Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine inabaki magofu!!! Unapochezea sharubu za simba unategemea nini? Majimbo manne keshapoteza tayari mbali na Crimea!!! Hawezi kupigana bila kulilia silaha toka marekani na NATO kwa ujumla!! Anadai ana air defense toka nchi za NATO lakini kichapo kinatembea kila leo!!
Unafikiri huyo dikiteta alijiandaa kupigana vita ya muda mrefu namna hii? Yeye alifikiri kwamba itakuwa kama Crimea tu ,ndio maana aliwapa askari wa Ukraine saa 24 wajisalimishe, lakini badala yake wanaume wakamdindishia huku asikari wake wakiendelea kupukuchuliwa mithili ya senene,.. safari lazima urusi achakazwe mpaka ashike adabu yake🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama

Kama ni hivyo mbona majimbo manne yamepokonywa? Walikuwa wapi kuchinja wavamizi?
Majimbo hayo yanapokonywaje Ili Hali askari wa urusi wanaendelea kuchinjwa huko? Ile referendum ilikuwa ya kwenye makaratasi Mzee.., urusi ataendelea kutembezewa mkong'oto maadam Yuko kwenye ardhi ya ukraine.., safari ni lazima aiteme mpaka crimea kwa ghalama yoyote [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unafikiri huyo dikiteta alijiandaa kupigana vita ya muda mrefu namna hii? Yeye alifikiri kwamba itakuwa kama Crimea tu ,ndio maana aliwapa askari wa Ukraine saa 24 wajisalimishe, lakini badala yake wanaume wakamdindishia huku asikari wake wakiendelea kupukuchuliwa mithili ya senene,.. safari lazima urusi achakazwe mpaka ashike adabu yake🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Oh kumbe hakujipanga kupigana vita mda mrefu.

Sasa inakuaje. Bado yuko vitani. Au bado mda mrefu haujafika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Humu kama vile kuna mapandikizi ya Westerns !! Mtu ana andika Propaganda mpaka anakufanya unaduwaa. Anyway Kuna Pages huko Twitter zinaonesha maendeleo ya hii Vita Russian wamefika mbali sana
Humu mnabishana na machoko hawana hoja zaidi ya viroja.. Huyo dogo kuna dalili zote kuwa ni ***** anakaa kwa shemeji yake..
 
Wako Ukraine toka 2014 katika hiyo mikoa waliyojitangazia kuwa ni ya kwao ukiachana na hizi situations za sasa za Russia kurusha makombora kwa raia na kuharibu miundo mbinu so far hakuna walichoweza kuachive toka 2014
Kuteka majimbo manne ambayo ndiyo yenye uchumi mkubwa na kuyafanya sehemu ya urusi halafu unasema hakuna alichoachive?
 
Wako Ukraine toka 2014 katika hiyo mikoa waliyojitangazia kuwa ni ya kwao ukiachana na hizi situations za sasa za Russia kurusha makombora kwa raia na kuharibu miundo mbinu so far hakuna walichoweza kuachive toka 2014
Hawaja achieve chochote wakati unadai miundombinu inakwenda na maji? Endeleeni kudanganyana nchi inaisha, shauri yenu..
 
Hahahahahahaha. Watajisumbua sana

Ule [emoji91] mwengine

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa tulieni sasa vijana wakakamavu wa rais zelensiky wa rais zelensiky waendelee kuwapelekea moto..,acha kulialia mara ooh west kafanya hili .,mara ooh west kafanya Lile..,nyie tulieni tu na huyo zelensiky awape dawa yenu[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama nchi ilishindwa kuchukuliwa na ule msafara wa km 64..,Cha msingi huyo super pawer wa kuchonga aendelee kuugulia maumivu tu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unasema haya wakati unajua kabisa huyo unayemdharau keshateka vyumba vinne kwenye nyumba yako na kuviita kuwa vya kwake na hauna uwezo wa kumtoa na kila siku unalilia kupewa silaha!
 
Mnavaa medani huku mkiendelea kuchinjwa,duh,nyie watu mna kazi sana kumtetea huyu super pawer wa kuchonga [emoji16][emoji16]View attachment 2483110

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama ingekuwa ni kweli urusi angekuwa keshaondolewa hadi hata crimea!! Kwa bahati mbaya sana propaganda hazipigani wala kuzuia mashambulizi!! Anayelia saa hizi anajulikana!!
 
Ukraine bado wanaweweseka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2482899
An emergency worker views the site of a residential building hit by a Russian missile on Sunday in Dnipro. (Yevhenii Zavhorodnii/Global Images Ukraine/Getty Images)

The Russian missile that hit an apartment block in Dnipro on Saturday was “no doubt” a Kh-22 missile, the Air Force Command of the Ukranian Armed forces said Sunday on its Facebook page.

“[A] Radar detected the approximate launch site, altitude, and flight speed. There is no doubt that it was an X-22 [Kh-22] missile,” it said.

“The Armed Forces of Ukraine lack the firepower capabilities for shooting down this type of missile….

Continue Reading


News Source: Russian missile that hit Dnipro apartment block was "no doubt" a Kh-22 missile, says Ukrainian Air Force Command
Huu mzigo una warhead ina 950 kg na imeundwa maalum kwa ajili ya aircraft carrier. Uhalibifu wake ukitua sehem sio wa kitoto
 
Sawa tulieni sasa vijana wakakamavu wa rais zelensiky wa rais zelensiky waendelee kuwapelekea moto..,acha kulialia mara ooh west kafanya hili .,mara ooh west kafanya Lile..,nyie tulieni tu na huyo zelensiky awape dawa yenu[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
West wa kwa mtogole au maana ninao wajua mimi huko wana hangaika hangaika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Oh kumbe hakujipanga kupigana vita mda mrefu.

Sasa inakuaje. Bado yuko vitani. Au bado mda mrefu haujafika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kivyovyote vile utakavyopenda kutafsiri, lakini bajeti ya miaka 5 tayari imeshawekwa mezan kwa ajili ya kumtembezea mkong'oto huyo aliyejiita super pawer huku akishindwa kukatiisha kanchi kadoogo Tena jirani yake kwa takriban mwaka mzima Sasa[emoji134][emoji134]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Marekani na NATO kwa ujumla walianza maandalizi ya kuichochea ukraine iingie vitani na urusi toka 2014. Waliipa silaha, fedha na mafunzo ya kijeshi!! Lakini hadi sasa wanalalamika kuishiwa silaha ila URUSI hata siku moja haijalalamika kuishiwa silaha au kuomba silaha nchi nyingine!! Hapo ndo ujue URUSI ni dude lisiloishiwa!! Dude moja linapigana na nchi 29 za NATO na bado liko poa pamoja na vikwazo lukuki.
 
Back
Top Bottom