mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Wanawaza majenerali wao watawatoaje hapo Soledar.wanaogopa wakipeleka chopper zitashushwa kama ilivyotokea Maliupol.[emoji23][emoji23][emoji23]USA,,NATO,wanasemaje kuhusu hili?
Wanawaza majenerali wao watawatoaje hapo Soledar.wanaogopa wakipeleka chopper zitashushwa kama ilivyotokea Maliupol.[emoji23][emoji23][emoji23]USA,,NATO,wanasemaje kuhusu hili?
Kila cku kulambishwa mchanga kulambishwa mchanga 😂ukipewa takwim ya Ukraine waliodanja unasema kawaida ya wanajeshi kufa ...by the way hata wafe 1m kwa cku lakin bdo wanasonga mbeleUnaongea nini mkuu, idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga inagonga laki mbili soon.., ukiona lakini mbili wamelambishwa mchanga jiulize ni wangapi waliojeruhiwaView attachment 2477155
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Comment za wenye ela zinajulikana 😂😂Kwani jamaa kakuomba bando na hela ya kula.
Watu wana maisha yao ukute wakati wewe unapambana kutafuta 1000 ya kubet au ya bando mwenzako anapigiwa simu anaambiwa ile million 300 uliyonikopesha nimeweka kwenye account yako tayari.
Sio uzembe ni kuzidiwaHakuna njia nyingine ya kuweza kuchomoka hapa zaidi ya kujisalimisha au kukubali kifo. Huu ni uzembe wa hali ya juu kwa vikosi vya Ukraine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2477438
Hhhhhhhhh me nawasubir wa bakhmutNimeongea na Putin muda sio mrefu.nimemwambia kuwa nimesikia kuna wanajeshi zaidi ya mia 5 wa Ukraine wamekubali kujisalimisha.kwa iyo kama kutakuwa na watoto wa kali ndani ya hao wanajeshi basi asitusahau sisi vijana wake huku jamii forrum.[emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemwambia Putin kuwa tunamwahidi kuwarudisha wakiwa na matumbo.
Kwa iyo ndugu zangu wa jamii forrum kaeni mkao wa kula.Putin kakubali kutupa warembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hio wataka kusema urusi imeingia chumvini 😁😁😁Haya ndo machimbo makubwa ya chumvi kwa Ulaya.kwa iyo Ukraine kwa sasa Watakuwa wanakula chakula bila chumvi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2477405View attachment 2477407
Mkuu kuna mageneral wa NATO hapo?Wanawaza majenerali wao watawatoaje hapo Soledar.wanaogopa wakipeleka chopper zitashushwa kama ilivyotokea Maliupol.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio 1m ?Jan.11 update on russian losses in the war
View attachment 2477483
Mkuu watu wanabisha sana HUMU ndani , tulishawaambia kuwa kwa sasa jeshi la Ukraine limeshaisha ile landforce yao ilishaisha tangu mda , labda watanze kuwapa mafunzo wengine.wakuu sehemu nyingine vita vimesimama au mbona kama kwingine kimya sana
Kuna mwanajeshi mmoja wa MAREKANI mstaafuwakuu sehemu nyingine vita vimesimama au mbona kama kwingine kimya sana
Ila mkuu kama kuna mahandaki imara ya kuanzia Soledar hadi Bakhmut huoni panya wa zelensky watapita chinichini hadi bakhmut?Hakuna njia nyingine ya kuweza kuchomoka hapa zaidi ya kujisalimisha au kukubali kifo. Huu ni uzembe wa hali ya juu kwa vikosi vya Ukraine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2477438
Hivi yule mpiga punyeto ameenda kuwaongezea LGBTQ nguvu nini?Pro lgbtq naona wamepotea