Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Habari za siku Mrusi wa KibaigwaUnarudia tena yale yale niliyongea mimi[emoji23][emoji23][emoji23].nimekwambia toka mwanzo Himars kwa sasa zinafanya kazi mpaka itokee sherehe.pasipo sherehe huzisikii.haya toka kufanya shambulio lile,zimefanya shambulio gani jingine?.
Himars kwa sasa watu wamesahau kabisa.ni bora uniambia M777 howitzer zinafanya kazi maana zipo front kuliko izo himars
HIMARS hazifanyi kazi mpaka itokee sherehe,waulize hawa vibaka wa Wagner kilichowakuta baada ya kuunguzwa na HIMARS, mbona nyie Makombora yenu mnarusha Kwa mwezi mara mbili halafu ndo mnataka mpigane na NATO[emoji23][emoji23][emoji23]
Yesterday, a unit of Wagner soldiers is being targeted inside Soledar. Magyar's recon unit led a HIMARS strike onto an enemy positions after which two dozen Wagners died.
#Geolocation of the newest #HIMARS strike in #Soledar. @GeoConfirmed
JAGGA JAGGA!
48°41'19.2"N 38°03'13.0"E