Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani nani kampa huyo urusi kibali Cha kuivamia Ukraine?.., hapo bila shaka jibu lake ni "Kwa nini USA alifanya hivi na vile!! Kwa hiyo USA akifanya mambo ya hovyo inahalalisha mataifa mengine kufuata mkondo huohuo??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kasome historia ya mgogoro, ipo hivi baada ya vita ya pili ya dunia kuisha USA aliogopa nguvu ya umoja wa kisovieti .akashawishi wa ulaya magharibi kuanzisha umoja wa kijeshi kujiami na urusi, wakaanzisha kambi za kijeshi kila wanayemsajili. Rusia naye akaenda CUBA akaweka base ya kijeshi karibu na USA, USA akalia akaomba wafanye mazungumzo ili Russia aondoe kambi pale kwa mkataba kuwa USA na Nato wasiendelee kuisogelea urusi na kuweka kambi karibu na mipaka yake, LAKINI USA NA NATO baada ya mrusi kuvunja base yake Cuba wao wakiendelea na kuisogelea Russia hivyo kuvunja makubaliano. Rusia kavulia mno,Sasa kimkakati Ukraine akaanza kurubuniwa asajiliwe nato na alishaanza kukaeibisha hao Nato na kufanyanao kazi...kitendo ambacho hakivumiliki..jirani yako awe anakaribisha vibaka majambazi wanaoweka mikakati ya kukumaliza...simply naanza kisago kwa jirani
 
Hii vita inapiganwa sana kwa kutumia media.mwanzoni walisema vifaru vya urusi vimeharibiwa ni vibovu.lakini leo naona tena ukraine inaomba vifaru toka western.pia naamini ukraine imebaki magofu tu.
Ukraine is in the brink of defeat...Huko Poland tayari Kuna " alarm zimewashwa" ..mmoja amesikika akisema 'Ukraine inapotea"....Ukisngalia na kupitia media za West utalijua Hilo....Wimbo wao wakati wote kwa Sasa iwe ni BBC, CNN na kadhalika ni 'more weapons' for Ukraine'....Wengine wameanza kuzungumzia WWIII Kama Ukraine itakuwa defeated...They want NATO and the west to put boots on the ground in Ukraine...Na Putin Jana ametamka wazi kuwa ' victory in Ukraine is inevitable'..
 
Were you a five star Russian General war planner?? Wewe ulijuwa wapi malengo ya Putin kuhusu mji wa Kiev in general - Urusi ina vikundi chungu nzima vya kikomandoo nani nani kakwambia ie una ushahidi gani kwamba Spetsnaz walihusikaka katika operation tajwa hapo juu, kwa nini mko obsessed na Spetsnaz - kama ni kweli paratrooper waliuwawa kama nzige - mbona hatukuwahi kuona maiti za mapatroopers wa Urusi zimetapakaa uwanja mzima wa ndege - tulicho kiona sisi ni uharibifu wa critical assets za jeshi la Ukraine pale uwanjani ikiwemo hangar iliyo kuwa kuhifadhi AN-225 -what does that tell you - hii inaonyesha kwamba jeshi la Urusi lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kwa kile walicho kusudia.

Mtu anakujuia na hoja kwamba Russia ilikusudia kuteka uwanja wa ndege wa Kiev ili wasafirishe wanajeshi wakina kuuteka mji wa Kiev!! Hivi inaingia akilini kwamba Urusi anaweza kufanya ujinga wa kusafirisha maelfu ya wanajeshi kwa subsonic ndege za mizigo zinazo weza kutunguliwa kirahisi - mji wa Kiev wenye wakazi zaidi ya 3millioni unaweza kweli kutekwa na kukaliwa na wanajeshi wachache wanao safirishwa kwa ndege za kijeshi za mizigo - hizi ni adithi za kutunga MSM zenye kutaka kuonyesha Dunia kwamba Russians are poor war planners unlike so called brilliant Western Generals.

Kwahiyo Ile battle ya Hostomel airport wakati inatokea wewe ulikua Nanjilinji au?! Kama alifanya ujinga wa kutuma limsafara lirefu bila air cover na baadae limsafara lile kupigwa ambush na Ukraine ndio ashindwe kufanya ujinga alioufanya pale Hostomel!!!!

Wewe jamaa unachekesha,kwahiyo Urusi ilituma wanajeshi waende wakaharibu Ile ndege AN-225 hayo ndo unaita mafanikio?! [emoji23][emoji23]

Ndio maana nikakuuliza kama Urusi hakutaka iteka Kiev Ile misafara ya vifaru iliyokua inapigwa ambush kwa Javellin pale Kiev ilifata nini?!
 
Naona anguko la Zelensk limekaribia[emoji23][emoji23][emoji23].


Tuliwambia ila awakutaka kusikia kabisa.Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635]
Hivi hamjachoka na huu utabiri. Zelenksy haendi popote na hata ikitokea akatoka atakuja mwingine na hakuna kitakachobadilika Supapawa ataendelea kuhenyeshwa mpaka maji aite mma
 
Hakuna unachokijua weww kuhusu Urusi.Urusi ana vifaru zaidi ya elfu 30.

Nato yote ijichange na bado awafiki idadi ya vifaru vya Urusi.kama ulikuwa ujui basi unatakiwa kujua.

Kama ukijumlisha na Yale mavifaru Yao ya wakati wa cold war yaliyokua store anafika hiyo idadi.

Leta link hapa ya vifaru vipya 2000 aina ya T-90M vilivyopelekwa Ukraine wacha kutatarika kama bisi.
 
Miezi hii kiukweli ni raha sana kuona awa kenge waliopewa jeuri na Marekani wakipewa malipo yao ya Usaliti.


Hili ni funzo tosha kwa yoyote yule atakayefanya usaliti basi ategemee kulipwa kama ivi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ndo Supapawa,kamji kamoja anapigana karibu mwaka mzima[emoji23][emoji23][emoji23]

However, Prigozhin warned that Wagner would be unlikely to oust Ukrainian forces from Bakhmut soon: "Contrary to various opinions that the Armed Forces of Ukraine are fleeing from Artemovsk [the Russian name for Bakhmut], this is not so. The Ukrainian army is working clearly and harmoniously. We have a lot to learn from them."
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiev Sent Poorly-Equipped Volunteers To Defend Key Donbass City — Media

Ukrainian forces defending the Donbass city of Artemovsk, also known as Bakhmut, are facing “an often desperate, regularly fatal” task, British newspaper The Times has reported.

According to The Times, Russian troops have locked Artyomovsk in a pincer, and Kiev’s forces in the city are waiting for it to close. It described the city’s defenders as mostly volunteers, including some foreign fighters.

Last weekend, Moscow claimed to have fully seized the town of Soledar, located ten kilometers northeast from Artemovsk.

Subscribe to RTView attachment 2486735
Source: Russia Today [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Proved naona unajitahidi kupooza aibu.
Sio Kila tatizo Lina changamoto zake.
Iko hivi.

Haijawahi kutokea nchi hata moja hapa chini ya jua kupewa misaada ya kijeshi na silaha ya vikwazo vya kumdhiofisha adui wa nchi inayopewa msaada kama Ukraine.

Kwa kifupi ni kwamba NATO west wanatamani sana Urusi ishindwe vita lkn kwa bahati mbaya haiwezi kushindwa kwa kupeleka misaada ya silaha badala ya kuingiza majeshi kamili.kwa hiyo kusema Kila tatizo Lina njia yake ya kutatua huko ni kukwepa ukweli kua NATO wamekutana na ubao umeandikwa "hakuna njia hapa"

Na kwa maelezo Yako hapo juu nashukuri sana kwa kukili kwa kinywa chako kua Urusi ni Supa power ingawa umekili kwa staili ya nato kwa kujificha.

Wazee mbona mnaumia Sana na misaada ambayo Ukraine inapewa na West wakati Supapawa wenu nae anasaidiwa na Belarus,Iran na North Korea.

Hata USSR wakati wa WWII ilipewa misaada ya kijeshi na Marekani hii ya Ukraine sio ya Kwanza na wala haitokua ya Mwisho.
 
Mzee sijui uwezo wa hizo SAMP-T ila kama hizo patriot ndio hamna kitu wayemen tu waliziweza na makombola yao sasa unataka kuziongezea uzito wa kupamba na russian missiles? It will be massacres
Kwani zile S-400 za Russia zimefanya nini cha ajabu huko Ukraine?! Maana zilikua zikipewa sifa kwamba ndio AD bora kabisa duniani
 
Wazee mbona mnaumia Sana na misaada ambayo Ukraine inapewa na West wakati Supapawa wenu nae anasaidiwa na Belarus,Iran na North Korea.

Hata USSR wakati wa WWII ilipewa misaada ya kijeshi na Marekani hii ya Ukraine sio ya Kwanza na wala haitokua ya Mwisho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nchi zinazoitaji kusaidiwa na Urusi leo hii zitoe msaada.ebu kuwa serious kidogo.Silaha gani ya North korea au ya Belarus umeona uwanja wa vita warusi wakitumia.


Urusi ana viwanda vingi vvya kutengeneza silaha.wala hana presha kabisa kuhusu kitu kinaitwa silaha
 
Maeneo yanapotea mkuu nakukumbusha
Kama yapi?! Maana hiyo Soledar ndio mji wa maana ambao Russia imeukamata baada ya miezi sita. Ndani ya hiyo miezi 6 Ukraine imerudisha miji muhimu kama

•Kherson (30%)

•Izium

•Lyman

•Kupiansk

•Kharkiv, bila kusahau

•Snake Island

Tangu May mwaka Jana Urusi inapigana kuikamata Bakhmut lakini mpaka Leo Hali ni tete na Boss wa Wagner amekiri kuikamata Bakhmut sio suala la hivi karibuni

Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant

However, Prigozhin warned that Wagner would be unlikely to oust Ukrainian forces from Bakhmut soon: "Contrary to various opinions that the Armed Forces of Ukraine are fleeing from Artemovsk [the Russian name for Bakhmut], this is not so. The Ukrainian army is working clearly and harmoniously. We have a lot to learn from them."
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
 
Mkuu ukisikiliza comments za regime ya Zelensky wamechanganyikiwa kabisa, juzi juzi hapa nilicheka mpaka nikavunjika mbavu!! Zelensky umeanza kuzozana na Taifa fulani la Ulaya mashariki nemelisahau jina: anasema wamurudishie air defense systems za Urusi type BuK... Zelensky alizo wapa kurinda anga lao dhidi ya ndege za Urusi, sasa Zelensky anasema wazirudishe haraka sana maana zina aminika sana katika masula ya ulinzi wa anga kuliko za magharibi - we fikiria watu hawa walivyo wa ajabu!!
Mbona Urusi alienda kuchomoa S-300 aliyompatia Syria,sasa hapo cha ajabu ni kipi Mzee?!
 
Kama yapi?! Maana hiyo Soledar ndio mji wa maana ambao Russia imeukamata baada ya miezi sita. Ndani ya hiyo miezi 6 Ukraine imerudisha miji muhimu kama

•Kherson (30%)

•Izium

•Lyman

•Kupiansk

•Kharkiv, bila kusahau

•Snake Island

Tangu May mwaka Jana Urusi inapigana kuikamata Bakhmut lakini mpaka Leo Hali ni tete na Boss wa Wagner amekiri kuikamata Bakhmut sio suala la hivi karibuni

Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant

However, Prigozhin warned that Wagner would be unlikely to oust Ukrainian forces from Bakhmut soon: "Contrary to various opinions that the Armed Forces of Ukraine are fleeing from Artemovsk [the Russian name for Bakhmut], this is not so. The Ukrainian army is working clearly and harmoniously. We have a lot to learn from them."
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
Uwoni Urusi kwa sasa anachukua sehemu muhimu.Donesk na luhansk ni miji yenye utajiri kuliko miji yoyote ile hapo Ukraine.ukipata iyo miji basi umekata sehemu kubwa ya Ukraine.
 
Kwahiyo Ile battle ya Hostomel airport wakati inatokea wewe ulikua Nanjilinji au?! Kama alifanya ujinga wa kutuma limsafara lirefu bila air cover na baadae limsafara lile kupigwa ambush na Ukraine ndio ashindwe kufanya ujinga alioufanya pale Hostomel!!!!

Wewe jamaa unachekesha,kwahiyo Urusi ilituma wanajeshi waende wakaharibu Ile ndege AN-225 hayo ndo unaita mafanikio?! [emoji23][emoji23]

Ndio maana nikakuuliza kama Urusi hakutaka iteka Kiev Ile misafara ya vifaru iliyokua inapigwa ambush kwa Javellin pale Kiev ilifata nini?!
Slavaaa Ukraine .....
 
Back
Top Bottom