Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uliwahi kutoa maelezo mazuri sana jinsi warusi walivyopewa kichapo kikali walipojaribu kuparamia hostomel airport.., tatizo lenu mnachokiongea Leo na kesho ni tofauti,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tuanzie kwanza pale mliposema kuwa Urusi awezi vamia Ukraine
 
Jaribio la kwanza kuteka Hostomel Antonov airport lili fail sawa,, na hiyo ilikua ndo first target,, Russia walipull back, wakajikusanya na kuuteka tena huo uwanja
 
Ushahidi wa kwanza ni mapinduzi ya ukraine 2014,, mapinduzi yalikua sponsored na US,, lengo ni kupachika kibaraka wa west, nchini ukraine,, akishashika nchi,, angeamuru Russian Navy iondoke crimea,,
Hiyo Navy base ni kubwa na the only Russian warm water Navy base, na iko very strategic kwa usalama wa Russia,
Hilo ndo lilipelekea, Russia kuamua kuichukua crimea, siku chache tu baada ya mapinduzi,
Baada ya hilo,, NATO walianza kujiingiza ukraine, na kutoa misaada ya kijeshi na silaha na pia mafunzo,
Kwa ufupi US na washirika walikua wanaiandaa ukraine, kuwa Launchpad ya proxy war dhidi ya Russia,
Walichofanya Russia ni ku pre empty,
Japo ni kama tayari walikuwa washachelewa mno
Putin anataka ardhi.
 
Tuanzie kwanza pale mliposema kuwa Urusi awezi vamia Ukraine
For weeks, Russian officials and commentators had strongly denied that the country was planning an attack on neighboring Ukraine. At points, they ridiculed such claims from the United States and its allies as “hysteria” and “fairy tales.”
 
Tuanzie kwanza pale mliposema kuwa Urusi awezi vamia Ukraine
Huwezi kunionyesha coment yangu popote nikisema urusi hawezi kuivamia Ukraine..,waulize hao waliosema hivyo,
Lakini Kwa jinsi Hali inavyoendelea inaonyesha wazi kwamba urusi kuivamia Ukraine lilikuwa ni kosa kubwa sana la kimkamkati, kama alivyokiri pro Russia mwenzio hapo juu. Elungata .., kwamba pamoja na kwamba Russia alifanya pre-emptive strike dhidi ya Ukraine,ni kwamba alikuwa tayari ameshachelewa sana kwa kuwa Ukraine na washirika wake wa West walikuwa wameshajidhatiti dhidi ya uvamizi huu
Kwa kuzingatia maelezo hayo wale waliokuwa wakisema kwamba Russia hatoivamia Ukraine walikuwa sahihi maana huenda waliona wazi kwamba Hilo litakuwa ni kosa la kimkamkati hambalo urusi Kwa intelijensia yake makini hawezi kulifanya

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
For weeks, Russian officials and commentators had strongly denied that the country was planning an attack on neighboring Ukraine. At points, they ridiculed such claims from the United States and its allies as “hysteria” and “fairy tales.”
Jibu mujalabu kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kunionyesha coment yangu popote nikisema urusi hawezi kuivamia Ukraine..,waulize hao waliosema hivyo,
Lakini Kwa jinsi Hali inavyoendelea inaonyesha wazi kwamba urusi kuivamia Ukraine lilikuwa ni kosa kubwa sana la kimkamkati, kama alivyokiri pro Russia mwenzio hapo juu. Elungata .., kwamba pamoja na kwamba Russia alifanya pre-emptive strike dhidi ya Ukraine,ni kwamba alikuwa tayari ameshachelewa sana kwa kuwa Ukraine na washirika wake wa West walikuwa wameshajidhatiti dhidi ya uvamizi huu
Kwa kuzingatia maelezo hayo wale waliokuwa wakisema kwamba Russia hatoivamia Ukraine walikuwa sahihi maana huenda waliona wazi kwamba Hilo litakuwa ni kosa la kimkamkati hambalo urusi Kwa intelijensia yake makini hawezi kulifanya

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tusubiri tuone mwisho wa siku nani atashinda Ili tujue kama yalikuwa makosa au sio makosa!
 
Hakuna ushahidi wowote kuwa Ukraine walikuwa na mpango wa kupata silaha za maangamizi ili kuhatarisha usalama wa Urusi.

Lengo la uvamizi ni tamaa ya Putin kujitanua zaidi kwenye nchi zilizowahi kuwa himaya ya Ussr na kuionyesha dunia ubabe na nafasi ya Urusi, Ila ndio hivyo kakosea hesabu.
Umezungumza Kama mshauri wa Biden pale White House...the same old lies...Don't you know kwamba Ukraine ilikuwa pia inahifadhi silaha za nyuklia za iliyokuwa USSR?! Don't you know Ukraine imekuwa ikijilaumu kwa kuzikabidhi silaha hizo kwa Russia na kwamba hivi Sasa inajilaumu kwa kufanya hivyo?! Don't you know kuwa Ukraine ilikuwa mbioni kuenrich kisirisiri vinu vya nyuklia kwa maana ile mitambo ya umeme ya nyuklia ili kutengeneza silaha za nyuklia?! Unadhani kwanini miongoni mwa objectives za Russia kwenye hii SMO ilikuwa ni kuteka mitambo ya umeme ya nyuklia?! Pamoja na Ukraine kuwa na silaha za nyuklia wakati wa kuvunjika Soviet Union nchi hiyo pia ilikuwa ni kituo mojawapo Cha bombers za TU-160 ambazo hawakuzirudisha zote kwa Russia ..Hao wapumbavu wa Ukraine walizikabidhi baadhi ya bombers hizo Marekani ili kufanyia analysis ya technology...Lakini Hao USA pamoja na kuzivunjavunja bombers hizo kuwa vipande vidogo vidogo inaelekea Wamarekani walishindwa kupata walichohitaji....TU-160 ambazo Sasa zimekuwa modernized zimeendelea kuwa tishio kwa NATO nzima....
Nyie pro-NATO msituletee upuuzi wenu humu mkidhani watu hawajui what is going on.......mnapiga kelele Sana humu as if NATO ndiyo Kila kitu....Wapuuzi Fulani huwa wanazungumzia hata ile convoy iliyokuwa imejipanga Kama inaelekea Kiev kuwa eti ilikuwa wiped off na Ukraine....yaani Wapuuzi wachache wa JF ndio wanaodai na kuuliza kwa kejeli kuwa ule msafara wa Russia uko wapi? Lakini NATO na west pamoja na propaganda zao hawajawahi kuzungumzia msafara huo kuwa uliteketezwa...msafara ule ulirudi Belarus ....ila Sasa inaelekea for real front nyingine inaanzishwa huko mpakani mwa Belarus na Ukraine ambako majeshi ya Russia na Belarus yamejipanga kuingia Ukraine na kusonga mbele for real Hadi Kiev...Tayari imeshatangazwa kuwa kutakuwa na mazoezi ya kijeshi yanayohusisha Russia na Belarus katika eneo hilo kuanzia siku chache zijazo...zaidi ya Askari 70,000 wa Belarus watahusishwa huku Russia ikiwa idadi haijawekwa wazi...Tusubiri tuone Kama kweli hayo ni mazoezi au ndiyo game ya kumaliza sakata hili..
Halafu nyie watu acheni kuimba nyimbo za West bila kuelewa...Kila Mara kwenye maandishi utaona Putin, Putin, Putin etc...you are personalizing the conflict ionekane kuwa tatizo ni Putin na siyo Russia.....For your information huko Russia Kuna Hawks kuliko huyo Putin ambaye baadhi ya warusi wanamuona ni mpole mno...
 
Lakini ukraine, alijitakia ,, putin alijitahidi sana kumuomba wakae waongee tofauti zao, zelensiky kwa kupewa kichwa na US, akawa anamjibu shombo, na akaanza process za kujiunga NATO,,
Russia atavuruga hiyo nchi, na hawatakuja kusahau maisha yao yote
Unaongeaje na Mtu ambae amechukua ardhi ya nchi yako kibabe?! Nani atakubali huo upuuzi, Zelenksy ameingia madarakani kipindi Russia imeshaichukua Crimea wakati huohuo inasapoti waasi kule Donbass.
 
Hawakujaribu kuiteka kiev, baada ya kuteka uwanja wa ndege, kulikua na convoy ya km 40 nje ya mji wa kiev, kwa mda wa takribani wiki nzima, ile convoy imesimama tu, hadi west wakawa puzzled,, lakini ukweli ni kuwa hapakuwa na mapigano ya kujaribu kuteka kiev,,
Amri ilitolewa ile convoy ikarudi beralus,, japo kuna tukio moja tu, kuna sehemu convoy ilikua ambushed, tukio moja
Kwahiyo wale paratroopers na spetsnaz waliokua wanashuka Kiev walienda kupiga picha eeeh?! Ukweli ni kwamba Russia ilijaribu kuiteka Kiev lkn baada ya kichapo kitakatifu wakaona Ngoma ngumu wakageukia kusini mwa nchi
 
,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kanali wa Ukraine kavunjwa shingo jioni hii na vikosi vya Russia
Screenshot_20230109-195103~2.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Don't you know kwamba Ukraine ilikuwa pia inahifadhi silaha za nyuklia za iliyokuwa USSR?! Don't you Ukraine imekuwa ikijilaumu kwa kuzikabidhi silaha hizo kwa Russia na kwamba hivi Sasa inajilaumu kwa kufanya hivyo?!
Hiyo yote sababu ya huu uvamizi ..Kama wangebaki na hizo silaha wasingevamiwa.
Don't you know kuwa Ukraine ilikuwa mbioni kuenrich kisirisiri vinu vya nyuklia kwa maana ile mitambo ya umeme ya nyuklia ili kutengeza silaha za nyuklia?!
Sio kweli boss, hata mvamizi (Urusi) hakusema haya.

Pamoja na Ukraine kuwa na silaha za nyuklia wakati wa kuvunjika Soviet Union nchi hiyo pia ilikuwa ni kituo mojawapo Cha bombers za TU-160 ambazo hawakuzirudisha zote kwa Russia
Kwani walikubaliana kukabidhi kila kitu kwa Urusi ?....

Hao wapumbavu wa Ukraine walizikabidhi baadhi ya bombers hizo Marekani ili kufanyia analysis ya technology...Lakini Hao USA pamoja na kuzivunjavunja bombers hizo kuwa vipande vidogo vidogo inaelekea Wamarekani walishindwa kupata walichohitaji
Kama ni kweli walizivunja sio rahisi kukosa kitu, labda ungesema hawakuona kipya cha kujifunza.

....Wapuuzi Fulani huwa wanazungumzia hata ile convoy iliyokuwa imejipanga Kama inaelekea Kiev kuwa eti ilikuwa wiped off na Ukraine....yaani Wapuuzi wachache wa JF ndio wanaodai na kuuliza kwa kejeli kuwa ule msafara wa Russia uko wapi? Lakini NATO na west pamoja na propaganda zao hawajawahi kuzungumzia msafara huo kuwa uliteketezwa...msafara ule ulirudi Belarus ....
Kwanini Sasa ule msafara ulirudi Belarus ?...lengo lake lilikuwa lipi Sasa ?...hilo lengo lilifikiwa ?

Axel Lloyd dudus HIMARS Yoda
 
Back
Top Bottom