Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia Ni nchi ya ajabu Sana kivita. Kwa muda wote ilipotazamiwa kuanguka kiuchumi imeibuka kuwa kitisho zaidi kwa uchumi wa ulimwengu na si dhidi yake japo kiukweli vikwazo vina athari kubwa. Kwa uhimilivu huu wa Russia zile stori za kushangaza kutoka ulaya Kwamba
_Russia itaanguka kabisa kiuchumi Hapo Mey 2022
_Russia Wana precision missile za kutumia Mara 3 hivi. Hiyo Ni mwishoni na mwanzoni mwa March 2022.
_ Askari wa kirusi Wana njaa Kali , Russia haiwezi kuwalisha coz Ni taifa maskini Sana la Ulaya Mashariki.
_Russia hawana hata vifaa vya oxygen kwajili ya mapilot wao. Cha ajabu Ni Kwamba bila oxygen kit huwezi kuendesha ndege inayoenda kws zaidi ya km 1500 / h japo kwa mwendo was km 30/h . Utakufa vibaya.
_ Russia wanatumia outdated Soviet weapons. Zipi hizo outdated Smerch MLRS? Su 25 frogfoot? Mi 28? Rpg 29? TU 95? TU 160? Hizo zote Ni mwiba mkali si TU Ukraine Bali kwa nchi yoyote dhidi ya Russia. Huyo huyo anaesema hivyo Hana silaha mpya za ajabu ana A 10 warhog, f15, b 52, Nlaw, F 16, zote za cold war?
Kipya Nini hapo?
Destruction ya missile ya Smerch Ni karibu robo tatu ya pitch ya kuchezea Uwanja wa mpira.
_Ongezea mwanajf
Stori hizi zimebaki stori za alinacha na alama halisi ya kusimama kidete taifa kubwa kulinda maslahi yake.
Kwa hiyo Russia ni Supa-pawa ?..
 
Muulize kwanza huyo kenge anayejiita Idris propaganda zake anazitoa wapi ukishafanya hivyo Rudi Tena tujadiliane [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kinacho wakuta wenzio bakhmut kina jieleza cna haja ya kuuliza. Kazi kwako mtoa takwimu. Mpe jibu na huyo general
Screenshot_20230116-095330.jpg
Screenshot_20230115-205613.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na yote bado Russia inaendelea kupata hasara,ya watu na vifaa vya kijeshi🤔
.....
Jan.16 update on russian losses in the war
FB_IMG_1673853065760.jpg
 
Pamoja na yote bado Russia inaendelea kupata hasara,ya watu na vifaa vya kijeshi🤔
.....
Jan.16 update on russian losses in the war
View attachment 2483125
Haha,Hasara ndogo sana hiyo,ungekuwa na akili usingepost hii ujinga, Ukraine imepoteza watu,Ardhi,eneo la madini ,inaenda kupoteza bandari,imepunguzwa nguvu kijeshi,imejiingiza kwenye madeni amabayo ni ngumu kulipika n.k.
 
Ukiona hadi jeshi la ukraine hapa jf amebaki mpambanaji mmoja ndugu kp kipanya44 jua field pia mambo ni mazito kwa zelensky. Sioni tena update hata za propaganda za kusonga mbele kwa majeshi ya mchekeshaji
Kawaida gari inavuta gurudumu Moja Mzee..,kubaki mmoja sio hoja, maadam nazima ndoto yenu ya kuufanya huu Uzi kuwa jukwaa la kueneza propaganda uchwara za super pawer wa mchongo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hawa hawaelewi kuwa kipindi vita vinaanza USA na washirika WAKE walipeleka zaidi ya takribani 50 billion dollar na abject ya russia ni 64 billion dollar.
Nato na USA walipeleka siraha nyingi sana mara ya kwanza na waliamni pamoja na vikwazo zile russia itaanguka miezi michache.
Ila kilichotokea mpaka wao kakamata TAMAA.
Hata sasahivi speed ile ya MARA ya kwanza ni mdogo .
Sasa kama UK anapeleka challenger 2 tanks 10, zinakazi gani kule mkuu.
Kulinda kwa zele hio haiwezekani
Vile vifurushi vya military aids vilianza kupungua toka september.

Vyanzo vyao vya habari vinasema west walishaanza kuishiwa na silaha za kupeleka Ukraine.

20230116_123513.jpg
 
Ukraine Hana Cha kupoteza mpaka Sasa..,kama ni nchi imeshaharibika sana ..,Cha msingi ni kuendelea kumpigisha danadana huyu anayejiita super pawer, mpaka apate kilema Cha maisha

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine inabaki magofu!!! Unapochezea sharubu za simba unategemea nini? Majimbo manne keshapoteza tayari mbali na Crimea!!! Hawezi kupigana bila kulilia silaha toka marekani na NATO kwa ujumla!! Anadai ana air defense toka nchi za NATO lakini kichapo kinatembea kila leo!!
 
Back
Top Bottom