Hahahaha kwahiyo wewe unayetaka tuamini kombora lililochimba shimo kubwa la taka pembeni kabisa ya jengo ndio una uwezo mkubwa wa kufikiri?! [emoji23]
Kwani hii ni mara ya Kwanza Kwa Urusi kuongopa!!!
Walikataa na kupinga kwamba Meli Yao haikuzamishwa kwa Makombora ya Ukraine (Neptune) baadae wakasema wameshambulia kiwanda kinachozalisha Makombora ya kuzamisha Meli (Neptune) kama kulipa kisasi. Sasa wanalipa kisasi kipi wakati walipinga Meli yao haikuzamishwa na Neptune missiles?!
Russia hits Kyiv missile factory after its flagship is sunk
Baadae wakakimbiza Meli zao mbali kabisa na Pwani ya Ukraine,nini kiliwafanya wazikimbize?!
Base yao kule Crimea ilivyopigwa walituambia kuna uharibifu mdogo,baadae picha za satellites zikawaumbua ndege tisa zilikua zimeharibiwa Sana.
Kyiv said nine Russian warplanes were destroyed in a series of blasts at the Saki air base in annexed Crimea on Tuesday, while Russia denied any damage and said the incident stemmed from ammunition detonating.
Destroyed Russian warplanes at southern base suggest an attack that could signal new phase in war
Na Kali ya mwaka ndio hii ya juzi, Makombora kuchimba mahandaki halafu bwana mkubwa anakuja kutuambia Kala vichwa vya wanajeshi 600[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2476034View attachment 2476035