Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi hili tukio la wanajeshi 89.
Na vyombo vya habari vya magharibi vinasema 400 KWANI walienda hapo.
Si WARUSI wenyewe ndo WALISEMA 89.
Sasa SISI huku ambao hata mwili mmoja hatujaona tutamini vipi kweli kama KULIKUWA na vifo vya askari wangapi.
Kingetokea russia wangekanusha wakasema hakuna shambulio lolote , tungeamini? Kwa sababu hata HIZO picha za jengo baada ya kushambuliwa ni russia ndo wameonyesha
Wanajeshi 600 wa Ukraine wako wapi?!
 
Hao wachache sana mbona? Urusi wamelambishwa mchanga zaidi ya mia Saba ndani ya saa 24 zilizopita
1673333600337.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha punguza makasiriko....kwani zile ambazo hua mnaleta hua zinaandikwa na nani?!

Kwani kuna ubaya?! Mbona wewe unajituma kwa ma-fascists ya Kirusi. Endelea kujituma bro unaweza ukajikuta unaalikwa Ikulu pale Kremlin ukiwa na Rubles zako kibao kwenye briefcase
emoji161.png
..
Hongera.... You are 'recognized.

Hahahaha punguza makasiriko....kwani zile ambazo hua mnaleta hua zinaandikwa na nani?!

Kwani kuna ubaya?! Mbona wewe unajituma kwa ma-fascists ya Kirusi. Endelea kujituma bro unaweza ukajikuta unaalikwa Ikulu pale Kremlin ukiwa na Rubles zako kibao kwenye briefcase [emoji161]..
Hongera.... You are 'recognized.
Kwa watu makini na wazoefu ni rahisi kwao 'kugundua' au 'kuona' ni nani kati yangu na wewe 'anayejituma'
 
Wanajiuliza kivipi wakati watu wamefika mpk eneo la tukio na kukuta hamna chochote zaidi ya mahandaki yaliyochimbwa na Makombora yaliyokosa shabaha

Journalists visited the place in Kramatorsk where Russians claimed to have hit 600 Ukrainian soldiers, but aside from 2 holes in the ground in front of an empty building (yes, they even missed that) nothing is there.

I expected nothing else than Russian lies. #Kramatorsk

Moscow claims 600 Ukrainian soldiers were killed in overnight air strikes on the eastern city of Kramatorsk, but local authorities say there was no loss of life, as fighting enters its 319th day.

Italian journalist in Kramatorsk here. Russia allegedly killed 600 Ukrainian soldiers “in dormitories 28 and 47”. I’m checking the first place, dormitory 28: the missile missed the target, made a big hole in the soft terrain and didn’t touch the buildings around /1

Na wewe tuletee ushahidi wa kufa Kwa wanajeshi 600!!!!!!?

Ngoja nikuambie dogo ..mnamo mwaka 1989 (pengine ulikuwa hujazaliwa) kulikuwa na vuguvugu la maandamano ya wanafunzi pale beijing wakipinga mamlaka ...Waliokuwa msitari wa mbele ni wanafunzi mbalimbali wa vyuo vikuu. Basi bwana waanfunzi wale wakajazana pale kwenye uwanja maarufu beijing na china nzima ujulikanao kama Tiananmen Square. Dola ya China ikatoa ultimatum kwa wanafunzi hao kuwa waondoke pale uwanjani. Wanafunzi wale wakapuuza. Dola ya China ikapeleka vifaru, lakini kwa kejeli kubwa wanafunzi wale kwa maelfu wakawa wanawakejeli askari wale kwenye vifaru ambao walikaa tuli wakisubiri amri. Vijana wale wengine wakadiriki hata kupanda juu ya vifaru na kuwakejeli askari...Wanafunzi kwa maelfu wakawa wanashinikizwa na nyimbo wakidai ni za kimapinduzi...ikumbukwe huko ulaya Mashariki dola kadhaa za kikomunisti zilikuwa zimeanguka tayari...Huko Soviet Union alikuwepo Mikhail Gorbachev na glasnost na perestroika yake. kwa China alikuwepo kiongozi wa kikomunsti Huo Yaobang ambaye inadaiwa alikuwa mwanamageuzi lakini akafa ghafla na ikawa chanzo cha wanafunzi kwa maelfu kuandamana wakishinikiza reforms.
China ikatoa ultmatum tena kwa wanafunzi hao waondoke lakini wakakaidi. basi bwana usiku mmoja ukaingia na wanafunzi wakaendelea na vitimbwi vyao. Asubuhi moja watu wakaamka lakini wasiwaone maelfu ya wanafunzi pale uwanjani. Dunia ikashangaa na wengine na hasa USA na West wakahamaki. Vifaru usiku ule vilifanya kazi yao. Lakini hakuna hata tone la damu lilionekana uwanjani pale. Na wala hakuna hata picha moja iliyopigwa kudhihirisha 'mauaji' yale ya kutisha. inadaiwa wanafunzi wale waliokuwepo uwanjani pale walikanyagwa kanyagwa kama udongo. inadaiwa usiku ule ule uwanja ukasafishwa hata tone la damu hakuna. Na wala ushahidi haupo. Mawasiliano yote ndani ya China yalikuwa jammed. Hata satellites za kibeberu hazikuweza kupiga picha hata moja.
Huo ukawa mwanzo na mwisho wa vuguvugu la kinachoitwa reforms huko China. Communist Party ikaendelea kushika dola mpaka leo. Kale kanafunzi kalikokuwa kanaongoza maandamano hayo kakaenda Marekani baadaye. Inasemekana hakukuwepo uwanjani wakati wa tukio, kalikuwa kamejificha mahali huku kakiwachagiza wenzake waendelee na maandamano.
 
Ukiunganisha assets za majeshi ya Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, congo, Sudan zote,msumbiji,Malawi na Zambia..,ndo unaweza kupata idadi halisi ya hasara hambayo urusi amelamba kwenye vita aliyoanzinzisha dhidi ya Ukraine.., ngoja tuendelee kunywa mtoli huenda nyama tukazikuta ndani 🥱
1673349028156.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukiunganisha assets za majeshi ya Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, congo, Sudan zote,msumbiji,Malawi na Zambia..,ndo unaweza kupata idadi halisi ya hasara hambayo urusi amelamba kwenye vita aliyoanzinzisha dhidi ya Ukraine.., ngoja tuendelee kunywa mtoli huenda nyama tukazikuta ndani 🥱View attachment 2476233

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na hasara za Ukraine ni nchi ngapi?
 
Ngoja nikuambie dogo ..mnamo mwaka 1989 (pengine ulikuwa hujazaliwa) kulikuwa na vuguvugu la maandamano ya wanafunzi pale beijing wakipinga mamlaka ...Waliokuwa msitari wa mbele ni wanafunzi mbalimbali wa vyuo vikuu. Basi bwana waanfunzi wale wakajazana pale kwenye uwanja maarufu beijing na china nzima ujulikanao kama Tiananmen Square. Dola ya China ikatoa ultimatum kwa wanafunzi hao kuwa waondoke pale uwanjani. Wanafunzi wale wakapuuza. Dola ya China ikapeleka vifaru, lakini kwa kejeli kubwa wanafunzi wale kwa maelfu wakawa wanawakejeli askari wale kwenye vifaru ambao walikaa tuli wakisubiri amri. Vijana wale wengine wakadiriki hata kupanda juu ya vifaru na kuwakejeli askari...Wanafunzi kwa maelfu wakawa wanashinikizwa na nyimbo wakidai ni za kimapinduzi...ikumbukwe huko ulaya Mashariki dola kadhaa za kikomunisti zilikuwa zimeanguka tayari...Huko Soviet Union alikuwepo Mikhail Gorbachev na glasnost na perestroika yake. kwa China alikuwepo kiongozi wa kikomunsti Huo Yaobang ambaye inadaiwa alikuwa mwanamageuzi lakini akafa ghafla na ikawa chanzo cha wanafunzi kwa maelfu kuandamana wakishinikiza reforms.
China ikatoa ultmatum tena kwa wanafunzi hao waondoke lakini wakakaidi. basi bwana usiku mmoja ukaingia na wanafunzi wakaendelea na vitimbwi vyao. Asubuhi moja watu wakaamka lakini wasiwaone maelfu ya wanafunzi pale uwanjani. Dunia ikashangaa na wengine na hasa USA na West wakahamaki. Vifaru usiku ule vilifanya kazi yao. Lakini hakuna hata tone la damu lilionekana uwanjani pale. Na wala hakuna hata picha moja iliyopigwa kudhihirisha 'mauaji' yale ya kutisha. inadaiwa wanafunzi wale waliokuwepo uwanjani pale walikanyagwa kanyagwa kama udongo. inadaiwa usiku ule ule uwanja ukasafishwa hata tone la damu hakuna. Na wala ushahidi haupo. Mawasiliano yote ndani ya China yalikuwa jammed. Hata satellites za kibeberu hazikuweza kupiga picha hata moja.
Huo ukawa mwanzo na mwisho wa vuguvugu la kinachoitwa reforms huko China. Communist Party ikaendelea kushika dola mpaka leo. Kale kanafunzi kalikokuwa kanaongoza maandamano hayo kakaenda Marekani baadaye. Inasemekana hakukuwepo uwanjani wakati wa tukio, kalikuwa kamejificha mahali huku kakiwachagiza wenzake waendelee na maandamano.
Kwa hiyo kuua maelfu ya wanafunzi wasio na silaha ndio ushujaa wa kikomunisti ?....
 
UK considering supplying Challenger 2 tanks to Ukraine, Sky News reports​

A Challenger 2 main battle tank is displayed for the families watching The Royal Tank Regiment Regimental Parade, on September 24, 2022 in Bulford, England.

Finnbarr Webster | Getty Images News | Getty Images

Britain is considering supplying its tanks to Ukraine for the first time since the war began, Sky News understands.

NB: Ukraine new offensive is loading....

Axel Lloyd HIMARS Sela Son T14 Armata kp kipanya44
 
Ukrain imekua kama jalala la kutupia mitakataka ya siraha tu.
 
Back
Top Bottom