Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Asante kwa kunisaidia.Bado kwenye comment nyingine unamuita Urusi super pawa wa mchongo!Unakuwa umejizima data makusudi ama?
-Russia kapigwa sanctions furushi la kutosha!
-Assets za Russia zimekuwa Frozen
-Ukraine anasaidiwa na mataifa ya west training,silaha na intelejensia!
Bado Russia mwaka unaenda Sasa na hana dalili ya kutetereka,ndio kwanza anaendelea na SMO yake!
Russia amejipanga!
Proved naona unajitahidi kupooza aibu.Kila changamoto ina namna yake ya kuitatua kulingana na ukubwa wake au madhara yake, suluhisho la tatizo A haliwezi kulingana na suluhisho la tatizo B.
Urusi nI nchi kubwa sana tofauti na Yugoslavia au Libya, isitoshe inamiliki pia silaha hatari za nyuklia (tena kwa maelfu), kuishambulia hii nchi ni hatari mno kwa amani na usalama wa dunia....hivyo lazima itumike njia nyingine kushugulika nao kama vikwazo vikali vya kiuchumi, kuifukuza uanachama kwenye mashirika mbalimbali (mfano Uefa), kutaifisha mali zake na mali za maafisa wake na pia kusaidia kwa hali na mali upande anaopigana nao ili kumdhoofisha ikiwezekana ashindwe kabisa, hicho ndicho kinachofanyika kwa Sasa.
Kutamani NATO kushambulia Urusi ni kulazimisha suluhisho la tatizo A litumike kutatua tatizo B kwa hoja kuwa yote ni matatizo tu, wakati yametofautiana athari na madhara, hilo haliwezekani.
Anaupambania....Haitachukua miaka 15 lazima USA usuper power utampita kushoti,hii operation ya kijeshi inayoendelea Ukraine ni USA anaupambania usurper power wake.
Ha ha haa unajua comrade uongo hua una mwisho,au propaganda hua Zina kikimo.Sasa unavyomuitaga super power wa mchongo unakuwaga umejizima Data au umevuta sigara bwege!!?
Ha ha haa,ni kweli jamaa anajua aina zote za silaha.Jikite kuchambua silaha tu haya mengine unajionyeasha tu jinsi Gani ulivyo TABULA RASA.... Empty mind....
Urusi haina usuperpower wowote tena halijaifikia hata kidogo Ussr ya kale.kwa maelezo Yako hapo juu nashukuri sana kwa kukili kwa kinywa chako kua Urusi ni Supa power ingawa umekili kwa staili ya nato kwa kujificha.
Hiyo ni tabia ya Ukraine, wanatafuta media attention ili wapewe silahaUkraine sasa analipua maghara yao ya vyakula mwenyewe anasingizia Russia ili spate international attention huku kila mmoja Alisha muona fala
na u-hhandsome wote unaitwa CosmasSubir wanaoweza kuhabarisha watupe habari..,wewe unapuyanga tu[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app