Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo miji itarudishwa kama ilivyorudishwa

Kiev

Khakivu

Snake island

Izium

Kupyansk

Lyman

Kheson

Hapo vip [emoji23][emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Muda utaongea.. Nato anapokea kichapo kutoka kwa Private Companies (KK Security).. Recruiters ndo hawa akina Tarimo. Aibu sana hii
 
Si tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto.., NATO wanaingiliaje Tena wakati tumashawachimba mkwara[emoji16][emoji28][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na wanavyoendelea kupiga kelele ndo misaada kwa Ukraine inazidi kupungua.[emoji23][emoji23][emoji23].

Inabidi wapambane tu na hali zao kwa sasa
Germany ameona mimi sio mjinga, hataki kabisa kupeleka msaada pale. Wamebaki wanalia lia tu

Mara ooohh anatuhujumu, hii vita ikiisha Ujerumani lazima alipie. Sasa mtu unajiuliza alipie nini?? Ukorofi uanze mwenyewe utegemee jirani akutetee, acha abondwe tu..
 
Mmeelewa nn Hapo?
Screenshot_20230117-162338.jpg
 
Germany ameona mimi sio mjinga, hataki kabisa kupeleka msaada pale. Wamebaki wanalia lia tu

Mara ooohh anatuhujumu, hii vita ikiisha Ujerumani lazima alipie. Sasa mtu unajiuliza alipie nini?? Ukorofi uanze mwenyewe utegemee jirani akutetee, acha abondwe tu..
Wajinga kabisa.kwani ni lazima kumpa mtu silaha.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanalialia huku urusi akipoteza askari takriban laki mbili kwa kile alichokipatia jina la " operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo"

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Teh teh teh yani maiti ninazo mimi taarifa unatoa wewe. Hii sijui ni akili ya wapi hii..

Nilikuwa nasoma comments za watu wa West maala fulani leo, wenyewe wanashangaa aina ya propaganda Ukraine anayofanya..

Kama wanadai Urusi wamekufa laki 2 basi nadhani Ukraine watakuwa wanakimbilia million sasa
 
Ili kupata idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga huko front line ni simple tu.., jiulize wakati huu hambapo huyo super pawer wa kuchonga anajiandaa kufanya mobilization ya askari laki Tano,wale laki tatu aliomobilize awali wako wapi[emoji16][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wajinga kabisa.kwani ni lazima kumpa mtu silaha.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wao wanalazimisha tu. Zele na rundo la wapiga propaganda mitandaoni.

Na wanavyoomba silaha haimaanishi silaha tu, hapo lazima pia waingizwe mamluki wa kwenda kuzitumia hizo silaha. West wamechoka maana wanaona silaha zao zinafyekwa na wanajeshi wao pia wanakufa..
 
Challenger imepambana wapi kwa mafanikio tujaribu kuwaza nini cha ajabu itakifanya ukraine?
Usilinganishe vita iliyopiganwa sehemu nyingine na hii ya Ukraine.., Huko Syria urusi alifanya vizuri mpaka akasifiwa sana,vipi huko Ukraine anakwama wapi , mpaka anachakazwa na kanchi kadoogo nanma hii,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ili kupata idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga huko front line ni simple tu.., jiulize wakati huu hambapo huyo super pawer wa kuchonga anajiandaa kufanya mobilization ya askari laki Tano,wale laki tatu aliomobilize awali wako wapi[emoji16][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vita sio kama video game kijana.. Askari wale wapo uwanja wa vita mwaka sasa ni lazima warudi kupumzika na wa kuwareplace ndio hao ambao wapo kwenye mazoezi ya utayari..
 
Wao wanalazimisha tu. Zele na rundo la wapiga propaganda mitandaoni.

Na wanavyoomba silaha haimaanishi silaha tu, hapo lazima pia waingizwe mamluki wa kwenda kuzitumia hizo silaha. West wamechoka maana wanaona silaha zao zinafyekwa na wanajeshi wao pia wanakufa..
West wangekuwa wamechoka kama unavyosema ,huyo Putin asingekuwa analilia mazungumzo na rais zelensiky kila uchao [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Himars zinafanya kazi mpaka itokee sherehe.vitani hazina kazi[emoji23][emoji23][emoji23].

Ni machuma chuma ya kazi bure
Warusi walisha zijulia ndio maana sio tatizo tena kama zamani, nowadays roketi nyingi za HIMARS zinakuwa swept out of the sky like flies - ndio maana jeshi la Ukraine linaficha sana kwenye misitu ma-truck yanayo tumika ku-launch maroketis,kiukweli siku hizi HIMARS launchers zinasikika kwa nadra sana nyingi zilitiwa kiberiti na drones za Urusi.

Incident ya juzi was just a lucky shot kutokana na uzembe wa makruta na viongozi wao kupuuzia masharti wanayo pewa na wakuu wa jeshi la Urusi kwamba wasitumie smart phones wakiwa kwenye mafunzo ya kijeshi au kwenye frontline.
 
Back
Top Bottom