Ushahidi wa kwanza ni mapinduzi ya ukraine 2014,, mapinduzi yalikua sponsored na US,, lengo ni kupachika kibaraka wa west, nchini ukraine,, akishashika nchi,, angeamuru Russian Navy iondoke crimea,,
Hiyo Navy base ni kubwa na the only Russian warm water Navy base, na iko very strategic kwa usalama wa Russia,
Hilo ndo lilipelekea, Russia kuamua kuichukua crimea, siku chache tu baada ya mapinduzi,
Baada ya hilo,, NATO walianza kujiingiza ukraine, na kutoa misaada ya kijeshi na silaha na pia mafunzo,
Kwa ufupi US na washirika walikua wanaiandaa ukraine, kuwa Launchpad ya proxy war dhidi ya Russia,
Walichofanya Russia ni ku pre empty,
Japo ni kama tayari walikuwa washachelewa mno