kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hamna ni ngumu kwa sasa.we kuwa mpole kaka mambo mazuri ayataki halaka.ni swala la muda tuIla mkuu kama kuna mahandaki imara ya kuanzia Soledar hadi Bakhmut huoni panya wa zelensky watapita chinichini hadi bakhmut?
Nionavyo mimi watakimbilia bakhmut kuongeza nguvu ambayo kwa Russia ni nguvu ya soda tu
[emoji23][emoji23][emoji23] inavyosemekana.ila habari kamili mtafute kipanya44 au AxelMkuu kuna mageneral wa NATO hapo?
Duuh.... Huyo mwamba upande wa kulia hapo ni balaa.![]()
huyu dingi bosi wa PCM Wagner Yevgeny Prigozhin kamsupport sana Putin.
Piga jizi hiloo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wameshauchukua mji wote wa Soledar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji106]Mapigano Makali bado yanaendelea mjini soledar, acheni kudanganyana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tatizo upumbavu umetawala akili yako, unafikiri hapa wote ni masikini kama wewe..,Comment za wenye ela zinajulikana [emoji23][emoji23]
We kenge bado unatapatapa kwenye uzi wetu wenzako wameshatoroka kwa kipigo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]]
Unategemea RT wakutangazie habari zipi tofauti na hizo,hiyo si ni kama TBC ?Piga jizi hiloo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wameshauchukua mji wote wa Soledar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji106]View attachment 2477536
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
I'm here stay, vumilieni kuona coment zangu 24/7We kenge bado unatapatapa kwenye uzi wetu wenzako wameshatoroka [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2477538
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Afu wataiwan wasipokuwa makini kisiwa hicho kitakuwa eneo la MAPIGANO kati ya china zidi japan na USA.Japan Expanding Military Base Close to Taiwan
The tiny Yonaguni island is only 110km from Taiwan, and had six missiles drop nearby after [emoji630] reacted to [emoji631] politician Nancy Pelosi's visit last year with military drills.
The base is undergoing an expansion to accommodate a surface-to-air missile unit to protect the island's 1,700 inhabitants in the future.
Yonaguni is a remote outpost of Japan’s southern Okinawa prefecture and is near the Diaoyu Islands, a group of islands claimed by Beijing but administered by Tokyo.
Base Camp for Stories @RT_India_officialView attachment 2477499
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kp kipanya44 kuna magenerali wangapi hapo soledar wa NATo mkuuI'm here stay, vumilieni kuona coment zangu 24/7
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu leopard tanks 14 zitatoa msaada gani , kama Ukraine wakikuwa na tanks zaidi ya 1000 hazijawasaidia kitu chochote HIZO zina msaada gani.BREAKING:
President Duda announces that Poland will transfer 14 Leopard 2 tanks to Ukraine.
[emoji1200][emoji1255] https://t.co/uWDSDBeSvp
Yanaenda kuvunjwa kama biskuti ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]BREAKING:
President Duda announces that Poland will transfer 14 Leopard 2 tanks to Ukraine.
[emoji1200][emoji1255] https://t.co/uWDSDBeSvp
Majenelali Tena? Wewe endelea kusheherekea ushindi wa soledar, maana ndivyo mmejiaminishaKp kipanya44 kuna magenerali wangapi hapo soledar wa NATo mkuu
Kama urusi ameshapoteza vifaru zaidi ya 3094 mpaka Sasa, unafikiri iyo idadi ya vifaru 1000 alivyokuwa navyo Ukraine ingesaidia kitu ganiSasa mkuu leopard tanks 14 zitatoa msaada gani , kama Ukraine wakikuwa na tanks zaidi ya 1000 hazijawasaidia kitu chochote HIZO zina msaada gani.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Makamanda wa Wagner Group wamechinja ng'ombe kadhaa kwa ajili ya kuchoma nyama kuwapongeza wapiganaji shupavu na wamebakisha mapumbu kwa ajili ya kuwa chemshia supu Wanamgambo wa Ukraine waliojisalimisha ili wasiuwaweI'm here stay, vumilieni kuona coment zangu 24/7
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app