Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahiyo wale paratroopers na spetsnaz waliokua wanashuka Kiev walienda kupiga picha eeeh?! Ukweli ni kwamba Russia ilijaribu kuiteka Kiev lkn baada ya kichapo kitakatifu wakaona Ngoma ngumu wakageukia kusini mwa nchi
Urusi haikua na nia kuichukua ile nchi Bali alitumia ile mob kuelekea kiev kama njia ya kuwachanganya maadui zake kama aliweza kuingia hadi ndani alishindwa nin kuingia Ikulu yao?!! Angalia hata ktk mashambulizi tu anayoyafanya hajawai kupiga Ikulu Wala bunge hiyo inaonesha leongo lake Ni lipi,tusijidanganye kusema zele anaweza kumshinda urusi ngoja misaada ya west ikate ndo mtajua nan Ni Nan, [emoji3]
 
Narudia swali langu lilelile?!

Kwahiyo wale Paratroopers na Spetsnaz walioshuka pale Kiev walienda kupiga eeeh?!

Urusi walishajaribu mara kibao kum-assassinate Zelenksy, majaribio Yao yote yalifeli hii tu inaonyesha Urusi ilitaka kuikamata Ukraine yote kisha wabandike kibaraka wao!!!

Kama Russia hakutaka kuikamata Ukraine yote,kwanini Putin aliwataka wanajeshi wa Ukraine wampindue Rais wao?!

Vita kama ilivyo vita yoyote ina hatua,miezi Tisa iliyopita tusingewaza kama kuna siku Russia ataacha kutarget wanajeshi kisha aanze kutarget miundombinu ya nishati na makazi ya Raia,hii imepelekea na Ukraine kuanza kufanya mashambulizi ndani ya Russia. Hivyo ikitokea Urusi Ka escalate mambo na kuanza kutarget bunge na Ikulu bhas ujue na Ukraine nayo itaescalate...hili hata huyo Mrusi analijua.

Halafu akitarget Bunge na Ikulu itamsaidiaje kijeshi?!
 
Umezungumza Kama mshauri wa Biden pale White House...the same old lies...Don't you know kwamba Ukraine ilikuwa pia inahifadhi silaha za nyuklia za iliyokuwa USSR?! Don't you Ukraine imekuwa ikijilaumu kwa kuzikabidhi silaha hizo kwa Russia na kwamba hivi Sasa inajilaumu kwa kufanya hivyo?! Don't you know kuwa Ukraine ilikuwa mbioni kuenrich kisirisiri vinu vya nyuklia kwa maana ile mitambo ya umeme ya nyuklia ili kutengeza silaha za nyuklia?! Unadhani kwanini miongoni mwa objectives za Russia kwenye hii SMO ilikuwa ni kuteka mitambo ya umeme ya nyuklia?! Pamoja na Ukraine kuwa na silaha za nyuklia wakati wa kuvunjika Soviet Union nchi hiyo pia ilikuwa ni kituo mojawapo Cha bombers za TU-160 ambazo hawakuzirudisha zote kwa Russia ..Hao wapumbavu wa Ukraine walizikabidhi baadhi ya bombers hizo Marekani ili kufanyia analysis ya technology...Lakini Hao USA pamoja na kuzivunjavunja bombers hizo kuwa vipande vidogo vidogo inaelekea Wamarekani walishindwa kupata walichohitaji....TU-160 ambazo Sasa zimekuwa modernized zimeendelea tishio kwa NATO nzima....
Nyie pro-NATO msituletee upuuzi wenu humu mkidhani watu hawajui what is going on.......mnapiga kelele Sana humu as if NATO ndiyo Kila kitu....Wapuuzi Fulani huwa wanazungumzia hata ile convoy iliyokuwa imejipanga Kama inaelekea Kiev kuwa eti ilikuwa wiped off na Ukraine....yaani Wapuuzi wachache wa JF ndio wanaodai na kuuliza kwa kejeli kuwa ule msafara wa Russia uko wapi? Lakini NATO na west pamoja na propaganda zao hawajawahi kuzungumzia msafara huo kuwa uliteketezwa...msafara ule ulirudi Belarus ....ila Sasa inaelekea for real front nyingine inaanzishwa huko mpakani mwa Belarus na Ukraine ambako majeshi ya Russia na Belarus yamejipanga kuingia Ukraine na kusonga mbele for real Hadi Kiev...Tayari imeshatangazwa kuwa kutakuwa na mazoezi ya kijeshi yanayohusisha Russia na Belarus katika eneo hilo kuanzia siku chache zijazo...zaidi ya Askari 70,000 wa Belarus watahusishwa huku Russia ikiwa idadi haijawekwa wazi...Tusubiri tuine Kama kweli hayo ni mazoezi au ndiyo game ya kumaliza sakata hili..
Halafu nyie watu acheni kuimba nyimbo za West bila kuelewa...Kila Mara kwenye maandishi utaona Putin, Putin, Putin etc...you are personalizing the conflict ionekane kuwa tatizo ni Putin na siyo Russia.....For your huko Russia Kuna Hawks kuliko huyo Putin ambaye baadhi ya warusi wanamuona ni mpole mno...
@Nyamizi aione hii kwenye jalada.
 
,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kanali wa Ukraine kavunjwa shingo jioni hii na vikosi vya Russia View attachment 2475424

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nikianza kukuletea wa Warusi hapa aiseee Uzi utajaaa

Ngoja nikupe sample kidogo

1. Funeral of Lieutenant Colonel Бачурин (Bachurin), killed in Makiivka on New Year’s Eve.
vk.com/wall-98585869_…

2.Major of Medical Service Сеикаев Александр (Seikaev Alexander), commander of the separate medical sanitary battalion, was killed in Ukraine on 3 January.
vk.com/wall-88298195_…

3.Major Шкроба Михаил Владимирович (Shkroba Mikhail Vladimirovich) from the 37th Separate Guards Motor Rifle Brigade was killed in Ukraine on 27 December by a HIMARS strike.
He’s the eigth confirmed officer on the list.
H/t @sitizen_toxi
vk.com/wall60022722_1…

4.[emoji298]️ Colonel Гаджибалаев Марат Мугулович (Gadzhibalaev Marat Mugulovich), commander of the 39th Separate Motor Rifle Brigade, was killed in Ukraine on 27 December.
suleiman-stalskiy.ru/novosti/v-sule…
20230109_201321.jpg
20230109_201434.jpg
20230109_201620.jpg
20230109_201651.jpg
 
Russia sio tarumbeta . Wa Ukraine watachaka wenyewe . Silaha hazipigani na hazifi ILA binadamu. Russia haitoki hapo kamwe. Kama unajua donda ndugu basi jua kuhusu vita ndugu KWA maana haziishi mpaka itafika muda mnatazamana hakuna offensive KILA mmoja anabakia alipo
Ubaya vita vya sasa ni silaha tu wala sio wingi wa watu kama vile vita vya Ertugul.

Ukraine naona wanapigana vita ya kizamani sana sasa sijui ni kwa sababu gani ikiwa wanapewa silaha nyingi tu ila uwanja wa Vita ni kama vile hazitumiki.

Kwa hali hii Ukraine ataendelea kupata shida kwenye nchi yake, labda kitu pekee cha kuwaponya ni kutengeneza Nuclear.

Warusi pamoja wanasemwa wanapoteza silaha ila hazikauki uwanja wa Vita

Nikianza kukuletea wa Warusi hapa aiseee Uzi utajaaa

Ngoja nikupe sample kidogo

1. Funeral of Lieutenant Colonel Бачурин (Bachurin), killed in Makiivka on New Year’s Eve.
vk.com/wall-98585869_…

2.Major of Medical Service Сеикаев Александр (Seikaev Alexander), commander of the separate medical sanitary battalion, was killed in Ukraine on 3 January.
vk.com/wall-88298195_…

3.Major Шкроба Михаил Владимирович (Shkroba Mikhail Vladimirovich) from the 37th Separate Guards Motor Rifle Brigade was killed in Ukraine on 27 December by a HIMARS strike.
He’s the eigth confirmed officer on the list.
H/t @sitizen_toxi
vk.com/wall60022722_1…

4.[emoji298]️ Colonel Гаджибалаев Марат Мугулович (Gadzhibalaev Marat Mugulovich), commander of the 39th Separate Motor Rifle Brigade, was killed in Ukraine on 27 December.
suleiman-stalskiy.ru/novosti/v-sule…
View attachment 2475457View attachment 2475458View attachment 2475460View attachment 2475461
Mnakumbuka mlisema majenerali wamekufa ila mwisho wa siku mkaja kumbuka baada ya kuonekana wapo fresh wanapanga mipango.
 
Mnakumbuka mlisema majenerali wamekufa ila mwisho wa siku mkaja kumbuka baada ya kuonekana wapo fresh wanapanga mipango.
Nilisema wapi?!

Na ndio maana nimeweka na link,hao wamepasuliwa huko Ukraine na warusi wenyewe wamekiri. Fungua link sio kubisha tu kila kitu.

Lakini pia hata tukiongopa sio mbaya,hata Mrusi si Jana kaongopea Dunia kwamba kaua wanajeshi 600 wa Ukraine wakati Makombora yote aliyorusha yamepiga pembeni na kuharibu Miti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo yote sababu ya huu uvamizi ..Kama wangebaki na hizo silaha wasingevamiwa.

Sio kweli boss, hata mvamizi (Urusi) hakusema haya.

Kwani walikubaliana kukabidhi kila kitu kwa Urusi ?....

Kama ni kweli walizivunja sio rahisi kukosa kitu, labda ungesema hawakuona kipya cha kujifunza.

Kwanini Sasa ule msafara ulirudi Belarus ?...lengo lake lilikuwa lipi Sasa ?...hilo lengo lilifikiwa ?

Axel Lloyd dudus HIMARS Yoda
Lengo la msafara ule au convoy lilifikiwa kwa asilimia 100...convoy ile ilikuwa ni decoy tu...Russia's military strategists walitaka Ukraine na West waamini kuwa lengo la Russia ilikuwa ni kuteka Kiev...hivyo Ukraine wakapeleka zana na Askari wengi kulinda Kiev...hivyo Ukraine wakaacha gaps huko Mariupol, maeneo mengine ya Donbass na Luhansk na pia Kherson ambayo yalutwaliwa na Russia...
 
Hahahaha hivi hua mnamuongopea Nani?! Hilo limsafara lilikua ambushed mara kibao na special forces Leo unatuambia lilikua decoy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The drone operators who halted Russian convoy headed for Kyiv

One week into its invasion of Ukraine, Russia massed a 40-mile mechanised column in order to mount an overwhelming attack on Kyiv from the north.

But the convoy of armoured vehicles and supply trucks ground to a halt within days, and the offensive failed, in significant part because of a series of night ambushes carried out by a team of 30 Ukrainian special forces and drone operators on quad bikes, according to a Ukrainian commander.

The unit’s commander, Lt Col Yaroslav Honchar, gave an account of the ambush near the town of Ivankiv that helped stop the vast, lumbering Russian offensive in its tracks. He said the Ukrainian fighters on quad bikes were able to approach the advancing Russian column at night by riding through the forest on either side of the road leading south towards Kyiv from the direction of Chernobyl.

The Ukrainian soldiers were equipped with night vision goggles, sniper rifles, remotely detonated mines, drones equipped with thermal imaging cameras and others capable of dropping small 1.5kg bombs.

“This one little unit in the night destroyed two or three vehicles at the head of this convoy, and after that it was stuck. They stayed there two more nights, and [destroyed] many vehicles,” Honchar said.

The Russians broke the column into smaller units to try to make headway towards the Ukrainian capital, but the same assault team was able to mount an attack on its supply depot, he claimed, crippling the Russians’ capacity to advance.

The drone operators who halted Russian convoy headed for Kyiv
 
Lengo la msafara ule au convoy lilifikiwa kwa asilimia 100...convoy ile ilikuwa ni decoy tu...Russia's military strategists walitaka Ukraine na West waamini kuwa lengo la Russia ilikuwa ni kuteka Kiev...hivyo Ukraine wakapeleka zana na Askari wengi kulinda Kiev...hivyo Ukraine wakaacha gaps huko Mariupol, maeneo mengine ya Donbass na Luhansk na pia Kherson ambayo yalutwaliwa na Russia...
How Russia's vast military convoy was ambushed on the road to Kyiv

Invaders' push towards the capital halted after column is hit by Ukrainian artillery and drone strikes
How Russia's vast military convoy was ambushed on the road to Kyiv
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Ni bora walivyokimbia kuliko kutolewa kafara na Zelensk

Screenshot_20230109-205938_Twitter.jpg
 
Hakuna ushahidi wowote kuwa Ukraine walikuwa na mpango wa kupata silaha za maangamizi ili kuhatarisha usalama wa Urusi.

Lengo la uvamizi ni tamaa ya Putin kujitanua zaidi kwenye nchi zilizowahi kuwa himaya ya Ussr na kuionyesha dunia ubabe na nafasi ya Urusi, Ila ndio hivyo kakosea hesabu.
Ushahidi unaozungumzia si kama ule wa marekani kusema Iraqi ina siraha za maangamizi na hazikuwepo au sio hivyo mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Ni bora walivyokimbia kuliko kutolewa kafara na Zelensk

View attachment 2475559
Hahahaha Soledar gani tena,si ulituambia ishaanguka!?[emoji23]

BAKHMUT /1310 UTC 9 JAN/ In heavy combat, UKR forces continue counter-attacks against RU Wagner PMCs and RU units around Soledar. RU forces were driven back from Yokolivka. UKR’s 46th Air Mobile Brigade is reported to be advancing SE, in the vicinity of the mine complex.
20230109_211020.jpg
 
View attachment 2475582
Unaelewa maana ya kuanguka.maana yake kama mpo robo ya mji maana yake uwo ushanguka.
 
Back
Top Bottom