Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ops yetu inakwenda kama tulivyopanga kwamba Ukraine lazima irudi zama za mawe za kati.[emoji106]

[emoji779]️Dynamics Of Special Military Operation Positive — Putin

The Russian president told the Russia-1 channel Sunday that the military operation in Ukraine is developing according to the plans of the Ministry of Defense and General Staff.

“I hope that our fighters will please us more than once with their results of combat work,” Putin said.

Subscribe to RTView attachment 2482498
Dikiteta amebaki kutafta huruma Kwa mataifa mengine,Ili aonekane kwamba bado yupo [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ogopa warusi
Ogopa Urusi
Ogopa Taifa lenye asili ya vita

Kitakachowaponza na kilichowaponza Waukraine ni kuidharau Urusi na majeshi yake.

Sasa ardhi itaendelea kunyakuliwa
Miundombinu itaharibiwa
Jeshi litapunguzwa nguvu
Na kwenye meza ya mazungumzo watakaa on terms na condition za mrusi

Tukimaliza Bakhmut
Jua kituo kinachofuata
Ni Kramatorsk na Slovyiansk.
Huku Siversk ikiwa haijasahaulika
Kwa hiyo Ile ndoto yetu ya kheson - mycolaiv -oddesa,hatuna mpango nayo Tena, sio?[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Ile ndoto yetu ya kheson - mycolaiv -oddesa,hatuna mpango nayo Tena, sio?[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ile ndoto ipo pale pale
Odessa ni mji uliojengwa na Catherine the great ambaye alikuwa Empress wa Russian Empire.

Kherison -Nicolaev to Odessa direction ipo pale pale.

Ila tumerudi kwenye primary targer yetu ambayo ni kuikomboa DONBAS.

Hivyo uelekeo wa Bakhmut-Kramatorsk ni muhimu zaidi.

Ukisikia Wana wamefika Slovyiansk ujue Lyman pia itakuwa hatarini
 
[emoji779]️Georgia will not provide military assistance to Ukraine, because it does not want to be involved in the conflict - [emoji1109] Deputy PM Tsulukiani

“The Georgian authorities will not allow the Georgian state to be involved in a military confrontation, and accordingly we will not provide military assistance to one of the sides of the confrontation."

Follow @RT_India_official
 
Ile ndoto ipo pale pale
Odessa ni mji uliojengwa na Catherine the great ambaye alikuwa Empress wa Russian Empire.

Kherison -Nicolaev to Odessa direction ipo pale pale.

Ila tumerudi kwenye primary targer yetu ambayo ni kuikomboa DONBAS.

Hivyo uelekeo wa Bakhmut-Kramatorsk ni muhimu zaidi.

Ukisikia Wana wamefika Slovyiansk ujue Lyman pia itakuwa hatarini
Sawa,jongeeni mbele kwa sana..,kazi ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky ni kuendelea kuwachinja kwa wingi kadri wawezavyo.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nikumbushe tu urusi ameshamobilize askari laki tatu,na wote wameshachinjwa au kutiwa vilema..,Kwa Sasa anajiandaa kumobilize wengi laki Tano,hao wote watachinjwa au kutiwa vilema..,wataedelea kuchinjwa hivyo hivyo mpaka atakapopata akili, maana kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukimpa ujauzito mkeo maana yake watoto wako wamefariki. Kizazi cha Diamond Platnums
 
Urusi yarusha Makombora mapya kupiga miundombinu muhimu huko Kyiv na Kharkiv nchini Ukraine
https://bbc.in/3GGk3xU Tunatest mitambo tu
Dah kaka ume ua mtu huku cjui. Maana nafungua tu jukwaa nakutana na hii comment yako.

Halafu tulikua wawili hapa.
Jamaa kusoma comment tu kazimia hapa cjui kafa. Ngoja nimalizie kuisoma habari nianze kumpepea maana hana faida.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sio kipanya44 huyo.maana jamaa kwa sasa anaishi akiwa na mawazo ile mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikumbushe tu urusi ameshamobilize askari laki tatu,na wote wameshachinjwa au kutiwa vilema..,Kwa Sasa anajiandaa kumobilize wengi laki Tano,hao wote watachinjwa au kutiwa vilema..,wataedelea kuchinjwa hivyo hivyo mpaka atakapopata akili, maana kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona Urusi wamepoteza wanajeshi laki 3 basi jua kuna wanajeshi milioni 6 wa ukraine watakuwa wameenda na mma
 
Russia akitumia ardhi ya Belarus nchi za NATO zitailngulia Safari hii ndio sbbu ya kuifanya Ukraine kua mwanachama wa NATO si kisheria ndio mkakati uliopo sasaivi
Kama wamemuingiza NATO kama unavyojinasibu hapa .... Si mwenzao anapigwa!!?? Wanasubiri nini kuingia mpaka wasubiri watokee Belarus!!?? Umejiuliza hilo!!??
 
Russia atakuja kutumia nyuklia huko mbele ya safari maana hii vita Russia hawezi kumshinda Ukraine vovote vile hasa US km anaendelea kumsaidia Ukraine. Sana sana Russia atafukuzwa na Ukraine ktk ardhi ya Ukraine lkn sio kumshinda Ukraine. Na hapo sasa Russia atatumia nyuklia kumshinda Ukraine maana hana namna yoyote ile ya kushinda hii vita na hapo sasa ndio itakua mbaya sn Kwa Russia maana mataifa ya magharibi yatamshambulia sn.
Aseee...... Na huyu ni Great Thinker ...hii nchi tutachelewa sana Kwa akili kama hizi.....
 
Zelensky aliyakanyaga....hakuwa mjanja,alipaswa kutumia akili sio hisia..alipaswa kuwa smart..

Ajifunze kwa yule mwenzake wa Georgia..walipopigana na Russia 2008, baada ya uraisi wake kuisha..kahangaika sana, mpaka alikimbilia Ukraine wakati wa Poronshenko....alipewa uraia...baadae karudi Georgia..ikaingia serikali ambayo haitaki ugomvi na Russia, tunavyoongea yuko Gerezani...huyu alikuwa zaidi ya Zelensky kipindi kile, full kushangiliwa kila kona...pro western kindakindaki.....

Zelensky anasafari ndefu sana....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hii vita itakuja kua na hatima mbaya sn maana malengo ya US ktk hii vita ni kuhakikisha vita inaendela dhidi ya Russia kijeshi na kivikwazo ili baada ya muda kuhakikisha kabisa Russia anatoka ktk kuwa superpower.kitu ambacho Russia hatokubali itabidi Russia watumie nuclears kuimaliza hii vita kotu ambacho mtaifa ya magharibi hayatakubali. Ndio hapo sasa mwisho jtakua mbaya sn
Huo ni mtazamo wako hakuna anayekupinga ila mtazamo wangu ni kwamba Hakuna Nuclear itakayopigwa hapo Ukraine mpaka mgogoro huu utakapoisha, Ukraine hana cha kufanya Russia atumie Nuclear kwenye hiyo operation yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona Urusi wamepoteza wanajeshi laki 3 basi jua kuna wanajeshi milioni 6 wa ukraine watakuwa wameenda na mma
Wenyewe wanakwambia wanajeshi wa Ukraine hawafi ila wana "disappear"

US general anashangaa wanadisappear kwenda wapi
20230115_204728.jpg
 
Russia atakuja kutumia nyuklia huko mbele ya safari maana hii vita Russia hawezi kumshinda Ukraine vovote vile hasa US km anaendelea kumsaidia Ukraine. Sana sana Russia atafukuzwa na Ukraine ktk ardhi ya Ukraine lkn sio kumshinda Ukraine. Na hapo sasa Russia atatumia nyuklia kumshinda Ukraine maana hana namna yoyote ile ya kushinda hii vita na hapo sasa ndio itakua mbaya sn Kwa Russia maana mataifa ya magharibi yatamshambulia sn.
Ni swala la muda tu wote wanaotoa msaada wa silaha kukaa pembeni.uwezi shindana na mtu mwenye Mafuta,madini na viwanda.

Mwenzenu anachukua madini anatengeneza silaha.mafuta yapo kwake, nyie kila kitu ela.hapo mtashindana vipi.

Muda utaongea tu.tuwe wapole
 
Back
Top Bottom