Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Wagner Group issued a statement in the form of an answer to a question on its Telegram channel, emphasising that only Wagner Group fighters were present in Soledar … and that trying to discredit this group from taking Soledar is due to some bureaucracy, corruption within the official ranks,” Hashem said.

Source Aljazeera

The fact is huu mji haujaanguka ila ni Majerali wa Russia na Wagner wanataka kujenga umaarufu... wote wakiulizwa baada ya kuuteka huu mji mmeelekea wapi?, wanasema wanaclear mji 😂😂😂
 
Warusi 740 wafariki kwa siku moja kwenye"Combat"🤔
...
Jan. 13 update on russian losses in war: +740 russian troops killed in action
View attachment 2478999
👏👏👏👏👏 Saaafy .... Ila habri mnayo ..... Endeleeni kupiga mkuki konzi huku mkijipa moyo. Kwa kweli .... MJINGA MWENYE CONFIDENCE NI TATIZO SANAAAAA KWA NCHI.
 
Vyovyote tu kikubwa kwa sasa mnakula nyama bila chumvi[emoji23][emoji23][emoji23].

Nasikia Kiev kifuko kimoja cha chumvi kinauzwa laki 3 kwa sasa
Hata kikinunua million, kikubwa tu ni kwamba operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu.., hakuna ushindi mkubwa kwa Ukraine kuliko huu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Rafiki yangu Proved.
Anaepigana full scale war ni Ukraine,Urusi ndio ilikua kwenye SMO.
Kama Mwamba Putin keshatangaza Full scale war hakika nakuambia Hali itakua mbaya zaidi.
Kama ni kweli unasema Urusi kapata hasara hiyo,basi ujue hiyo imetokana na SMO kua ya kistaarabu.
Akianza Vita kamili Ukraine itavurugwa vibaya mno.
Najua huipendi Urusi,lakini ni lazima ukubali kua Urusi Ina nguvu mno.
Urusi saizi yake ni NATO sio ukraine.
Kama Urusi Ingekua ni dhaifu kama ambavyo mnaaminishana humu nakuhakikishia kabisa pasipo na shaka kua NATO wange ingiza majeshi kamili kama walivyofanya Yugoslavia.
Kwa jinsi wanavyoionea huruma Ukraine na kwa jinsi Urusi anavyoipiga Ukraine nakuambia NATO wanaumia mno.
Sasa hata wewe jiulize TU swali jepesi.
Mbona hawakuwapa silaha waasi wa Libya? Waliingiza ndege zao kuwapiga wanajeshi wa Gaddafi.

Mbona hawakuwapa silaha Kuwait?
Waliingiza majeshi kamili kumpiga Sadam.

Mbona hawakuwapa silaha Wakosovo na wahanga wengine wa Yugoslavia?waliingiza majeshi.

Mbona hawakuwapa silaha waasi wa Syria?
Waliingiza majeshi ingawa waliondolewa na Urusi baadae,lkn walishapeleka melivita na ahadi ya Assad "must" go.
Na Kuna baadhi ya nchi NATO "waliweka no fly zone"
Ukiangalia mateso anayoyapitia Ukraine na ukiangalia michango ya silaha, intelligence,pesa na vikwazo ili kumdhiofisha Urusi,na ukiangalia hii SMO jinsi inavyowaathili Europe,USA na Dunia,inaonekana hii SMO ya Urusi dhidi ya Ukraine imewagusa sana na wanaionea huruma sana Ukraine,ndio utaona kua,Sasa ulikua ndio wakati sahihi na sababu tosha kabisa za NATO na west kumpiga Urusi,hasa ukizingatia hoja zenu kua Urusi ni dhaifu na Supapawa wa mchongo.
Sasa NATO wanasubiri Nini?Ukraine inazidi kuharibika na Europe inazidi kuathirika,wakimbizi,maisha yamepanda,biashara zimeharibika,usalama umeondoka,silaha zao kwenye maghala zimepungua.
NATO wanasubiri Nini Tena? Huu ndio wakati sahihi wa kuingiza majeshi kamili,sio misaada ya silaha.
Full scale war kwa Urusi maana yake ni kuangamizwa kwa Ukraine.
Kuna watu vichwa vyao ubongo empty..utawasikia tu Urusi hawaweziiiii NYATO....... Ukiwapa mifano vivid kama hivyo wanakimbia ovyo kama mbwa wa sokoni.... Ooh ajribu aone
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    4.8 KB · Views: 21
Kwenye huu Uzi Kuna watu wanapenda wao tu waonekane Bora hasa sisi wa urusi tunapoelemewa Ila sisi wa urusi tunavyopigwa hatupaniki Tena tunazima na data kabisa ili kuugulia tunawaacha Nyie wa NATO mtupe mawe yenu ila siku mkipigwa nyie wa NATO hamtaki mwambiwe Wala kuoneshwa picha badala yake nimeona Hapo mmeanza kutukana tu

Great thinker gani anaanza kutukana badala ya kujibu hoja? Tusiwe Kama Simba na yanga tuende kwa fact Kila mmoja alete habari kwa chanzo chake sio kutukana Kama mtu anayekufa maji huo sio ustaarabu.

Watu wa Russia siku zote ni wenye busara na hawapaniki Kama ndugu zenu wa NATO.
 
Sawa kabisa rafiki yangu Proved.
Ni kweli Ukraine ni mdogo sana kwa Urusi.
Lkn bado napenda ifahamike kua sio Kila mdogo ni mdogo kweli.kuna wadogo lkn ni wakubwa na wakubwa lkn ni wadogo.
UK iliwahi kuitawala Dunia kwa nguvu na kwa akili,ilipigana vita na mataifa makubwa kieneo na kuyashinda.iliyatawala mataifa makubwa kieneo na kuya mudu.mojawapo ndio hii USA ya leo.ilitawaliwa na UK na ikapewa uhueu wake na UK.halikadhalika India na nchi nyingine kubwa kieneo.

Japan iliwahi kua second largest economy in the world.na ilikua na uwezo wa kupigana na nchi kubwa kieneo zenye watu wengi kama china.
Ujerumani ndogo kieneo lkn iliwahi kupigana na Rest of the world..

Katika uchumi nchi ndogo kieneo inaweza kua na uchumi mkubwa kwa sababu ya akili,maarifa ,nguvu,ubunifu na mipango madhubuti katika nchi hiyo.

Vivyohivyo kijeshi .
Nchi inaweza kua ndogo kieneo lkn ikaweza kua na silaha Bora kabisa,askari hodari kabisa,majasiri na mbinu mujarabu na kiweza kupigana namataifa makubwa.

Ukraine kwa Urusi ni ndogo na inazidiwa na Urusi kwa silaha na mambo mengine yote.lkn bahati nzuri kwake inapewa silaha Bora kabisa kutoka NATO.NATO na hasa USA wako serious kabisa kutaka kumbomoa Urusi kupitia ukraine,wala hawajaribu,wala hawafanyi hivyo kuuz silaha,sio USA TU Bali na hata na baadhi Yao hasa UK.kwa hiyo silaha wanazitoa ni silaha Bora kabisa kwa viwango vya kumpiga Urusi ndani ya Ukraine.Na hii ndio unaona Urusi anapata angalaiu upinzani wa kati.
Kama sio misaada ya silaha na taarifa kutoka NATO ambao wametegesha mamitambo Yao kuzunguka eneo la ukanda wote wa vita nakuhakikishia Ukraine siku nyingi tu wangeshakubali kukaa mezani Huku nchi nzima ikiwa mikononi mwa urusi.ni nguvu ya silaha Bora kabisa kutoka NATO na hasa USA ndio imempunguza spidi Urusi.
Hivyo nchi ndogo haipo duniani,Bali ni silaha Bora kabisa.
Ukraine imepewa silaha Bora kabisa ingawa ni za masafa mafupi.
Lkini silaha hizo Bora zimeweza kupunguza spidi TU ya Urusi ila sio kumzuia.
Si wampe za masafa !!??
 
Back
Top Bottom