Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

24/7 upo hapa, kila page ina comment zako, huna kazi ya kufanya?? Na kiinfinix chako cha laki 1
Kwani jamaa kakuomba bando na hela ya kula.
Watu wana maisha yao ukute wakati wewe unapambana kutafuta 1000 ya kubet au ya bando mwenzako anapigiwa simu anaambiwa ile million 300 uliyonikopesha nimeweka kwenye account yako tayari.
 
Washaanza kulainika - training tena ?

“We need to constantly analyse and systematise the experience of our groups’ actions in Ukraine and Syria, and on that basis to draw up training programmes for personnel and plans for the supply of military equipment,” Shoigu said.
 
Kwani jamaa kakuomba bando na hela ya kula.
Watu wana maisha yao ukute wakati wewe unapambana kutafuta 1000 ya kubet au ya bando mwenzako anapigiwa simu anaambiwa ile million 300 uliyonikopesha nimeweka kwenye account yako tayari.
Jibu mujalabu kabisa [emoji122][emoji122][emoji120]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
*Waliambia wana chakula cha siku tatu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*Wakambiwa wameishiwa silaha[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

* Wakambiwa wamepoteza morali[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*wakambiwa awana hata uniform[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*Wakambiwa wanakimbia wenyewe uwanja wa vita[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Hakika Urusi Katupa somo



View attachment 2476976
Uraaaaa!
 
Kaka watu wanashidwa KUELEWA kwamba baada ya Soviet kuanguka, URUSI nazikusanya siraha nyingi sana karibu zote kutoka kwa washirika WAKE na anapeleka kwake. Na kipindi kile USSR ndie alikuwa mtengenezaji mkubwa na siraha DUNIA, kwa washirika WAKE zilibaki siraha chache sana.
Rusia kuishiwa siraha sio rahisi ANAHITAJI wapigane mda mrefu sana tena sana. Na vita vikubwa.
Wanajeshi 500 na mamluki wa Ukraine wamekuwa encircled na walipewa mwisho saa sitausiku wa Jana kujisalimisha lasivo wanasagwa nyama Kama Bakmut (meat grinder)
 
Mtakufwa vibaya nyieeeee !!

President Vladimir Putin’s defence minister has pledged to build a deeper arsenal of weapons, bolster aviation technology to better evade air defences and improve drone production after a series of battlefield humiliations in Ukraine.
AP23010422021569.jpg
All countries against Russia Military Operation gets humiliated all time rounds so for Russia to be humiliated too is one of the challenges due to some mistakes happen on the ground is part of the game
 
Aandae hata akiba ya Babu wa Babu yake..,hii vita imetengewa bajeti ya miaka 5 na kuendelea shekhe

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bajeti ya miaka mitako huku upande wa pili silaha zimekata.iyo bajeti ni ya kwenye makaratasi au.mbona uwanja wa Vita haionekani.

Vijana wenu wanapigana vita vya kina Jumong, maana awana silaha.
 
Back
Top Bottom