Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtu anasema yuko hapa kwa ajili ya kuwakera watu ..sizan Kama mwanaume anayejielewa anaeza kua na Mambo haya ..afu mda wote uko social media we huna watu wa kuongea nao ..tafuta kazi kijana huo ushoga hautakulipa kila cku
Nivumilie tu wakuu,Mimi nipo hapa sana. , mkiletewa hoja za maana mnajibu uharo,ndio maana pro NATO wenzangu wakaamua kukimbia..tunachofanya hapa ni kupigishana danadana kama anavyofanya yule super pawer wa kuchonga [emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mtu anasema yuko hapa kwa ajili ya kuwakera watu ..sizan Kama mwanaume anayejielewa anaeza kua na Mambo haya ..afu mda wote uko social media we huna watu wa kuongea nao ..tafuta kazi kijana huo ushoga hautakulipa kila cku
Nivumilie tu wakuu,Mimi nipo hapa sana. , mkiletewa hoja za maana mnajibu uharo,ndio maana pro NATO wenzangu wakaamua kukimbia..tunachofanya hapa ni kupigishana danadana kama anavyofanyiwa yule super pawer wa kuchonga [emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unacho sahau maandishi haya niya Kiukraine sio Kurusi, now, knowing Senselessky as we do, that is a comedian per excellence anaweza kuandika chochote kwamba kisha chinja Warusi 1.5 million na kuteketeza vifaru laki nane - halafu Bunge la Merikani linampigia makofi ya kumsifia alivyo shujaa kwa kutumia Taifa lake na watu wake kutekeleza hidden agenda za Merikani - fyatu kabisa jamaa huyu.
Wewe ulitaka zelensiky afanyeje kama sio kutekeleza sera za hao unaowaita marekani na EU?
Asalimishe nchi kwa wavamizi,sio?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
JAMANI DRONE ZA UTURUKI ZILE WALIZOKUWA WANATUMIA UKRAINE BADO ZIPO ZINAFANYA KAZI?
AU ZISHAANGUSHWA??
Sio lazima silaha yoyote inayotumika huko vitani lazima upewe report ya performance yake Mzee..,waandishi Wana kazi nyingi za kufanya..,unataka upewe report kuhusu performance ya

HIMARS

Bylaktar

Body harmo

Challenger tanks

Night vision devices

Reopad tanks

Kamikaze drones

Helmets

U A V

MLRs

Helicopters

Planes

Anti-aircraft

APV



Neptune missiles

Lisasi

Aina ya bunduki zinazotumika

Howitzer aina zote na silaha nyingine nyingi.., kwa Hali hiyo huoni kwamba unawatwisha mzigo reporters hambao hawawezi kuumudu??



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima silaha yoyote inayotumika huko vitani lazima upewe report ya performance yake Mzee..,waandishi Wana kazi nyingi za kufanya..,unataka upewe report kuhusu performance ya

HIMARS

Bylaktar

Challenger tanks

Reopad tanks

Kamikaze drones

Neptune missiles

Lisasi

Aina ya bunduki zinazotumika

Howitzer aina zote na silaha nyingine nyingi.., kwa Hali hiyo huoni kwamba unawatwisha mzigo reporters hambao hawawezi kuumudu??



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wameuliza ili wajue maana jamaa hakauki kuomba omba silaha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo zelensiky kuomba silaha ndio Sababu ya kutaka muhabarishwe kila aina ya silaha zinazotumika uwanja wa vita??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jibu lilikuwa rahisi tu ngoja nikusaidie zile alizo pewa mwanzo hazifanyi kazi iliyo kusudiwa au zimesha chinjwa na wanaume wa Russia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulitaka zelensiky afanyeje kama sio kutekeleza sera za hao unaowaita marekani na EU?
Asalimishe nchi kwa wavamizi,sio?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu, you know as I do kwamba Putin hakuwa na lengo la kuiteka/kupora Ukraine par se.

Hivi inaingia akilini kwamba Taifa kubwa kama Urusi linalo cover almost 11% World's land mass litakuwa na compelling reason gani ya kuongeza/teka eneo la ziada - it doesn't make sense at all or does it? Personally I don't think so.

Hivi mnajua kwa nini USA ilihusika sana kupidua Serikali iliyo chaguliwa kidemokrasia nchini Ukraine?? Kwa nini hamjiulizi why USA ilikuwa interested na internal affairs za Taifa la Ukraine mpaka ina fund machafuko kwa kupitia NGOs zao mshenzi na kuwatuma sharp shooters kuchochea mapinduzi kwa kuwaua baadhi ya waadamanaji kwa lengo la kuilahumu Serikali iliyokuwepo madarakani!! Wakaanzisha agencies za kuchochea called colour revolution walijaribu Venezuela wakashindwa, wakajaribu Hong Kong wakagonga mwamba baada ya Serikali ya Uchina kuwawahi, juzi juzi hapa walitaka tena kujaribu Brazil lakini Lula De Silva kawadhibiti - sasa Merikani inajitia kumpa mwaliko Lula kwenda kuitembelea Merikani, sijui kama atakubali.
 
Hapo sasa umedhihirisha ujinga wako vizuri. 1 ili uwaone kua hao wanao karibia laki mbili kufa ndio hao hao wanao miliki miji ya Ukraine. Hapa nili taka kuona namna ya uwezo wako wa kufikiri nimeona mdogo mno. Mobilization ni askari laki tatu halafu machizi wenzio wanasema askari karibu laki mbili wamekufa teyar miji ingekuwa ya kwenu.

Unakaa unasema front line urusi bado anapeleka wengi huko tupe chanzo cha habari hii hata kikiwa ni cha mchongo

Maana yeye kaeka wazi tu ni askari laki tatu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nyie watu huwa nawashangaa kuendelea kubishana na huyu 'ki-rat'..This guy is here for a mission..
 
Mpaka Leo unauliza wameongezwa wangapi? Ina maana huna habari na mobilization ya asikari laki tatu aliyofanya huyo super pawer wa kuchonga? Ndio maana nikakwambia usome kuanzia mwanzoni mpaka mwisho wa hii thread uielewe hii vita vizuri

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Senselessky alifanya mobilization ya taifa zima kwa kuzuia wanaume wote milioni 20+ wasiondoke nchini na wote wamechinjwa. Au hujui hilo
 
Back
Top Bottom