LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kumbe Poland ilikuwa bado na Mig-29 serviceable nyingi na sasa inaleta hizo 30 kwa Ukraine. Ukraine makampuni yake yalikuwa yanatoa baadhi ya spare parts kwa Poland ambao kwa sasa wanataka kubadilika watumie F-35 hivyo hizi hawaziitaji tena. Ukraine marubani wao wako intact na hizi ndio ndege zao.
Ama kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, yani odds zote ziko against Russia
 
Russian MoD Update: Russian military creates safe passage for residents to leave Kiev


▪️Gangs of looters, armed by authorities, are rampaging through Ukraine’s capital, while the Kiev is using residents of the city as a human shield. All civilians can freely leave along the Kiev-Vasilkov highway, which is open and safe


▪️Since beginning of the operation,1,114 objects of Ukrainian military infrastructure have been hit, inc: 31 control points and a communication center


▪️Russian armed forces have taken control of Berdyansk, Energodar, and territory around Zaporozhye nuclear power plant


▪️On Sunday 314 tanks and other armored vehicles, 57 multiple rocket launchers, 121 field artillery and mortars, 274 units of special military vehicles destroyed, while Russian airforce destroyed, among others, eight guidance stations, four combat aircraft on the ground and one in the air


▪️LPR forces established control over Hvorostyanka, Sukhanovka and Artyom, while DPR forces advanced 19 km
 
URUSI WAONGO WAKUBWA.. SHAME ON THEM.
HABARI YA KUWA WANAENDA VAMIA UKRAINE WALISEMA NI UWONGO...HOW COME TUWAAMINI KATIKA ILI KUWA KUNA UPOTOSHAJI?.
 
Vita mbaya sana na watu waisikie kwa Jirani tu
Na mimi pia naomba iwe hivyo kwani nilikutana na kadhia ya vita miaka 30 iliyopita najua mziki wake na ninawahurumia sana hao wananchi
Ndio maana sisi twafurahi vita hiyo kupiganwa kwenye ardhi ya Ukraine na si ardhi ya Russia.

Tunajua fika kuwa kibaraka/msaliti amepata hasara kubwa ktk miundombinu mbalimbali pamoja na kuzalisha malaki ya wakimbizi.

Juzi tu tulikuwa tumeshazalisha wakimbizi laki nne (400,000) toka Ukraine.

SmartSelect_20220228-111525_Chrome.jpg
 
Nini hasa sababu ya Msingi ya Urusi kuvamia nchi Huru Kabisa.

Weka ushabiki pembeni kabisa, usizunguke usinambie kisa anahofia atajiunga NATO yaani kisa cha Mrusi kuanza kuvamia na kulipua miji UKRAINE ni nini Hasa.

Sidhani kama eti anahofia atajiunga NATO ndio iwe sababu ya kuanza kuua watu pale Ukraine What if hatajiunga NATO ataleta sababu zipi za kujitetea kuua watu Ukraine na Vita ikaisha.

VideoCapture_20210826-195937.jpg
 
Mtambo mwingine wa kufua umeme wa nuclear umechukuliwa na warusi kutoka kwenye mikono ya jeshi la Ukraine

(Zaporizhzhia power plant)

Sasa nyie pigeni polojo wenzenu wanasonga mbele
kwenye mafanikio makelele mengi sana ila ukigeuka na kuwasikiliza hautaweza kufikia malengo. Putin waafrika tupo nyuma yako nipo tayari niwaletee kaka yangu Isa anayetumikia ADF kongo aje awape mbinu za guerrilla war
 
Kumbe hujui historia ya Putin vizuri

Jamaa Alikuwa KGB mzuri SANA na lipelekwa Station ya German na kule hawatamsahau maana aliwatandika sawa SAWA
Utakuwa humjui wewe Mkuu Kichuguu ,kuna members humu wakicomment unatulia kwanza unasoma kisha unajifunza kitu.Nakushauri chukua muda wako,uwe unamsoma vizuri na upate maarifa zaidi.
 
Urusi wanawahimiza Raia kutoka kiev, the same time wanapanga kuwatoa Raia wao nchi za ulaya, the same time USA wanatoa Raia wao Urusi... Ni nini kinafuata..??
Marekani wakishaanza kutoa raia ujue kuna kitu wanajua kinatokea. Urusi sijaelewa tangazo lao kama ni kufanya evacuation ya raia walio nchi za Ulaya au kuwaleta waliokuwa stranded kwa ndege zao kunyimwa ruhusa kupita, sijasoma taarifa kwa kina. Nadhani Russia ataamua kutumia bombers au missiles kama alivyofanya Georgia na Syria, Ukraine ndio hivyo imeongezewe fighters. Sijawahi ona dogfights nahisi zinakuja anga la Ukraine
 
⚡️ Possible admission of Ukraine to EU will be subject of discussion in the organization - head of European Council
 
Back
Top Bottom