Umewahi kutafakari kiundani Putin anatoa masharti gani kuhusu kusitishwa suala zima la vita ya Ukraine.
FYI, Russian military wana uwezo mkubwa wa kushambulia vikali Ukraine na kuiteka muda wowote ikikata shauri kufanya hivyo na wala NATO/US hatatatia pia pale ili waonekane wanamsaidia moja kwa moja Zelensky kwa kuingiza majeshi ya NATO/US bila kificho - huo ndio utakuwa mwanzo wa WW3, sasa swali ni,je, NATO/US wako tayari kuingia vitani na Urusi ili waisaidie Ukraine - jibu ni hapana NATO/US si wajinga kiasi hicho.
La mwisho, Zelensky akiendelea na ujinga wa majeshi yake kutumika kupigana a proxy war on US behalf kwa lengo la kutaka kuidhoofisha Rusia kijeshi na kuihujumu Russia kiuchumi - nina hakika kwamba Urusi atahamua ku-annex Ukraine moja kwa moja kama njia ya kukomesha Ukraine kutumiwa vibaya na mataifa ya magharibi - Senselesky akiwa kiganganizi na jeuri Taifa lake litataifishwa na Urusi moja kwa moja - akose kila kitu - my opinion.