Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Ungejua skendo za huyo mmaza Ungekaa kimya....kwani nyie Russia yenu si super power hamtingishwi na vijineno vya west 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungejua skendo za huyo mmaza Ungekaa kimya....kwani nyie Russia yenu si super power hamtingishwi na vijineno vya west 😂😂
ChaiNi dhahiri hivi vikwazo vitaiathiri sana Russia, Jana niliongea na boss wangu, a Russian colleague, kweli wamefungiwa kila kitu, can't send money via swift (MasterCard n visa card not functioning), can't send over $10,000 hata kupitia njia za wachina, hakuna ndege hata za kwenda Kazakhstan, life's just within Russia, nje ya hapo hakuna maisha na dunia nyingine. Imagine I had a project with these burgers...won't workout, at least for now!
hata sijali muhimu yule fashisti anapelekewa moto kila konaUngejua skendo za huyo mmaza Ungekaa kimya....
Unadhani kila mtu amekaa hapa jobless anapunguza stress kwa kuandika chai sio, grow up!Chai
Mlitaka URUSI apige kila sehemu kama USA na NATO??kwa mabomu ya nyukria
aliyonayo urusi hakuna nchi inayopenda au itakayopenda kuishambulia urusi
hata kama dunia nzima ikijiunga NATO
alichofanya ni ubabetu
wa kumuonea mnyonge
hata hivyo jesh la urusi limepata aibu kubwa,
haliko vile weng walivokuwa wanahisi.
Kadanganye wenzako pale Riverside, hapa tupo tunaojielewa kenge wewe.Unadhani kila mtu amekaa hapa jobless anapunguza stress kwa kuandika chi sio, grow up!
Bora ulivyosema hujui....hata sijali muhimu yule fashisti anapelekewa moto kila kona
ni kama marekani anaogopa kushutumiwa na urusiPoland ilitoa hiyo ofa jana kwamba itazipeleka kwenye airbase ya Marekani iliyopo Ujerumani na kisha Marekani ndio izipeleke yenyewe Ukraine. Leo msemaji wa Pentagon kakataa eti it will rise serious concern for the entire NATO alliance. Sasa walitaka Poland aingie mkenge
likin mkuu,Poland ilitoa hiyo ofa jana kwamba itazipeleka kwenye airbase ya Marekani iliyopo Ujerumani na kisha Marekani ndio izipeleke yenyewe Ukraine. Leo msemaji wa Pentagon kakataa eti it will rise serious concern for the entire NATO alliance. Sasa walitaka Poland aingie mkenge
Sasa ulitaka nikuambie nini ili uelewe, kwamba hawawezi kutuma pesa popote, ni uongo? Swift system doesn't work, Russians can't send more than $10,000 abroad, nao ni uongo?Kadanganye wenzako pale Riverside, hapa tupo tunaojielewa kenge wewe.
rudia kusoma comment yangu vizuri maan unapovukwa kweliBora ulivyosema hujui....
Kwani kati ya Russia na hao Ukraine Nationalist nani ana sera za kifascist?
Maelezo mafupi sana kwenye hilo. EU, NATO members na wengineo wanatoa defensive weapons sio offensive weapons. Hizo anti tank na anti aircraft missiles ni defensive, Russia akija kuvamia zinasaidia kumzuia ila haziwezi tumika kumvamia kwakwe. Huwezi enda vamia kwa mtu ukiwa na ngao badala yake unaenda na mkuki yeye ndio atatakiwa atumie ngao.ni kama marekani anaogopa kushutumiwa na urusi
kwamba anaisaidia ukraine hizo ndege vita,
lakin mkuu
mbona hiyohiyo marekani na nchi kibao zinapeleke siraha za kila aina kwa uwazi na kujitangaza pia,
sasa hizo ndege mbona kama wanaziogopa,
ha
likin mkuu,
mbona marekani na nchi kibao2 zimeshashiriki kuipatia ukraine silaha pasipo kujificha yaan wanatangaza kabisa,
je huu si uchokoz wa wazi dhidi ya urusi?
halafu hizo ndege kama wanaziogopa hadi kufikia hatua ya kuanza kurushiana mpira.
mbona siraha zingne wanazituma kila cku,
hzo ndege zina nini cha ziada hadi warushiane mpira kati ya
poland na usa,