Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Apumzike kwa amani. Ametuwakilisha vema.
[emoji845][emoji635] Farewell ceremony for a fighter of #Wagner PMC from #Tanzania

The funeral of Tanzanian Tarimo Nemes Raymond, who fought for the sovereignty of Donbass in the ranks of Wagner PMC, was held in Goryachiy Klyuch.

A fighter with the call sign Mbea died during a combat mission. https://t.co/FlU2tqyyZX
Duh hawa Wagner ni noma sana. kumbe kuna hadi wabongo.
 
Unonekana mweupe sana kichwani kuchambua mambo yanayoitaji utulivu wa akili na uelewa kuhusu medani na siasa za mataifa. Elimu yetu vijana hamna analytical mind mnachowaza ni ushabiki yanayoitaji uelewa angalau kidogo.
Kuna vita na uwanja wa medani yaani ( battle field ) dunia sasa hivi wamechagua uwanja tofauti wa medani yaani vita imehamia kwenye uchumi na technolojia. Uwanja wa medani kwa njia ya silaha ni option ya mwisho kabisa na huwa inaepukwa kwa njia zote.

Kwa sasa vita ya silaha ni ngumu nchi nyingi zimeendelea kimedani na uwezo wa kutumia silaha, kuliko kuleta ushabiki wa nato na russia ni vema kuangalia victim wa mwisho ni nani?
Saaaasaaaa.....saaasa.... Kwa sasa Kwa akili zako HAKUNA BATTLE FIELD!!?? HAPO UKRAINE NI POULTRY!!?? Tuanzie na hilo unipe jibu kabla ya kukuuliza kuhusu Technology..maana una kichwa Cha kuku hakibebi mzigo....
 
[emoji3][emoji3]Nahisi lengo la Putin kwa Sasa Ni kuifuta kabisa Ukrain ktk ramani ya Dunia
Itafutwa kama Yugoslavia... Japo mifutio itakuwa ya tofauti... Mwenye akili na aelewe... Yugoslavian ilitengengeza nchi takriban 6 ...hapa zitatengenezwa hata 4 au 5 ... Wakizubaa wakizubaa zitaundwa 7... Wakae mezani tu.....
 
Marekani na NATO kwa ujumla walianza maandalizi ya kuichochea ukraine iingie vitani na urusi toka 2014. Waliipa silaha, fedha na mafunzo ya kijeshi!! Lakini hadi sasa wanalalamika kuishiwa silaha ila URUSI hata siku moja haijalalamika kuishiwa silaha au kuomba silaha nchi nyingine!! Hapo ndo ujue URUSI ni dude lisiloishiwa!! Dude moja linapigana na nchi 29 za NATO na bado liko poa pamoja na vikwazo lukuki.
Msada wanaopata NATO ingekuwa na urusi anapata vile uk3isingekuwepo duniN
 
Apumzike kwa amani. Ametuwakilisha vema.
‼️🇷🇺 Farewell ceremony for a fighter of #Wagner PMC from #Tanzania

The funeral of Tanzanian Tarimo Nemes Raymond, who fought for the sovereignty of Donbass in the ranks of Wagner PMC, was held in Goryachiy Klyuch.

A fighter with the call sign Mbea died during a combat mission. https://t.co/FlU2tqyyZX
Kafia kazini sio ?
 
Haya hawa wase#$@ warusi wanapeleka hadi ndugu zetu Watanzania frontline.selikali ipo kimya tu
ukraine_defence-20230117-0001.jpg
 
Saaaasaaaa.....saaasa.... Kwa sasa Kwa akili zako HAKUNA BATTLE FIELD!!?? HAPO UKRAINE NI POULTRY!!?? Tuanzie na hilo unipe jibu kabla ya kukuuliza kuhusu Technology..maana una kichwa Cha kuku hakibebi mzigo....
We usichoelewa ni nini au utoto unakusumbua kwa sasa vita ina front nyingi, political front, media front ( propaganda ) ya option ya mwisho ni mapigano ya majeshi ambayo dunia ya sasa inayaeupuka sababu ya uharibifu wake wa binadamu na miundombinu. Logic yangu ni ukichagua mapigano ya medani kama anachofanya russia ndani ya ukraine kuna madhara makubwa kwa pande zote japo si kwa uwiano sawa.

Unajua bado mdogo na unaongea kindezi pengine hujapitia hata zoezi la "under fire '' battle field ni kuzimu usiongee kishabiki kama mjinga, kuna utesaji, order za kikuda, vifo vya halaiki, adhabu, ubakaji na ukatili wa kila aina. Na ushindi wa medani huja na gharama kubwa sana pengine panaweza pasiwe na mshindi na wote wakaamua kukaa pamoja na kuyamaliza.

Back
Top Bottom