Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huoni kwamba warusi wenzio wa buza wanakosa Raha kwa kp kipanya44 keendelea kuwepo Mahali?[emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
He died for the right course Kupigana na waeneza upinde na hao bloodthirsty vampires hakika apumnzike kwa aman zote
 
Huko bakhamut ni maafa kwa Ukraine
Na bado, na kwa kuwa jeshi la Urusi wanajua kwamba hivi sasa jeshi la Ukraine linasaidiwa sana na some NATO/US troops dressed in Ukraine Uniform - Russia itahakikisha katika mapambano ya Bakhamut jeshi la Ukraine na wapambe wake wanatiwa kiberiti kwa silaha mpya za Urusi wapate cha kuadithia ndugu na marafiki wao kwa wale watakao bahatika rudi nchini mwao wakiwa wazima.
 
Msilale makamanda
Marinka huko hali si shwari
Chechen fighter wameshavunja ngome ya maadui , muda wowote itaanguka.
Source RT
Hiyo marinka , miezi 3 iliyopita mohamedidrisa789 alituhaminisha kwamba imeshaangukia mikononi mwa urusi.., mkiwa waongo jitaihid kuwa na kumbukumbu wazee [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hilo jambo ni sawa na kusubiri siku swala amle chui!
Vitu vingine si vya kusubiri vitokee maana utaishi Kwa masononeko kila siku!Pole sana!
Wewe ndio umesononeka mpaka umeamua kutenga muda wako na kuikwot hiyo coment yangu..,hii inaonyesha wazi kwamba hiyo comments imekuuma na umekosa uvumilivu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wameanza kupata akili
 
Mkuu ni anti air missile za Ukraine ndo zimefanya ile kazi.mbona video zipo zinaonyesha tukio zima.ni kuferi kwa Air defence za Ukraine
Hivi hizi air defense za iris na zile za Norway amabazo wanasema zinarinda pia whitehouse mbona sisikii mbwembwe zake au hizi air defense zinafanya kazi kama unapigana na libya au Afghanistan
 
Hiiii bhaghosha!
 
Wewe ndio umesononeka mpaka umeamua kutenga muda wako na kuikwot hiyo coment yangu..,hii inaonyesha wazi kwamba hiyo comments imekuuma na umekosa uvumilivu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆😆,we jamaa unahangaika sana!zIle kura za chawa Bora wa west ulistahili wewe!Maana Naona wenzako wengi wamekimbia😆!
 
Yaani enzi zile ilikuwa haipiti wiki lazima utakisikia kile ki bibi Ursula von der Leyen - President of the European Commission, kipo kwenye media kinawanga kuhusu Sanctions.

Ila sasa hivi kimepotea kabisaaaaa ..
Sasa hivi kabaki kipanya 44 tu ndio utamsikia hao wengine naona wanakaribia kuimaliza dunia kwa [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Maana kipanya yeye ndiye anaamini kua vikwazo bado vinafanya kazi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa mkenya humu. Hana kazi kila page yupo.

Tumekwisha mzoea hana cha maana cha kusema zaidi ya kumunanga Putin na Dini ya Kiislaam -please revisit his skewed comments herein!! Kuwasema sema vibaya na kukejeri mataifa mengine hasa Urusi, lakini linapo kuja suala la Al Shabaab kuzidi kete jeshi la Kenya, hivi sasa Al Shabaab wanashambulia mpaka makambi ya jeshi huko Somalia, unaweza kufukiri jeshi la Kenya limekwenda likizo - maneno chungu mzima lakini hata siku moja huwezi kusikia akitaja jeshi la Taifa lake linavyo shindwa vibaya sana huko Somalia, badala ya jeshi la Kenya kushughurika na masuala ya huko Somalia jeshi la Kenya liko busy kuiba mkaa kutoka Somalia na kwenda kuuza Aarabuni (Omani) kesho yake anakwambia Waarabu si watu wema - my foot!!
 
Hili Jehi la watu 1.5minatosha kuivamia Europe nzima.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],we jamaa unahangaika sana!zIle kura za chawa Bora wa west ulistahili wewe!Maana Naona wenzako wengi wamekimbia[emoji38]!
Sema tu nawahangaisha nyie warusi weus mnaotamani huu Uzi uwe jukwaa la kueneza propaganda zenu uchwara

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin alishaahidi kua winter ikifika watakipata Cha moto[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…