Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo linakuja pale Russia anapowapeleka machinjioni vijana wa nchi nyingine hambao Wala hawahusuki na hii vita,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We ndo unajipendekeza kwenye vitu visivyokuhusu.mtu alikuwa kazini alafu wewe unasema hausiki[emoji23][emoji23][emoji23] ivi unajielewa vizuri wewe.

Wagner kazi zipo ni wewe tu.kama unaweza kazi unachukulia.

* ukipangiwa kulinda mji ni 150$ per day
*ukienda front moja kwa moja ni $500 per day.

Kama unaitaji njoo inbox
 
Nikweli wewe bisha migambo 8 masoja 2 ndiyo ratio anayo urussi utumia kwenye uwanja wa vita yaani 7 kwa 3 au 8 kwa 2 majuzi ndiyo ratio imeongezwa kuwa 6 kwa 4
Mkuu nukujulishe tu kwamba mpaka Sasa elite solders wote wa urusi wameshachinjwa huko Ukraine..,Kwa Sasa urusi kaishiwa kabisa,Hana professional soldier yeyote,wanaopigana kule kwa Sasa ni wanywa gongo, wafungwa.., pamoja na wale mobilized soldiers aliowapeleoa front line Kwa nguvu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kule Ukraine rais zelensiky hawapeleki vijana kwa nguvu kama anavyofanya yule dikiteta..,kule urusi ukigoma kwenda kupigana kwenye uwanja wa vita adhabu yake adhabu yake ni kulambwa shaba,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sema US kupitia oblast yake ya Ulaya imethibitisha......
Puting political rhetoric aside, viongozi wa ujerumunani ni binadamu makini sana hawafuati blindly American driven rabid hatred kuhusu Urusi - ndio maana American Admininstration wanawawekea shinikizo Wajerumani wakupeleka silaha Ukraine, lakini wajerumani are veryv crafty ndio maana utasikia zana za kivita kutoka Ujerumani zilizopelekwa Ukraine hazifanyi kazi kwa ufanisi na zinaharibika mara kwa mara na hawana vipuri!! Nakumbuka vizuri hata humu kuna baadhi ya supporters wa NATO walivyo furahishwa na Ujerumani kujitolea kuwapatia jeshi la Ukraine some air defense system batteries zinazo pewa sifa lukuki kwa mataifa ya west, eti sasa Urusi itakoma, sasa swali ni,je: Silaha hizo za Kijerumani ziliwahi kuntungua ndege ndapi au criuse missiles ngapi za Urusi?? Mbona sana, miundo mbinu za Taifa la Ukraine zinalipuliwa karibu kila siku, nani ambaye hajui kwamba miji mingi ya Ukraine haina umeme wala maji licha ya anga la Ukraine kulindwa na kile wanacho kiita air defense systems kutoka magharibi - ukweli ni kwamba majigambo ya magharibi hamna kitu ni ngonjera tu na kutaka kufurahisha baraza, nyie subirini tu hata Patriot zitatiwa kiberiti na Warusi hivyo hivyo, si ajabu zilisha pelekwa huko Ukraine kutoka Poland na Romania lakini hawataki kusema ukweli.

Juzi juzi hapa Ujerumani imesema mataifa ya Ulaya yenye vifaru vilivyo undwa Ujerumani visiwape wanajeshi wa Ukraine bila ya kupewa kibali kwanza kutoka Serikali ya Ujerumani - unajua kwa nini??
 
Unafananisha Rais wa Dunia na takataka.Urusi anategemewa na Dunia nzima.Zelensk anategemewa na nani?.

Jaribu kushirikisha vizuri ubongo wako kabla ujaongea jambo.
Putin Kwa Sasa Hana ushawishi wowote..,Kuna taharifa za kuaminika kwamba bahadhi ya makamanda wake wameanza kumgomea Kwa Sasa..,jamaa ana stress za kutembezewa kichapo Hadi balaa..,ndio maana Kwa Sasa anafikia hatua ya kuwafokea mawazili Wake hadharani kwa sababu ya msongo wa mawazo unaoendelea kumzonga,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Useme mwenyewe hakuna medani (Battle field) nikuulize Ukraine ni Nini halafu unarukaruka kama bisi .... Maelezo meeengi ... Swali ni Moja Ukraine ni battle field au poultry!!?? Au umesahau ulichoandika nikukumbushe!!??
Tatizo unaonekana unapenda ubishi nimeweka bayana kuwa ukraine ni battle field ambayo ni mbaya kwenye dunia ya leo, vita ya silaha mataifa mengi wanaikwepa kutokana na madhara yake. Point yangu mimi, mataifa mengi wamechagua kubattle kwenye uchumi, technologia ya anga na kadharika. Silaha na majeshi imebaki kama defense mechanism. Na kama ukitaka kujaa uwezo wa medani kati ya haya majeshi mawili unaweza usipate kutokana kuwa vita huwa na propaganda nyingi.
 
Ukweli ni kwamba yule dikiteta ametoa amri ya kupelekwa front line mtu yeyote atakayehamriwa kufanya hivyo.., urusi Kwa Sasa amefikia hatua hambapo utu wa mtu hauthaminiwi ,Bali hamri za kikatili zinazotolewa na mtu mmoja ndio zinaendesha nchi,🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba yule dikiteta ametoa amri ya kupelekwa front line mtu yeyote atakayehamriwa kufanya hivyo.., urusi Kwa Sasa amefikia hatua hambapo utu wa mtu hauthaminiwi ,Bali hamri za kikatili zinazotolewa na mtu mmoja ndio zinaendesha nchi,🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kule Ukraine rais zelensiky hawapeleki vijana kwa nguvu kama anavyofanya yule dikiteta..,kule urusi ukigoma kwenda kupigana kwenye uwanja wa vita adhabu yake adhabu yake ni kulambwa shaba,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Your browser is not able to display this video.

n Odessa, the distribution of summons for conscription for military service continues. Summons are handed to Ukrainians anywhere - in public transport or just on the street.
 
Unafananisha Rais wa Dunia na takataka.Urusi anategemewa na Dunia nzima.Zelensk anategemewa na nani?.

Jaribu kushirikisha vizuri ubongo wako kabla ujaongea jambo.
Siku nyingine unapojenga hoja hupaswe kufanya generalization. Kujifunza sio dhambi unaposema dunia nzima ni kitu ambacho uwezo wake wa kupata majibu. Angalau ungejenga hujo kuwa putin ni maarufu zaid ya sio anategemewa
 
Sema real mana mambo ngumu
 
Mifumo na muundo wa jeshi unatofautiana na kufanana miongoni mwa mataifa ya ujamaa na yale ya ulaya. Muunda wa jeshi la urusi wanaajri kwa mtataba na wale wa mujibu wa sheria ( conscripted recruits ). Muundo wao pia ni top down decision
making yaani amri inapotoka juu hakuna mjadala.
 
Nani kakwambia Urusi inazoazoa watu mitaani wacha mihemko, huoni Ukraine wanachokifanya Sasa wanachukua Yani wanafanya bebabeba Hadi ya vijana kuanzia miaka 14 kwasasa Wala siporojo
 
Jan. 17 update on Russian losses in war: +870 Russian troops killed in action
 
Kwa hiyo urusi amesha poteza wanajeshi milioni moja .....wewe unajua ukubwa wa jeshi lote la polisi magereza migambo nk sijui hata kama unajua majeshi yote ya urusi
 
Nijibu urusi kuna wanawake jeshini au la ? Umewai kuwaona uwanja wa vita wanawake wengi wa urusi
 





World​

Russia produces first nuclear warheads for Poseidon super torpedo​

WORLD HAL TURNER 16 JANUARY 2023 HITS: 8109

Russia has produced the first nuclear warheads for the Poseidon super torpedoes to be deployed on the Belgorod nuclear submarine, the Russian News Agency TASS reported on Monday, citing an unidentified defense source.
"The first Poseidon ammunition loads have been manufactured, and the Belgorod submarine will receive them in the near future," TASS quoted the source as saying.

Putin announced Poseidon in 2018​

President Vladimir Putin first announced what would become known as Poseidon in 2018, saying it was a fundamentally new type of strategic nuclear weapon with its own nuclear power source.
In the 2018 speech, Putin said the range of the torpedo would be unlimited and that it could operate at extreme depths at a speed many times that of any submarine or other torpedoes.
"They are very low noise, have high maneuverability and are practically indestructible for the enemy. There is no weapon that can counter them in the world today," Putin said.
The Poseidon, or the Ocean Multipurpose System Status-6, is a underwater unmanned vehicle that can be launched by a submarine. According to Popular Mechanics, it can travel up to 6,200 miles at speeds of 56 knots (Just over 100 kilometers per hour).
It is said that the torpedo will position itself over a mile off an enemy coast, in water that is at LEAST 1 mile deep, and detonate a warhead that is said to be one-hundred-megatons.
This warhead will cause a Tsunami wave in the ocean, that will, in computer simulations, create a wave one-thousand, five-hundred feet tall, that comes ashore and destroys the entire coastline for several MILES inland, covering it with highly radioactive water, leaving the shore, and several MILES inland, completely flattened and so radioactive it cannot be inhabited for DECADES.
In the case of the United States, such devices, detonated several miles off the eastern coast, would wipe out almost all major cities. There would be no warning that it was about to detonate, and no time to escape the Tsunami wave. Millions would perish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…