Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo ni kweli mkuu na Kwa maneno yako kwenye hii coment umekiri wazi kwamba urusi kaonesha uanamme ,kaenda kampiga kibaraka wa west na hakuna mtu aliyemfanya chochote.., nadhani kwa nukta hii Sasa tufunge ukurasa kwamba super anapigana na Ukraine tu,Wala hakuna aliyeingilia

Mambo ya kila siku kuwasingizia NATO kwamba wanapigana na urusi,yakome kuanzia Leo,.., urusi anapigana na Ukraine kama ulivyokiri mwenyewe Wala hakuna aliyeingilia [emoji106][emoji106]

Sasa kazi inabaki kushuhudia kati ya yule anayejiita super pawer pamoja na jirani yake nani ataibuka kidedea[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yameingiza mamluki na silaha zao ila kichapo ni palepale.

Hivi Himmars zimeishia wapi?? Tomahawk hazijapelekwa??
 
Taifa lolote linasimama katika misingi ya historia hakuna mti usio na mzizi. Simple logic tu kwanini raia wa ukraine wamepata ujasiri wa kusima na urusi wakati wako outnumbered kwa kila kitu. Uwezo wa medani na muundo wa majeshi upo kihistoria pia usiichukulie uingereza kishabiki vyuo vyake vinasifika kutoa mafunzo bora ya uongozi wa kijeshi. Pia uingereza wako vizuri kwenye ( close combat tactics ). Russia ni mzuri sana kwenye mizinga hapa anawapa nightmare sana wapinzani wake
@Maxence Melo ,ushawahi sikia hii,hakuna mti usio na mzizi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yameingiza mamluki na silaha zao ila kichapo ni palepale.

Hivi Himmars zimeishia wapi?? Tomahawk hazijapelekwa??
HIMARS bado zinaendelea kuwachinja warusi huko front line Mzee..,sio kila kinachotokea uwanja wa vita utaambiwa, vinginevyo utauliza kwamba mbona husikii lisasi zikifyatuliwa huko field [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
HIMARS zitaendelea kuwapelekea moto siku zote mkuu..,mbaya zaidi ni kwamba Hadi wakati huu .., super pawer wa kuchonga hajafanikiwa kuidaka hata Moja [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Urusi ana silaha zingine mpaka magharibi wenyewe walikuwa awajui kama Urusi kashazitengeneza
 
Vivyo hivyo Ukraine ana silaha nyingi hambazo urusi hakuwahi kuwa na habari.., silaha kama javelin urusi Wala hakuwa na habari.., matokeo yake akapeleka msafara wa magari ya kivita na vifaru kuelekea Kiev..,kilichotokea pale, javelin ziliugeuza msafara wote kuwa majivu [emoji16][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
HIMARS bado zinaendelea kuwachinja warusi huko front line Mzee..,sio kila kinachotokea uwanja wa vita utaambiwa, vinginevyo utauliza kwamba mbona husikii lisasi zikifyatuliwa huko field [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zina wachinja sehemu gani ikiwa kila sehemu ya vita uwanja umeinama.

Wachinjwaji ndo wana hali hii.itakuwa wakichinjwa wanajiunga tena maana sio bure.wanachinjwa ila bado wanasonga tu mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20230116_224802.jpg
 
Vivyo hivyo Ukraine ana silaha nyingi hambazo urusi hakuwahi kuwa na habari.., silaha kama javelin urusi Wala hakuwa na habari.., matokeo yake akapeleka msafara wa magari ya kivita na vifaru kuelekea Kiev..,kilichotokea pale, javelin ziliugeuza msafara wote kuwa majivu [emoji16][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani izo Javelin kiwanda kilifungwa au imekuwaje.mbona hazisikiki tena.au vita imeisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zina wachinja sehemu gani ikiwa kila sehemu ya vita uwanja umeinama.

Wachinjwaji ndo wana hali hii.itakuwa wakichinjwa wanajiunga tena maana sio bure.wanachinjwa ila bado wanasonga tu mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2484730
Usisahau pia hii mkuu..,hapo ni kheson city.., Mzee wa kazi rais zelensiky Yuko na vijana wake [emoji123][emoji1255]
1668430230449.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
HIMARS bado zinaendelea kuwachinja warusi huko front line Mzee..,sio kila kinachotokea uwanja wa vita utaambiwa, vinginevyo utauliza kwamba mbona husikii lisasi zikifyatuliwa huko field [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kinachoonekana ni miji kuendelea kuchukuliwa huku wananchi wa west wameanza kupiga kelele na tax money zao..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwaka gani hii.mbona tushasahau.unafufua makaburi.jamani mkuje huku kipanya 44 ameamua kufufua makaburi.
Wala sifufui makaburi Mkuu,ni pale kheson vijana wakakamavu wa rais zelensiky walipowatembezea mkong'oto askari wa super pawer wa mchongo na kuwakimbiza kama mbwa mwizi [emoji28][emoji23]

Back
Top Bottom