Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtu mnoko adhabu yake iko wazi....Nchi zinazotumika kuhatarisha usalama wa nchi nyingine ni lazima zishughulikiwe pia...Zele na wenzake ni vibaraka wa West kwa hiyo ni haki kwa Russia kuwashughuilikia mapema kabla hawajapata silaha za maangamizi...simple logic....
Watu wanashidwa KUELEWA kuwa Kipindi USSR inavunjika russia na Nato na nchi washirika za USSR hasa vile Zilizo karibu na russia na Kushare border kubwa , walikubaliana kuwa NATO isijitanue ibaki hivyo hivyo.
Na ichi hizo wasialike NATO.
Nato. Na USA wamevinja makubaliano pamoja na Ukraine. WALIPEWA uhuru kutoka USSR ila walikubaliana wasiwahalike NATO.
 
Russia hakusema kuwa Atatumia saa 72,, west media ndivyo walidai hivyo,,
Lakini baada ya Russia, kuingia, aligundua kuwa, hiyo vita itakuwa ya mda mrefu, kutokana na west kuamua kumsaidia ukraine hadi mwisho, so Russia wakaamua kuondoa troops arround kiev, na kufocus on east ukraine,,
West media faster wakaanza kudai eti, Russia kashindwa,, na ndio propaganda imelishwa kwq wengi eti Russia kashindwa vita, na watu wasiofikiri, critical thinker wanadhani hivyo😂
Russia walivyoingia Ukraine baada ya siku kadhaa.
Wakakutana kwa ajili ya kikao cha kumaliza mzozo nchini uturuki


Ila cha kushangaza nchi za magharibi NAO wakakutana kuzumzungumza namna ya kupeleka siraha Ukraine,
Kikao cha URUSI na Ukraine kikaisha hapo.
Ndo Russia akaamua KUTOA VIKOSI vyake sehemu zote za Ukraine na kupeleka mashairiki ya kusini. Mwa Ukraine
Ila propaganda za west zilizidi kipindi kile.
Ila sasa hivi wapo kinywa.
 
Hawakujaribu kuiteka kiev, baada ya kuteka uwanja wa ndege, kulikua na convoy ya km 40 nje ya mji wa kiev, kwa mda wa takribani wiki nzima, ile convoy imesimama tu, hadi west wakawa puzzled,, lakini ukweli ni kuwa hapakuwa na mapigano ya kujaribu kuteka kiev,,
Amri ilitolewa ile convoy ikarudi beralus,, japo kuna tukio moja tu, kuna sehemu convoy ilikua ambushed, tukio moja
Mkuu propaganda za west zimewaathiri hawa.
 
Chanzo cha maandamano yaliyomg'oa kibaraka wa Urusi ilikuwa ni pamoja na kukataa kusaini mkataba wa kibiashara na EU, wenye nchi yao waliandamana bila kuchoka mpaka huyo kibaraka akang'ooka na kukimbilia Urusi.


Baada ya Crimea kuporwa kibabe na kuanzishwa uasi bandia huko Donetsk na Luhansk, Ukraine haikua na namna zaidi ya kujiandaa kulinda Uhuru wake, hao NATO walianza ufadhili baada ya Supa-pawa kuipora Crimea.


Kulikuwa hakuna ushahidi wowote kuwa Ukraine walikuwa wanajiandaa kuivamia Urusi
Mkuu jihulize kwa nini USA anataka Ukraine ajiunge NATO???
Au kwa nini China anataka kukichukua kisiwa na Taiwan?
 
Ukraine sio ndogo kihivyo,, na wale ni warusi pia, ilikua nchi moja, wanajuana vizuri, na wote ni wapiganaji wazuri,, kwa vita inayoendelea sasa huko soleder, bakhmut, hakuna nchi ya magharibi, US, UK, france, etc,, wanaweza pigana close combat so bloody, kama inayopiganwa huko ukraine,,
Marekani walijaribu hii close quarter combat huko falluja, iraq na kamasi ziliwatoka, hawawezi
Land force ya USA ya kaida sana , USA wanategemea sana Air force.
Mimi nimeona clip moja ya Afghanistan kumuua sniper ya taliban waliita jet kutoka MJI mwingine.
 
Naona US anaanza kusogeza bomu za nyuklia ulaya.

Hayo mabomu USA walitaka kuweka Ukraine, kwa ajili ya URUSI.
Urusi ni nchi yenye rasilimali nyingi sana, USA anaitamani.
Na pia URUSI ni nchi ambayo inamzuia USA mambo MENGI mfano
USA alitaka kuivamia Venezuela kwa ajili ya KUMTOA madulo na kuchukua mafuta walishidwa baada ya URUSi kupeleka Nuclear za kufika USA na s-300VM WAkaacha kwenda , USA walitaka KUMTOA rais wa syria wanashidwa baada ya URUSI kumsaidia. Russia anamzuia USA kufanya vitu VYAO vingi ,
Ni nchi ambayo USA wanaichukia sana .
France walitaka kumiliki central Africa, Putin akaingia na Wagner group wamekimbia now.
 
Nikianza kukuletea wa Warusi hapa aiseee Uzi utajaaa

Ngoja nikupe sample kidogo

1. Funeral of Lieutenant Colonel Бачурин (Bachurin), killed in Makiivka on New Year’s Eve.
vk.com/wall-98585869_…


2.Major of Medical Service Сеикаев Александр (Seikaev Alexander), commander of the separate medical sanitary battalion, was killed in Ukraine on 3 January.
vk.com/wall-88298195_…


3.Major Шкроба Михаил Владимирович (Shkroba Mikhail Vladimirovich) from the 37th Separate Guards Motor Rifle Brigade was killed in Ukraine on 27 December by a HIMARS strike.
He’s the eigth confirmed officer on the list.
H/t @sitizen_toxi
vk.com/wall60022722_1…


4.[emoji298]️ Colonel Гаджибалаев Марат Мугулович (Gadzhibalaev Marat Mugulovich), commander of the 39th Separate Motor Rifle Brigade, was killed in Ukraine on 27 December.
suleiman-stalskiy.ru/novosti/v-sule…
View attachment 2475457View attachment 2475458View attachment 2475460View attachment 2475461

Mkuu hii ni vita , vita ikitokea pande zote zinaathirika,
Wote tunakubali wapo askari wa URUSI wengi tuu wamekufa hakuna aliyekataa.
Ila Ukraine anahali mbaya uko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Ni bora walivyokimbia kuliko kutolewa kafara na Zelensk




View attachment 2475559

URUSI washachukua nini MJI huo
 
Picha haionekani vizuri mkuu tunaona scepper tuu hapo , SIDHANI kama ni pantsir maana kichwa kama vile sio cha kamaz truck
Kamaz siku hizi ina 57E6 missiles eeeh?! Na ina machine gun eeeh?! Au hujaona risasi za Pantsir kwenye video?!

Nyingine hii hapa pale Snake Island mliposema mlijiondoa kumbe mlikimbia baada ya kichapo na AD zenu kupigwa kila wakati
20230110_082000.jpg
20230110_082003.jpg


#Ukraine: After more than half a year passed since the battle for Snake Island finished, another Russian loss from there was revealed: a Pantsir-S1 air defence system was destroyed there by the Ukrainian army, and has been left to rot.
 
Kamaz siku hizi ina 57E6 missiles eeeh?! Na ina machine gun eeeh?! Au hujaona risasi za Pantsir kwenye video?!

Nyingine hii hapa pale Snake Island mliposema mlijiondoa kumbe mlikimbia baada ya kichapo na AD zenu kupigwa kila wakatiView attachment 2475902View attachment 2475903

#Ukraine: After more than half a year passed since the battle for Snake Island finished, another Russian loss from there was revealed: a Pantsir-S1 air defence system was destroyed there by the Ukrainian army, and has been left to rot.

Mkuu naona umeishiwa point,
Nimecommect post yako ile ya juu, na picha yako ya juu pale .
Nimekuambia lile scepper na ile truck kichwa aionekani kama si ya kamaz truck , kulingana na post yako ile ya juu.
WEWE UMENILETEA POST NYINGINE,
WEWE UNAVYOJIONA HAPO UPO SAWA.
 
Back
Top Bottom