jengo ulikuwepo tena limeisha lote.

Habari hii ya juzi imetolewa na MOD ya Russia kupitia chombo chake RT hakuna upande mwingine ulioripoti hiyo habari tena ukiangalia picha ya damage ya jengo lenyewe haifananii na kuuwa watu 600.

Mkuu samahani hivi ni kweli huoni tofauti ya hizi habari 2 au kuna walakini kwenye reasoning yako?
Wala usisumbuke kuwaelezea mkuu, Russia wenyewe wanaujua huu ukweli kwamba hii ni habari ya kupikwa tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akitoroka mapigano na toroli lake huko Bakhnut baada ya Russia kushusha mvua ya motoView attachment 2473816

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Cheki wavietnam wa kirusi wanavyo kufa
Screenshot_20230108-064201_InstaGold.jpg
 
Back
Top Bottom