lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Nkwingwa yeneye mihayo geete.Hiiii bhaghosha!
Pro NATO wana wakimbia kwa sababu wanaona wazi hamna hoja zaidi ya utopolo tu..,nyie mkipewa hoja hamna mnachojibu zaidi ya uharo tu..,ndio maana Huwa nawaambieni kwamba Mimi Niko hapa kwa ajili ya kuwafanya mkereke tu..,ndio! Niko hapa Ili mkelwe kwani unashangaa!?Hili ni jukwaa huru,so kila mtu ana uhuru wake wa kuandika au kumjibi yeyote!Kwa Sasa pro NATO wale ambao Huwa tunajenga nao hoja wamekuwa adimu mpaka imebidi tukujibu wewe[emoji38]!Si Unajua Simba akikosa nyama hula majani!
Uzuri na sisi tunakujibu Kwa level Yako hiyo hiyo ya kujizima data[emoji38]!
Nasikia US anamsaidia Ukraine Kwa interests zake!
Wameanza kusema,na Bado Kuna deni ambalo sijui Ukraine atalilipa Kwa Karne ngapi,watu wake wamekimbia,wamekufa na ardhi imekwenda!
Ujinga mzigo!!!!!!
Midamu ya ng'wa lukago bhabhaHiiii bhaghosha!
Kwa hiyo kama hiyo ndio kazi ya silaha unataka tukiona silaha za urusi zimetekwa tukae kimya ,sio?Kesho utapost silaha za Russia zilizoteketezwa![emoji38][emoji38][emoji38],hapo utakuwa umesahau ndio kazi ya silaha kama usemavyo!!!!!
Kwa kujizima data[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wazee wa winter is coming..,na winter inaelekea kuisha[emoji12][emoji16][emoji28]Putin alishaahidi kua winter ikifika watakipata Cha moto[emoji1787]
Kwani nani kampa huyo urusi kibali Cha kuivamia Ukraine?.., hapo bila shaka jibu lake ni "Kwa nini USA alifanya hivi na vile!! Kwa hiyo USA akifanya mambo ya hovyo inahalalisha mataifa mengine kufuata mkondo huohuo??USA vs Iraq
USA vs talaban
Usa vs Vietnam.
NATO vs Yugoslavia.
USA in Syria.
USA in Korea.
USA in somalia.
USA in Panama.
USA in Granada.
USA in Libya.
USA in middle east.
Need I say more?
Yaani mnampenda USA na mambo yake yote.
Kibali wamekitoa wenyewe UkraineKwani nani kampa huyo urusi kibali Cha kuivamia Ukraine?.., hapo bila shaka jibu lake ni "Kwa nini USA alifanya hivi na vile!! Kwa hiyo USA akifanya mambo ya hovyo inahalalisha mataifa mengine kufuata mkondo huohuo??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pro NATO wenzangu hawana budi kuingia direct kuwajibu nyie kwa hoja maana hayo ni matumizi mabaya ya akili..,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],we jamaa unahangaika sana!zIle kura za chawa Bora wa west ulistahili wewe!Maana Naona wenzako wengi wamekimbia[emoji38]!
Nyie ndio mnataka mpambane na pro NATO Kwa hoja[emoji16][emoji16][emoji28]Nkwingwa yeneye mihayo geete.
Uingereza ya sasa ni just history broo na ndio ukweli mchunguMwaka 1982 Uingereza ilitembelea kilomita 13,000 kutoka kwake kwenda pwani ya Argentina kupigana vita ya Falklands. Argentina wakiwa na ndege za kisasa kipindi kile kutoka France, Super Etendard ambazo hazikuwa hata na miaka 10 tangu zianze kutengenezwa. Argentina wakiwa na one of the best anti ship missiles zile Exocet za Ufaransa hadi leo zinatumika.
Uingereza ilitumia wiki 10 kumaliza vita. Jeshi lake lilivuka maji 13,000km na likashinda. Russia ina miezi 11 inapigana na jirani ambaye hata wanajeshi wake ikiamua wavuke mpaka kwa kuruka kichura wanaweza.
Uzuri wa UK huwa inaprove wrong wanaojifanya wajuaji. Alikuwepo Napoleon Bonaparte, ego kubwa maradufu kupita Putin. Alikuwa anajua hapigiki, basi dharau za kutosha, ikaja Battle of Waterloo kamanda Mwingereza mmoja smart akamtimua Napoleon na kuikomboa Spain, Portugal na kuiepusha Ulaya nzima. Unahisi ni mchezo nchi nane (8) kumpa rank ya Field Marshall Duke Arthur Wellesley, ana batons za Field Marshal nchi zote hizo wakati Field Marshal wengine wana baton moja ya jeshi lao. Tukianza kutaja vyeo vyake alivyopata kihalali tutakesha.
Second World War pale Hitler alijua Britain ni dhaifu. Operation Sea Lion ilifeli hakuna meli ya Ujerumani ilivuka kufika Britain, ikaja The Blitz, ikaja Battle of Britain. Pote uko Nazi Germany ikaangukia pua. Kisha Hitler akaamua avamie nchi dhaifu nyinginezo, akapiga Operation Barbarossa kuitafuta USSR.
Ukweli mchungu msiotaka kuambiwa, Britain ndio ilitangaza vita dhidi ya Ujerumani baada ya uvamizi wa Poland. USSR na Stalin wake walikuwa na non-aggresion pact na Ujerumani maarufu kama Molotov -RRibbentrop pact. Na Marekani ikatangaza vita dhidi ya Ujerumani. UK na USA zilikuja kukomboa mataifa dhaifu ambayo Ujerumani ilivamia na kunyanyasa. Britain na UK wangeamua kuufyata ila sio utamaduni wao, na hata sasa utaratibu ni uleule kwenye Ukraine hii. Hujatuvamia sisi ila cha moto utakipata.
Kuidharau Britain ni kujifurahisha tu. Mjenzi mwenyewe wa Russian Navy ya kwanza kabisa aliacha nchi akaenda kupiga kambi Uingereza akajifunza kuunda meli. Bila Uingereza, Russia melivita sijui ingezijulia wapi. Peter the Great, one of the best Russian Tsars in history aliufyata pale London akapigwa shule jinsi ya kufanya navigation baharini na kuunda meli. Russia ilikuwa na maji mengi haijui kufanya navigation, shukuruni Waingereza ebo!
Fala Sana ...anamwambia mwenzake "Nakushusha kama torrent kiwazenze, Mkono huu hapa chagua kidole kimakeke"..... Urusi pigaaaana u-hhandsome wote unaitwa Cosmas
Dizasta Vina fala sana yule jamaaa....
Mkuu chamngamsha tu mana wewe ndio mkombozi wa NATO
Ukraine ipi itayokujankudaiwa!!??😁😁😁 inaweza isiwepo au ikawa roboHili ni jukwaa huru,so kila mtu ana uhuru wake wa kuandika au kumjibi yeyote!Kwa Sasa pro NATO wale ambao Huwa tunajenga nao hoja wamekuwa adimu mpaka imebidi tukujibu wewe😆!Si Unajua Simba akikosa nyama hula majani!
Uzuri na sisi tunakujibu Kwa level Yako hiyo hiyo ya kujizima data😆!
Nasikia US anamsaidia Ukraine Kwa interests zake!
Wameanza kusema,na Bado Kuna deni ambalo sijui Ukraine atalilipa Kwa Karne ngapi,watu wake wamekimbia,wamekufa na ardhi imekwenda!
Ujinga mzigo!!!!!!
Oyi wewe vipi huko vitani wa wanajeshi wa Ukrein ni maroboti sio. hivi hizo taarifa zenu za kufa warusi tu kila siku mbona hiyo miji bado hata dalili ya kuirudisha hamna au wakifa wanajiungaJan. 19 update on russian losses in the warView attachment 2487273
" mtoto wa nzi" jina lenyewe tu linakuelezea ulivyojaa upumbavu uliokithiri..na nyie ndio mnajiita wajenga hoja[emoji2][emoji2] wakati ni mkutano wa matahahira wanaojiita pro Russia [emoji28]Fala Sana ...anamwambia mwenzake "Nakushusha kama torrent kiwazenze, Mkono huu hapa chagua kidole kimakeke"..... Urusi pigaaaa
Hujakatazwa kuleta takwimu za askari wa ukraine wanaouwawa huko!!Oyi wewe vipi huko vitani wa wanajeshi wa Ukrein ni maroboti sio. hivi hizo taarifa zenu za kufa warusi tu kila siku mbona hiyo miji bado hata dalili ya kuirudisha hamna au wakifa wanajiunga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo sio habari naona mnajidhalilisha maana tangu mlipo anza kutaja habari za wanajeshi wanao fia front line mpaka sasa miji ingekuwa isharudi mikononi kwenuHujakatazwa kuleta takwimu za askari wa ukraine wanaouwawa huko!!
Sisi kazi yetu ni kuwahabarisha Kwa wingi warusi wanavyochinjwa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app