Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Binadamu tunahitaji common enemy ili haya mawazo ya vita vya kuua binadamu ili kuwe na furaha yatutoke. Labda gonjwa fulani hivi hatari sana, Au AI errors kama kwenye movies za utotoni za terminator au Alliens anything cha kutuunganisha Wazaramo na wa North korea.Kuishi duniani haitakiwi kupingana na uhalisia, Maisha yanakuwa matamu ukiukubali
uhalisia na kuukabili bila kinyongo.
Vitu vyote unavyoona sijui mataifa kupambana kuwa na technology kubwa, kuwa na uchumi
mkubwa kuwa, kuwa na elimu kubwa mwisho ili washinde vita na si ili tuishi kwa raha mstarehe.
So maisha ni vita.