LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuishi duniani haitakiwi kupingana na uhalisia, Maisha yanakuwa matamu ukiukubali
uhalisia na kuukabili bila kinyongo.
Vitu vyote unavyoona sijui mataifa kupambana kuwa na technology kubwa, kuwa na uchumi
mkubwa kuwa, kuwa na elimu kubwa mwisho ili washinde vita na si ili tuishi kwa raha mstarehe.
So maisha ni vita.
Binadamu tunahitaji common enemy ili haya mawazo ya vita vya kuua binadamu ili kuwe na furaha yatutoke. Labda gonjwa fulani hivi hatari sana, Au AI errors kama kwenye movies za utotoni za terminator au Alliens anything cha kutuunganisha Wazaramo na wa North korea.
 
[emoji81][emoji81][emoji81]nmecheka sana.warusi wame telekeza vifaru vingi sana
114252618.jpg
 
Binadamu tunahitaji common enemy ili haya mawazo ya vita vya kuua binadamu ili kuwe na furaha yatutoke. Labda gonjwa fulani hivi hatari sana, Au AI errors kama kwenye movies za utotoni za terminator au Alliens anything cha kutuunganisha Wazaramo na wa North korea.
Kuna matatizo ambavyo toka dunia ianze hayajawahi kukwepeka.
Vita, umasikini na maradhi.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
“Since the launch of the operation, [Russian military] has destroyed 254 tanks and other armored combat vehicles, 31 aircraft on the ground, 46 multiple launch rocket systems, 103 pieces of artillery and mortars, 164 pieces of special military vehicles,” -Konashenkov stated( Russian defense ministry spokesman).

:- yesterday
Kumbe sasa kwanini walikuwa wanaficha ukweli muda wote huo
 
Leo jumatatu Rais wa Ukraine amelalamika akihofia usalama wake kwa kudai kuwa Russia imekodi kikundi cha watu 400 toka nchi kadhaa za Africa kwa lengo la kumuua rais Zelensky.

Mwambieni rais ni taasisi kubwa, aache kulialia kwa kutafuta huruma za watu.

Ukilikoroga lazima ulinywe!


Ukraine's President Volodymyr Zelenskyy on Monday, February 28, said that Russian mercenaries had been ordered to assassinate him.

More than 400 Russian mercenaries are operating in Kyiv with orders from the Kremlin to assassinate President Zelensky and his government and prepare the ground for Moscow to take control, according to a report by The Times.

The Wagner Group, a private militia run by one of President Putin’s closest allies and operating as an arm-length branch of the state, flew in mercenaries from Africa five weeks ago on a mission to decapitate Zelenskyy’s government in return for a handsome financial bonus
 
UN inazo siasa za kihuni. Hiki kinachofanyika na Russia kina tofauti gani na kilichofanyika na USA nchi nyingi tu na hawajachukuliwa hatua yeyote
UN ni njia ya kubalance power kwa wakubwa ndio hiyo kura ya veto kulinda maslahi yao.
Masilahi ya wakubwa yasipoingiliwa hilo haliwahusu.
Ni njia inayowawezesha wanapokula wasiweze kushikana mikono kwenye sufuria kama WW2.
 
Mwakilishi wa Russia kwenye umoja wa mataifa UN amelilalamikia baraza kuwa kuna kiasi kikubwa cha upotoshaji wa habari unaofanywa kwa makusudi kwenye mitandao ya kijamii kuhusisha vikosi vya urusi huko Ukraine.

========

"Today we witness an information war on Russia in social media. Since there are no proofs that Russian military destroy civilian infrastructure, Ukrainian strikes and occasional hits are presented as such, as well as photo and video footage from Donbas that again depict crimes committed by Ukrainian nationalists," the diplomat said.
 
Back
Top Bottom