kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Huwezi kuelewa , Kaa kimya,haya mambo yanakuzidi kimo,Chutama Mkuu. Kaptura imechanika !
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huwezi kuelewa , Kaa kimya,haya mambo yanakuzidi kimo,Chutama Mkuu. Kaptura imechanika !
Aibu ya NATO ilianzia pale.walishapeleka melivita na ahadi ya Assad "must" go.
Wamekosa mvuto bila Russia! Maana mabilioni ya watu Afrika na kwingineko wanaiunga Mkono Russia.European football’s governing body UEFA is to form a working group this week to discuss Russia’s potential return to the international football fold, according to Secretary General of the Russian Football Union (RFU) Maxim Mitrofanov.
Pole sana, Mkuu. Itapona vumilia.Huwezi kuelewa , Kaa kimya,haya mambo yanakuzidi kimo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huwezo wenu wa kusoma between the lines ni mdogo mno, nashangaa kwa nini mnajiita great thinkers kwa kushindwa kunga'mua coment simple tu..,ndio maana hata mkiambiwa " aliyetoboa sana alitoboa sikio " mnabeba tu kama ilivyo bila kusoma between the lines,kwa sababu akili zenu ni fupi mnoAzov na neo Nazi ukro si watu...tayari wameishaiharamia akili ya kijana. Tumsaidie, atabadilika ingawa kwa taabu na itachukua muda.
Kama nawaona mnavyokereka Mimi kukaa hapa 24/7.., vumilieni tu.., mkiona inawauma sana nyie chomoa tu,[emoji28]Pole sana, Mkuu. Itapona vumilia.
Kupigwa kwa Ukraine, ikufanye ukomae kifikra ili wakati mwingine uwe more rational and objective.
Asante.
Iweke hapa maana yako ili ifanyiwe kazi kama utakavyo kutoka kwa moderators. Rahisi tu si ndiyo, Mkuu? Hiyo maana uipime sawa sawa usijelazimika kuchutamishwa.Mimi kuwaomba moderators wafungulie njia ya kuweka picha Ili niweze kupost picha za maiti, nilikuwa na maana yangu...
Umeshusha essay dogo teh teh teh.. Ki infinix kinajitahidi kweli. Umeshindwa ku afford simu za jamaa zako wa West au?? Teh teh tehMpaka Sasa unajidhihirisha wewe ni mtu wa namna gani,watu wenye Tabia ya kushobokea vitu vikubwa na kuona kumiliki simu kubwa ni big deal,ni Hawa wafuatao
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1.vijana waliofanikiwa kuingia chuo na kuanza "kufake" maisha hambayo hayana uhalisia na kipato Chao huku wakiwatwisha mzigo wa kughalamia fakelife wazazi wao hambao wako huko kujijjini kazuramimba wakiwa hoi bin tahabani
2.mabinti hambao wamekaa muda mrefu kwa wazazi wao na kuanza kuwa mzigo kwa wazazi wao..,na hii ni kutokana na ukweli kwamba Kwa Tabia zao mbaya wamekosa mtu wa kuwaoa,Hawa nao faraja Yao Huwa wanaona ni kumiliki simu kubwa Ili kupunguza stress na zinazotokana na masimango wanayopata kutoka Kwa wazazi wao na jamii inayowazunguka
3.wanawake Malaya ,hasa wale Wanaofanya kazi ya saloon au kusuka nywele,Hawa nao huwaambii kitu linapokuja suala la kumiliki simu kubwa .
4. Vijana limbukeni hambao hawafikilii kuhusu maisha Yao ya baadae,na mara nyingi Hawa kazi Yao ni kula na kulala kwa baba na mama,hata usafiri wa baiskeli hawana,wanategemea Hela ya daladala kutoka Kwa baba,hawa nao huwaambii chochote linapokuja suala la kumiliki simu kubwa
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Sina shaka utakuwa kwenye kundi Moja wapo hapo juu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tupe update za front line huko Ukraine, Mkuu. Ha ha haaaa!Kama nawaona mnavyokereka Mimi kukaa hapa 24/7.., vumilieni tu.., mkiona inawauma sana nyie chomoa tu,[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
The entire town is littered with the bodies of Ukrainian servicemen,” he said.
Wewe ndio unastaili kupewa pole kwa super pawer wenu wa mchongo kupoteza asikari wanaokaribia laki mbili pamoja na properties kibao kwa kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 Ili kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2]Pole sana, Mkuu. Itapona vumilia.
Kupigwa kwa Ukraine, ikufanye ukomae kifikra ili wakati mwingine uwe more rational and objective.
Asante.
Ukiona inakuuma chomoa mkuu.., I'm here to stay [emoji106]Umeshusha essay dogo teh teh teh.. Ki infinix kinajitahidi kweli. Umeshindwa ku afford simu za jamaa zako wa West au?? Teh teh teh
Wakianza na mazoezi ingependeza[emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Uingereza yaingiwa na uwoga baada Russia kusogeza Nyambizi karibu na kisiwa hicho
[emoji636] Royal Navy Tracks Russian Warship Sailing 'Close to UK’
Escorting warships through “UK territorial waters and adjacent sea areas is routine activity,” the Royal Navy stressed on Twitter after its HMS Portland shadowed missile frigate Admiral Gorshkov and accompanying tanker Kama Wednesday.
The Brit vessel was reportedly joined by a Norwegian Coast Guard vessel in the North Sea.
The task “alongside our NATO allies has demonstrated the UK’s commitment to the alliance and to maritime security,” Portland’s commanding officer said.
Gorshkov is the first Russian vessel to be armed with what many have described as “unstoppable” 7000 mph hypersonic weapons.
Navigate the News @RT_India_officialView attachment 2479199
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Updates za front line mbona nimeshakuwekea jinsi warusi wanavyochinjwa?? Au hujaona bado[emoji12]Tupe update za front line huko Ukraine, Mkuu. Ha ha haaaa!
Kuna aliyekufukuza?? Teh teh teh this is only relevant thing unafanya kwenye maisha yako. Keep going off kijana na hakikisha unabrush viatu vya shemeji yako akirudi kaziniUkiona inakuuma chomoa mkuu.., I'm here to stay [emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unajua Ndugu humu JF baadhi walistahili wawepo kwenye mitandao ya wanafunzi....uelewa wao uko chini mno....yaani wanadhani kuwa USA ikitangaza kuwa inapeleka Patriots systems sita wanadhani kuwa ni kweli atapeleka sita....hawajui kuwa anaweza kupeleka mpaka 15....Hao jamaa wa na NATO na USA wanapotangaza kuwa watapeleka msaada Ukraine unazani watatangaza mzigo utatuwa lini Ukraine. wanajua kunakuaribiwa kwa silaha
Tusibishe tu bila kutafakari
Siwezi nikakulaumu sana maana mimba niliyokutundika inakusumbua kweli [emoji2]Kuna aliyekufukuza?? Teh teh teh this is only relevant thing unafanya kwenye maisha yako. Keep going off kijana na hakikisha unabrush viatu vya shemeji yako akirudi kazini
Hao uliowanukuu wenyewe wanazitilia mashaka hizo habari ulizoziweka. Soma hayo maandishi madogo, baada ya heading yenye maneno " Russia 'losses as of Jan 13".wanazimamboleo![]()
![]()
Bradly hii picha ya kwanza usichanganye M113 picha ya piliWe bwege upo Bulyankulu huko utajuaje kua vimefika ona Wanamgambo wenzako wanalaumu msaada wa mbovu View attachment 2478946
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app