kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Baada ya kuuteka huo uwanja ikawaje Tena? Wakapiga selfie [emoji1702][emoji1702] alafu wakaondoka ,sio?Jaribio la kwanza kuteka Hostomel Antonov airport lili fail sawa,, na hiyo ilikua ndo first target,, Russia walipull back, wakajikusanya na kuuteka tena huo uwanja
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app