Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kipindi kile Russia walikuwa wanazidiwa manpower na Ukraine.

Askari wa kirusi waliokuwa deployed ni 250K ila Ukraine 1E6 sawasawa na ratio ya 1 Russian soldier kwa 4 manazi.

Sasa upepo umebadilika askari wa kirusi wameongezeka hivyo kubalance mzani.

Kumbuka kipindi kile walitaka kuingia Artemovisky kupitia Southern direction pekee ila Sasa wataivamia kupitia direction tatu ambayo ni South, West na East.

Kipindi kile barabara ya Siversk-Bakhmut ilikuwa chini ya Wanazi ila Sasa ipo chini ya Warusi.

Kipindi kile Soledar ilikuwa under control ya Ukraine ila Sasa Urusi kaibeba.

Kifupi wasipofanya withdrawal basi Ukraine ijiandae kupoteza askari wengi na mji Bado utatekwa.

Kumbuka ikianguka Artemovisky basi ujue Kramatorsk na Slovyiansk zipo hatarini maana umbali wake kutoka Artemovisky ni kilometer 40 au hazizidi 50.

Hii miji ilikuwa imejengewa ngome imara kwa muda wote wa miaka 8 au tuseme 9 ili kuzuia Donetsk Republic forces wasiweze kujitanua kuelekea Magharibi hivyo kuanguka kwake ni disaster kwa Ukraine army and Administration.

Kipindi kile Urusi ilikua imejikamilisha Kwa mavifaa yote,si ndege si Makombora si AD si mavifaru si ma APC lakini ikashindwa kuichukua,wakati huo Ukraine ikiwa dhaifu walichokua wanafanya ni kuretreat tu.

Kua na wanajeshi wengi ambao hawana vifaa muhimu hakukuhakikishii ushndi ingekua hivyo waarabu wangekua washaifuta Israel Kwa uso wa Dunia pale Middle east.

Kumbuka Kwasasa warusi wanachezea kichapo pale Kreminna,ikitokea Kreminna imeanguka bhas jua kuisupply Bakhmut ni shughuli maana Kreminna ni kama Supply Hub ya Urusi Kwasasa. Kreminna ikianguka Severodonetsk ijiandae. Hapo Kreminna warusi wameshaanza kupelekea reinforcement maana kuna taarifa majeshi ya Ukraine yameshaanza kuingia kwenye huo mji.
 
Mpaka mwezi wa tatu kutakuwa na Artemovisky Moja tu iliyo chini ya Urusi.

Tutakuwa tunaizungumzia battle of Kramatorsk au Slovyiansk
Kuna wenzio walisema urusi atamaliza hii vita ndani ya siku tatu,tukawatunzia coment zao zikawaumbua hapa, hivyo jaribu kuwepo akiba ya maneno,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwanamchi gani hao.ebu leta ushahidi wa maandamano ya kuonyesha hao wananchi.kama usipileta kuanzia leo nitakuwa nakuita shoga mgeni
Wewe njoo na majina yako yote maana hapa umefika Shekhe,hiyo battle tutapambana kisawasawa. Me Nitakuita tobo la pink.

The strike also led to a rare public display of grief in some cities, including in Russia's Samara region on the Volga River.

In a sign that criticism was being taken seriously, the influential head of Russia's state RT television channel Margarita Simonyan welcomed the army's promise that officials would "be held accountable."

"It is time to understand that impunity does not lead to social harmony. Impunity leads to new crimes. And, as a result, to public dissent.
Russia's Military Leadership Feels Pressure From Makiivka Fallout - The Moscow Times
 
Kipindi kile Urusi ilikua imejikamilisha Kwa mavifaa yote,si ndege si Makombora si AD si mavifaru si ma APC lakini ikashindwa kuichukua,wakati huo Ukraine ikiwa dhaifu walichokua wanafanya ni kuretreat tu.

Kua na wanajeshi wengi ambao hawana vifaa muhimu hakukuhakikishii ushndi ingekua hivyo waarabu wangekua washaifuta Israel Kwa uso wa Dunia pale Middle east.

Kumbuka Kwasasa warusi wanachezea kichapo pale Kreminna,ikitokea Kreminna imeanguka bhas jua kuisupply Bakhmut ni shughuli maana Kreminna ni kama Supply Hub ya Urusi Kwasasa. Kreminna ikianguka Severodonetsk ijiandae. Hapo Kreminna warusi wameshaanza kupelekea reinforcement maana kuna taarifa majeshi ya Ukraine yameshaanza kuingia kwenye huo mji.
Miji huwa inashikwa na vifaa au foot soldier?

Bakhmut ni heavier fortfied area pamoja na Soledar bila kuisahau Siversk ila nimekuoa maelezo kwa nini? Bakhmut ilishindikana?

Kreminma kwani Jeshi la Ukraine lipo kilomita ngapi kuuteka mji?
 
Halafu mwambie ni utaratibu wa kisoviet kubadilisha military kamanda.

Mwambie afuatilie Toka vita ya kwanza ya Dunia na ya pili jinsi walivyokuwa wanabadilisha na Bado wao huibuka washindi.

Ila kilichofanyika ni kumpa jenerali Gerasimanov kuwa kamanda mkuu ambayo Toka mwanzoni yule jamaa alikuwa chini yake hivyo hakuna jipya.
Hebu tupe mafanikio ya huyo jenelali wenu mnayemuita Armageddon, mbali na kulenga soft target kama miundombinu ya umeme na maji.., tuambie amelisaidia jeshi la Urusi kusonga mbele sentimita ngapi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna wenzio walisema urusi atamaliza hii vita ndani ya siku tatu,tukawatunzia coment zao zikawaumbua hapa, hivyo jaribu kuwepo akiba ya maneno,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwanza Sina wenzangu humu

Mwenzangu ni mke wangu hivyo nakuomba urekebishe kauli na uombe radhi.

Tunza hii komenti mpaka mwezi wa tatu tutaizungumzia battle of Kramatorsk
 
Kipindi kile Urusi ilikua imejikamilisha Kwa mavifaa yote,si ndege si Makombora si AD si mavifaru si ma APC lakini ikashindwa kuichukua,wakati huo Ukraine ikiwa dhaifu walichokua wanafanya ni kuretreat tu.

Kua na wanajeshi wengi ambao hawana vifaa muhimu hakukuhakikishii ushndi ingekua hivyo waarabu wangekua washaifuta Israel Kwa uso wa Dunia pale Middle east.

Kumbuka Kwasasa warusi wanachezea kichapo pale Kreminna,ikitokea Kreminna imeanguka bhas jua kuisupply Bakhmut ni shughuli maana Kreminna ni kama Supply Hub ya Urusi Kwasasa. Kreminna ikianguka Severodonetsk ijiandae. Hapo Kreminna warusi wameshaanza kupelekea reinforcement maana kuna taarifa majeshi ya Ukraine yameshaanza kuingia kwenye huo mji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upo ndotoni nini.kremina gani iyo unayoisema.habari ya kremina na stavote ilishakufa muda tu.au ulikuwa haupo duniani [emoji23][emoji23]
 
Miji huwa inashikwa na vifaa au foot soldier?

Bakhmut ni heavier fortfied area pamoja na Soledar bila kuisahau Siversk ila nimekuoa maelezo kwa nini? Bakhmut ilishindikana?

Kreminma kwani Jeshi la Ukraine lipo kilomita ngapi kuuteka mji?
Hizo ground forces bila vifaa dhabiti wanashikaje hiyo miji,au Kwa sala?!

Wewe unadhani kwanini Ukraine inaomba ipewe vifaru,APC,Stingers,ATGM Kwa ajili ya wanajeshi wake wa ardhini?!
 
Good evening friends
Yaani Ukraine imesema hakuna ADS inayoweza kuzui kh-22 missiles 🇷🇺🇷🇺🔥🔥🔥

IMG_20230117_174247.jpg
IMG_20230117_174152.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upo ndotoni nini.kremina gani iyo unayoisema.habari ya kremina na stavote ilishakufa muda tu.au ulikuwa haupo duniani [emoji23][emoji23]
Embu amka haraka Sana utajikolea Shekhe

Ukraine wameshaichukua Dibrova wiki mbili zilizopita,Kuzmyne yote karibu inaenda kwa Ukraine.

1.Hii Ramani ya Kwanza ni wiki mbili zilizopita
KREMENNA AXIS /1515 UTC 3 JAN/ West of the P-66 HWY, RU forces have attempted to stage attacks at Ploschanka. Shelling continues along the line of contact, following heavy fighting near Dibrova on 1-2 JAN. FEBA assessed to be E of Dibrova.

2.Hii ni Ramani ya wiki hii
KREMINNA AXIS /1320 UTC 16 JAN/ RU forces conducted fire missions on Kuzmyne, indicating the presence of UKR forces. The Forward Edge of the Battle Area (FEBA) is assessed to extend from the center of Kreminna in a southern direction to the banks of the Sievro-Donets River.
 
Attachments

  • 20230117_174653.jpg
    20230117_174653.jpg
    1.7 MB · Views: 18
  • 20230117_174709.jpg
    20230117_174709.jpg
    1.3 MB · Views: 15
Habari za siku Mrusi wa Kibaigwa

HIMARS hazifanyi kazi mpaka itokee sherehe,waulize hawa vibaka wa Wagner kilichowakuta baada ya kuunguzwa na HIMARS, mbona nyie Makombora yenu mnarusha Kwa mwezi mara mbili halafu ndo mnataka mpigane na NATO[emoji23][emoji23][emoji23]

Yesterday, a unit of Wagner soldiers is being targeted inside Soledar. Magyar's recon unit led a HIMARS strike onto an enemy positions after which two dozen Wagners died.

#Geolocation of the newest #HIMARS strike in #Soledar. @GeoConfirmed
JAGGA JAGGA!
48°41'19.2"N 38°03'13.0"E

IMG_20230117_174247.jpg
 
Embu amka haraka Sana utajikolea Shekhe

Ukraine wameshaichukua Dibrova wiki mbili zilizopita,Kuzmyne yote karibu inaenda kwa Ukraine.

1.Hii Ramani ya Kwanza ni wiki mbili zilizopita
KREMENNA AXIS /1515 UTC 3 JAN/ West of the P-66 HWY, RU forces have attempted to stage attacks at Ploschanka. Shelling continues along the line of contact, following heavy fighting near Dibrova on 1-2 JAN. FEBA assessed to be E of Dibrova.

2.Hii ni Ramani ya wiki hii
KREMINNA AXIS /1320 UTC 16 JAN/ RU forces conducted fire missions on Kuzmyne, indicating the presence of UKR forces. The Forward Edge of the Battle Area (FEBA) is assessed to extend from the center of Kreminna in a southern direction to the banks of the Sievro-Donets River.

View attachment 2484866View attachment 2484869
Umerishwa matango pori[emoji1787][emoji1787][emoji1787].sio kila sehemu basi unapata taarifa ya kweli kuna vyanzo vya kuaminika.hiyo ni january 14
14january2023_Eastern_Ukraine_Slavyansk_Kramatorsk_map.jpg
 
Back
Top Bottom