kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwani nimekwambia nawadai? Mbona unajishtukia bibie
Miongoni mwa vitu nilivyo chukua kwa wazee wangu ni hekimaKwani nimekwambia nawadai? Mbona unajishtukia bibie
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yani mambo ya ndani ya jeshi la Urusi uje kujua wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Putin Kwa Sasa Hana ushawishi wowote..,Kuna taharifa za kuaminika kwamba bahadhi ya makamanda wake wameanza kumgomea Kwa Sasa..,jamaa ana stress za kutembezewa kichapo Hadi balaa..,ndio maana Kwa Sasa anafikia hatua ya kuwafokea mawazili Wake hadharani kwa sababu ya msongo wa mawazo unaoendelea kumzonga,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nani unayemjua ambaye yupo Urusi kalazimishwa kwenda kupigana.ebu mtaje mmojaUkweli ni kwamba yule dikiteta ametoa amri ya kupelekwa front line mtu yeyote atakayehamriwa kufanya hivyo.., urusi Kwa Sasa amefikia hatua hambapo utu wa mtu hauthaminiwi ,Bali hamri za kikatili zinazotolewa na mtu mmoja ndio zinaendesha nchi,🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni kweli we ingia kwenye page wa Wagner utapata mchongoSema real mana mambo ngumu
Muda si mrefu itaondoka tu.Ukraine kwa sasa awana uwezo wa kuwazuia Warusi[emoji298]️Siversk is at a huge risk of going under encirclement. https://t.co/EaNr1dspkNView attachment 2484508
Juzi juzi jamaa katamka wazi kuwa hawezi kuiacha Russia ipotee. Ngoja waingie waone.Hii vita itakuja kua na hatima mbaya sn maana malengo ya US ktk hii vita ni kuhakikisha vita inaendela dhidi ya Russia kijeshi na kivikwazo ili baada ya muda kuhakikisha kabisa Russia anatoka ktk kuwa superpower.kitu ambacho Russia hatokubali itabidi Russia watumie nuclears kuimaliza hii vita kotu ambacho mtaifa ya magharibi hayatakubali. Ndio hapo sasa mwisho jtakua mbaya sn
Mataifa Gani hayo. Watu wanaogopa kuingilia wanajua kitakacho wapataRussia atakuja kutumia nyuklia huko mbele ya safari maana hii vita Russia hawezi kumshinda Ukraine vovote vile hasa US km anaendelea kumsaidia Ukraine. Sana sana Russia atafukuzwa na Ukraine ktk ardhi ya Ukraine lkn sio kumshinda Ukraine. Na hapo sasa Russia atatumia nyuklia kumshinda Ukraine maana hana namna yoyote ile ya kushinda hii vita na hapo sasa ndio itakua mbaya sn Kwa Russia maana mataifa ya magharibi yatamshambulia sn.
Masikini 🥱[emoji848][emoji848].., wote hao HIMARS zinakwenda kuwageuza majivu, sijui Kwa nini Putin hachoki kuwapeleka machinjioni vijana wakeVikosi vipya vya Urusi vikiwa vimewasili front kwa ajili ya kuongeza nguvu zaidi
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Viva Russia
View attachment 2484603
Wote wataswagwa hao .., HIMARS Haina habari na vitu vipya kutoka kiwandani.,ni mwendo wa kupeleka moto tu, [emoji2]Mobilize wakiwa na vitu vipya kabisa kutoka kiwandani. Ak 12sView attachment 2484600
Nikianza kuwataja hapa severs za jamiiforum hazitatosha kuwajaza hapa,kwa ufupi ni kwamba waafrika wenzetu wanaendelea kuchinjwa huko urusi Kwa hamri ya dikiteta PutinNani unayemjua ambaye yupo Urusi kalazimishwa kwenda kupigana.ebu mtaje mmoja
Himars zinafanya kazi mpaka itokee sherehe.vitani hazina kazi[emoji23][emoji23][emoji23].Wote wataswagwa hao .., HIMARS Haina habari na vitu vipya kutoka kiwandani.,ni mwendo wa kupeleka moto tu, [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa umenyoosha maelezo....vgoodTatizo unaonekana unapenda ubishi nimeweka bayana kuwa ukraine ni battle field ambayo ni mbaya kwenye dunia ya leo, vita ya silaha mataifa mengi wanaikwepa kutokana na madhara yake. Point yangu mimi, mataifa mengi wamechagua kubattle kwenye uchumi, technologia ya anga na kadharika. Silaha na majeshi imebaki kama defense mechanism. Na kama ukitaka kujaa uwezo wa medani kati ya haya majeshi mawili unaweza usipate kutokana kuwa vita huwa na propaganda nyingi.
Hiyo ndio ghalama ya kulinda uhuru Mzee.., uhuru haupatikani Hivi hivi tu kama maji .., uhuru lazima uwe na ghalama yake, iwe mvua liwe jua lazima dikiteta apigishwe danadana kwa ghalama yoyoteNaona BBC akili zimeanza kuwakaa sawa.wameona bora watoe habari za kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hili ndo moja la taifa kubwa linalounda umoja wa NATO.je kwa hali hii wanaweza kweli kusimama vitani na WarusiView attachment 2484605
Shida yako unapayuka tu kujifurahisha.ukiambiwa ulete ushahidi unakimbia mbio[emoji23][emoji23][emoji23]Nikianza kuwataja hapa severs za jamiiforum hazitatosha kuwajaza hapa,kwa ufupi ni kwamba waafrika wenzetu wanaendelea kuchinjwa huko urusi Kwa hamri ya dikiteta Putin
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app