Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Jumamosi kuna watu nitawafuta
Bakhmut imeanguka ....Jamani kipanya leo amecharuka humu, ni matusi kwa kwenda mbele...kwani Kuna Nini?!
Mji ulishabebwa kijanaJumamosi kuna watu nitawafuta
Ukraine amekataa madai ya urusi,kama kweli urusi kauchukua huo mji basi ukweli utajulikana tu,kwani tunaishi katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia, unaweza kuuficha ukweli kwa muda tu,VYOMBO VYA MAGHARIBI KAMA KAWAIDA YAO
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji3516]
Huyo atatunguliwa kama walivyotunguliwa watangulizi wake..France 24
Notorious Chechen commander leaves Syria and joins Ukrainian army to fight Russia
1 day ago
Watu wamepiga picha wakiwa jengo la utawala wa mji.wamepiga picha wakiwa salt mine.ni bora ukatae kwa vitendo ila sio maneno.watu ni ngumu kukuelewa.Ukraine amekataa madai ya urusi,kama kweli urusi kauchukua huo mji basi ukweli utajulikana tu,kwani tunaishi katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia, unaweza kuuficha ukweli kwa muda tu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na sio tu Soledar bali wiki hii haitoisha bila kuanguka kwa Bakhmut maana vikosi vya Ukraine vinajiandaa kuondoka kwenye mji wa Bakhmut.Ukraine amekataa madai ya urusi,kama kweli urusi kauchukua huo mji basi ukweli utajulikana tu,kwani tunaishi katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia, unaweza kuuficha ukweli kwa muda tu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha!Bakhmut imeanguka ....
USA,,NATO,wanasemaje kuhusu hili?Hakuna njia nyingine ya kuweza kuchomoka hapa zaidi ya kujisalimisha au kukubali kifo. Huu ni uzembe wa hali ya juu kwa vikosi vya Ukraine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2477438
Dah mwanangu umenikumbusha mwezi wa tatu au nne hivi ulikuwa unapenda kusema neno Hili tumiji twa huko mpakani.Hizo siku tano zinaenda miaka miwili huku super pawer akiangaika na tumji twa mpakani huko[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app