LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mimi nimelivundua Hilo kitambo Sana huyu sio yupe T14 ninae mjua Mimi.

Maana Mimi Moja ya watu walio ni inspire kuwa humu Ni yeye,Nyani Ngabu,LeMutz,Malcom Lumumba,Abibu Anga,Matola,Mzee mwana Kijiji na wengine wa sampuli hyo. Ila huyu na gentacymane wamebadilika Sana.
Ndio mimi yule yule tatizo kuna pro-Russians huwa wanaamini mimi ni mwenzao kisa nimejiita jina la kifaru chao. Mimi sipendi kutetea upande, kama ulizoea kwingine kama Syria naitetea Urusi sio kwamba nawashabikia. Inategemea wamefanya nini, na kwa hili la Ukraine wala sina upande ingawa kwa sasa nimeanza kutamani either mazungumzo yamalize vita au Kyiv ianguke.

Nahisi dalili mbaya za Westerns kutaka wabaki wao tu dunia hii tutateseka kiusalama. It seems wanataka vita iendelee, Russia atumie nguvu nyingi aue raia zaidi. Mpaka sasa Russia ameua raia wachache, Ukraine yule Zelensky namtilia wasiwasi Wayahudi sio watu wa kuwaamini sana. Putin alipokuwa anawaita neo-Nazi wapiganaji wa Ukraine kuna ukweli wa mbali, ile vita ya Donbass kuanzia 2014 neo-Nazis walikuwa na batallion yao inapigana kwa ubora kabisa. Tangu Zelensky aombe wageni wakaisaidie Ukraine walioenda wengi ni extremist groups na mashabiki wa Nazi wapo. Surprisingly, Zelensky mwenyewe Myahudi.

Palestina na Yemen wakifanya hikihiki kilichofanywa na Ukraine wanaitwa terrorists. USA akifanya hiki kilichofanywa na Russia, anaitwa global police sijui democracy. Ninachopendelea ni strong Russia, hawa wazungu kwanini wanatumia nguvu sana ashindwe wanataka akishindwa na akafeli uchumi wakose upinzani kisha watufanye nini. Imagine kusingekuwa na Iran pale Middle East jinsi ambavyo Israel ingekuwa inawafanya Waarabu. Kunatakiwa kuwepo balance of power
 
Mmh kwaiyo mpaka mnafikia hatua ya kuvamia haya yote mlikuwa hamyajui ama acheni ile kwenu tayari mmeshaa nasa
Na ndio mana Russia hakuvamia kwa jeshi zima, Pia hizi Tabia ni za USA pia Nazani tungeanza kumlaani huyo maana Hapati maonyo wala vikwazo, Tunalizungumziaje hilo
 
⚡️ Chinese Foreign Ministry says it opposes illegal unilateral sanctions (CNBC)

The FM said Western sanctions on Russia do not resolve problems - only create new ones.
 
Back
Top Bottom