kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Msafara uligeuzwa majivu mkuu [emoji28]Hivi huo msafara wa vifaru vya urusi havijafika tyu kyv,yaan toka usiku wa jn wanasafiri
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Msafara uligeuzwa majivu mkuu [emoji28]Hivi huo msafara wa vifaru vya urusi havijafika tyu kyv,yaan toka usiku wa jn wanasafiri
Anajielewa ila mapenzi na usa ndio yamemuaribu ...inaitaji kua mjinga ili kusuport propaganda za nato ..hii vita imetuonyesha mengi kwa wenye uelewaAzov na neo Nazi ukro si watu...tayari wameishaiharamia akili ya kijana. Tumsaidie, atabadilika ingawa kwa taabu na itachukua muda.
Kawaida yangu ni kupiga panapouma,juu ya maumivu naongezea maumivu,Ndio comedian wa zele kwa upande wa jf [emoji1787][emoji1787]
Hakuna maana ingine Zaid ya kile ulichokua ukililia 🤣Huwezo wenu wa kusoma between the lines ni mdogo mno, nashangaa kwa nini mnajiita great thinkers kwa kushindwa kunga'mua coment simple tu..,ndio maana hata mkiambiwa " aliyetoboa sana alitoboa sikio " mnabeba tu kama ilivyo bila kusoma between the lines,kwa sababu akili zenu ni fupi mno
Mimi kuwaomba moderators wafungulie njia ya kuweka picha Ili niweze kupost picha za maiti, nilikuwa na maana yangu, lakini Kwa kuwa nyie ni mbumbumbu,hambao mnazoazoa vitu bila kuangalia ndio maana povu linawatoka.ndio maana tukiwaambia hamna akili Wala hatuwaonei
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aibu yenu..,kujiita great thinkers wakati mnashindwa hata kuelewa hata mafumbo ya darasa la tatu,Hakuna maana ingine Zaid ya kile ulichokua ukililia [emoji1787]
Umeamua kuchukua nafasi ya Vunjo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Iyo ndo nafasi inayokufaaMsafara uligeuzwa majivu mkuu [emoji28]View attachment 2479742View attachment 2479748
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi naendelea tu kupiga pale panapouma.., palepale ninapotoa mjeledi wa kwanza narudisha Tena hapohapoUmeamua kuchukua nafasi ya Vunjo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Iyo ndo nafasi inayokufaa
Kwamba ... Akiwa makini anaweza kujikuta yeye ndiye mpumbavu...daaah....MKUU ukiwa makini unaweza ukajikutia wewe ndio mpumbavu sababu IRAN waliishatangaza kama hawana mpango wakutengeneza silaha za NYUK
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kichaa au mwehu akiwa sio wq familia yako Kwa kweli , anafurahisha ila akiwa ndugu anahuzunisha.
Wanaanza kugombania ugari hambao bado haujaiva[emoji28]The Wagner Group issued a statement in the form of an answer to a question on its Telegram channel, emphasising that only Wagner Group fighters were present in Soledar … and that trying to discredit this group from taking Soledar is due to some bureaucracy, corruption within the official ranks,” Hashem said.
Source Aljazeera
The fact is huu mji haujaanguka ila ni Majerali wa Russia na Wagner wanataka kujenga umaarufu... wote wakiulizwa baada ya kuuteka huu mji mmeelekea wapi?, wanasema wanaclear mji [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapita kimyakimya kama wanaaga maiti....Umeamua kuchukua nafasi ya Vunjo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Iyo ndo nafasi inayokufaa
Kama wewe unavyoendelea kufurahisha watu hapa..,halafu kwa nini uliamua kujiita " mtoto wa nzi" naona unazo sifa zote za mtoto wa nzi[emoji28]Unajua kichaa au mwehu akiwa sio wq familia yako Kwa kweli , anafurahisha ila akiwa ndugu anahuzunisha.
Nyie pro- Ukraine mnashida sana..yaani sijui vichwani mna nini.... source zote zinasema mji umetekwa lakini bado wayukreini wa buza mnabisha..hivi vichwani kweli mnaubongo au nini? Au ndio kujisifia eti wabishi...mnashida sio bure...Wanaanza kugombania ugari hambao bado haujaiva[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vipi 500 wale solidar je vipi hapo. Waliouwawa na wafungwa wa urusiBusinessOriented acheni kudanganywa na uongo na propaganda za warusi, urusi inaweza kutamka chochote Ili tu kuwapumbaza wajinga..,bado hatujasahau ule uongo wa kuua askari zaidi ya 600 wa Ukraine wakati ushaidi unaonyesha wazi kwamba makombora yote yalimiss target [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumbuka pia urusi ana msaada wa nguvu kazi na nyenzo kutoka north Korea..,china.., Belarus.., Iran,na washirika wengine hambao hawataki kuonekana sura zao,Mwenye mashaka na urusi mpk ss atakua punguani kwa kweli...kwAnza kikosi Ni Cha kk security heri kingekua Cha suma jkt [emoji1787] na kinawapigisha kwata wanAjeshi kamili wa Ukraine ..afu pia ukraine kila cku inapewa misaada lakin bdo wanalia njaa hapo nashindwa kuelewa uwezo wa hizo nchi za nato
Hao 500 ndo kwanza nawasikia kwako,hebu nipe source ya taharifa niende nikajisomee,Vipi 500 wale solidar je vipi hapo. Waliouwawa na wafungwa wa urusi
Hao 500 ndo kwanza nawasikia kwako,hebu nipe source ya taharifa niende nikajisomee,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app