Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ogopa sana kupambana na nchi No.1 kwa ukumbwa duniani afu population yake ni 143m tu. Jiulize eneo lote wanafanyia nini??

Nchi ina natural resources zote hawana shida na kupata raw material wanadig wana produce weapons kila minerals wanazo hawatumii cost ku import sasa hawa watu unapata wapi ubavu wa kupambana nao???

Ndoman wale wanaobezaga kwamba US anatumia bajeti kubwa kwenye millitary waulize ni kiasi gani anatumia kwenye importation ya raw materials??
Hizi resources kama madini unafikiri wanachimba tu kama wanavyochimba mihogo ,sio??
Kuna nchini Zina hifadhi kubwa za mafta lakini wanalazimika kuagiza mafta nje kwa kuogopa ghalama za kuyachimba mafta hayo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizi resources kama madini unafikiri wanachimba tu kama wanavyochimba mihogo ,sio??
Kuna nchini Zina hifadhi kubwa za mafta lakini wanalazimika kuagiza mafta nje kwa kuogopa ghalama za kuyachimba mafta hayo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yatakuwa sio mafuta hayo labda ni maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
#Russia injects 100s of its T-90M in the battle against NATO in #Ukraine. NATO members have decided to send also dozens of tanks, enough to keep the war ongoing for as long as possible & for more Ukrainians to be killed. The west is providing #Ukraine with small doses of weapons.
Fmh92_6WYAEPIkX



US wanapambana vita visiishe, wameingiza mamia ya vifaru Ukraine kuhakikisha hali haiwi shwari.

🇺🇸
🇳🇱
Last Friday, an #American ship full of tanks and other heavy artillery arrived in Vlissingen, the #Netherlands . Are now being transported further to #Poland
 
Armoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama haya View attachment 2471802
It is too late
 
So what's your point? Vitani hakuna upande usiopoteza watu na zana za kazi swali ni Nani anakuwa impacted zaidi, Urusi hii vita Yuko tayari kuipiga for 10 years, uwezo anao na nia anayo kwasababu anapigania ardhi yake sasa Zerozensk anayo iyo pumzi ya kuendelea kuwa kibaraka na hapo tayari Zerozensk na Deputy wake wanasakwa na brigade ingine ya wanajeshi wake wacha wale mamia waliojisalimisha wakapangwa line imagine brigade sasa hii nayo zungumzia ni brigade ya pili na imemtua video wakisema We are coming for you, wakimwambia Zelensky na msaidizi wake .
 
Wakati kipanya 44 akiendelea kupiga umbea,huku uwanja wa vita bundi bado anaendelea kuzunguka kwenye nyumba ya Zelensk[emoji23][emoji23][emoji23].

Warusi wamechukua udhibiti kamili wa kitongozi cha (Silj) maarufu kama kitongoji kikuu cha usafiri wa Reli kwa upande wa Bakhmut na soledar.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20230116_224845.jpg
20230116_224802.jpg
 
Wakati kipanya 44 akiendelea kupiga umbea,huku uwanja wa vita bundi bado anaendelea kuzunguka kwenye nyumba ya Zelensk[emoji23][emoji23][emoji23].

Warusi wamechukua udhibiti kamili wa kitongozi cha (Silj) maarufu kama kitongoji kikuu cha usafiri wa Reli kwa upande wa Bakhmut na soledar.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2484039View attachment 2484040View attachment 2484041
Aise hii irudie kesho maana atajifanya hajaiona.

Tuanze kusikiliza porojo zake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu mwenye akili kwa kipigo alichotoa Russia wiki iliyopita na kwa kasi aliyotembea nayo ya kuchukua maeneo angekaa nao mezani. Zelensky akifanya masihara eneo kubwa la nchi litachukuliwa na mwisho itabakia kuwa history!
Vitatokea vinchi vingi kama iliyokuwa Socialist Federal Republic of Yugoslavia japo scenario tofauti kidogo .... Kama iliyoanza Slovenia na Croatia kuomba uhuru wao kutoka SFRY ...ndio LUHANSK NA DONETSK wameanza kama walivyoanza Croatia na Slovenia... Wakafuata Macedonia, Bosnia and Herzegovina, wakafuata Montenegro na Serbia.... Sasa Zele akijitoa ufahamu zitatengenezwa Republics nyingi sana pale Ukraine kama iliyokuwa Yugoslavia. Acha ajizime data
 
Apumzike kwa amani. Ametuwakilisha vema.
‼️🇷🇺 Farewell ceremony for a fighter of #Wagner PMC from #Tanzania

The funeral of Tanzanian Tarimo Nemes Raymond, who fought for the sovereignty of Donbass in the ranks of Wagner PMC, was held in Goryachiy Klyuch.

A fighter with the call sign Mbea died during a combat mission. https://t.co/FlU2tqyyZX
 

Attachments

  • IMG_20230116_234811.jpg
    IMG_20230116_234811.jpg
    64.9 KB · Views: 18
Swali nimeshakujibu kwamba warusi walitembezewa mkong'oto wakakimbia huko Kyiv..,Wala hawakujiondoa kama unavyodai,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Walijiondoa ili kuonesha nia njema ya mazungumzo ambayo yalifanyikia uturuki. Na msafara wa kujiondoa haukushambuliwea hata kwa risasi moja. Hata mjini kherson walijiondoa bila kushambuliwa na ukraine hawakuamini wakidhani ni mtego ndio maana hawakuingia mapema mjini kherson.
 
Back
Top Bottom