Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi kweli kuna siku inapita bila kupost hichi kiposta na kile kingine cheupe kweli mkuu!!
Mkuu, warusi wanachinjwa kila iitwapo Leo..,yaani kila siku iendayo kwa mungu warusi zaidi ya 700 lazima wachinjwe huko Ukraine.., hivyo usishangae ninapowaletea hizo takwimu kila siku

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wazee mbona mnaumia Sana na misaada ambayo Ukraine inapewa na West wakati Supapawa wenu nae anasaidiwa na Belarus,Iran na North Korea.

Hata USSR wakati wa WWII ilipewa misaada ya kijeshi na Marekani hii ya Ukraine sio ya Kwanza na wala haitokua ya Mwisho.
Russia hasaidiwi silaha,ananunua baadhi anazohitaji!
 
Ndio maana hua nakwambia taarifa zako za mchongo,eti vifaru vipya 2000 aina ya T-90M [emoji23][emoji23]. Unavijua vifaru 2000 wewe?!

Hata ukichukua jumla ya vifaru vyote (T-90M) vya Urusi kabla ya Vita na baada sidhani kama vinazidi vifaru 1000 wewe unaleta fix za vifaru vipya 2000. Leta link bhas tukajisomee wenyewe
Kabla ya vita, Russia alikua n@ vifaru zaidi ya 15,000,ndo nchi ilikua inaongoza
 
Hahahaha we jamaa itakua kuna fyuzi imechomoka kwenye hiyo kichwa yako.

Aliyekwambia kuna mashindano ya kuchukua miji kwa muda fulani ni nani?!

Umetajiwa maeneo ambayo warusi walichapika na kukimbia bado unasema "inabidi muwatoe warusi maana wapo kwenu".

Kama Kherson ilirudi, Kharkiv ilirudi na maeneo mengine kwanini ishindikane huko kwingineko?! Subiria counteroffensive zinazofuata kipindi cha Spring.
Subiri mpaka yarudi ndo uje kutamba ila kwa sasa hamna jipya la kuongea.
 
Tatizo hufuatilii taarifa za Russia,Makombora ya himars yamekuwa intercepted Kwa asilimia kubwa ndio maana unasikia habari za himars zimepotea humu jamvini!
Kama juzi mlivyonitercept Makombora mawili ya Himars na manne kulipua na kuwakaanga wale wanajeshi wenu 600 mliowarundika pale Makiivka si ndio?!

Hii ni last week HIMARS zilivyowaunguza vibaka wa Wagner

This video of HIMARS [emoji1255] hitting Wagner’s in Soledar crediting your account was on TV in USA [emoji631]

I just saw it when I flipped the channel to CNN, it was on AOC360 and a couple of other programs.


Hii ni Rada ya S400 ambayo ilipigwa na HIMARS,baadae warusi wakaitelekeza.

A better photo of captured advanced russian Podlet-K1 radar station in Chornobaivka airfield.

HIMARS ipo na itaendelea kuwepo ili kuwafunza adabu.
20230117_200301.jpg
 
Unataka jina la artillery shells[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee[emoji23]

Kwani Marekani alivyosema Iran itauzia Russia drones si Russia na Iran zilipinga,baadae zikaja kukubali.

Marekani iliposema miezi kadhaa kabla kwamba Russia inajiandaa kuivamia Ukraine si Urusi ilipinga na kukataa katakata.Leo imekuaje?!

Kwahiyo mnataka tumuamini Marekani anapotoa data zinazowafurahisha tu lakini zile zisizowapendeza mnazikataa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hukujua kuwa kuwa Russia ataivamia Ukraine?Basi utakuwa kilaza!
 
Subiri mpaka yarudi ndo uje kutamba ila kwa sasa hamna jipya la kuongea.
Kwani wewe Una jipya gani Shekhe wakati mpaka Leo hiyo Donbass tu mmeshindwa kuidaka yote. Bakhmut karibu mwaka inawatoa kamasi.

Kwahiyo na wewe subiri mpaka mkamate maeneo yote ndo uje kutamba sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawa. Kaa kwa kutulia.
 
Si ndio ujue kuwa hatutoki kwenye reli Wala kupanic na kutoa matusi,sisi ni nyundo juu ya nyundo!Ukitukana ni juu Yako na nafsi Yako!
Ukitaka usijibiwe,usiandike[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sawa ,usichoke kunijibu mkuu, hivyo ndivyo napenda kwa Sababu unanipa fursa ya kupata airtime zaidi..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama juzi mlivyonitercept Makombora mawili ya Himars na manne kulipua na kuwakaanga wale wanajeshi wenu 600 mliowarundika pale Makiivka si ndio?!

Hii ni last week HIMARS zilivyowaunguza vibaka wa Wagner

This video of HIMARS [emoji1255] hitting Wagner’s in Soledar crediting your account was on TV in USA [emoji631]

I just saw it when I flipped the channel to CNN, it was on AOC360 and a couple of other programs.


Hii ni Rada ya S400 ambayo ilipigwa na HIMARS,baadae warusi wakaitelekeza.

A better photo of captured advanced russian Podlet-K1 radar station in Chornobaivka airfield.

HIMARS ipo na itaendelea kuwepo ili kuwafunza adabu.View attachment 2487775

Ndio nasema,bila mifumo ya ulinzi ya Russia,himars zingetamba sana!Sema Ukraine hawezi kukuambia amefire mara ngapi!
Ungekuwa unafualtilia habari za Russia ungeona,Kuna wakati makombora yote ynadunguliwa kabla ya kufikia targets!
 
Kwani wewe Una jipya gani Shekhe wakati mpaka Leo hiyo Donbass tu mmeshindwa kuidaka yote. Bakhmut karibu mwaka inawatoa kamasi.

Kwahiyo na wewe subiri mpaka mkamate maeneo yote ndo uje kutamba sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawa. Kaa kwa kutulia.
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kweli ujielewi.kwani ni lazima kuchukua Dombass yote.nyie ndo mfanye mpango muwatoe Warusi kwenye majimbo ya Luhansk, Donesk, zaphorozia, Kherson na kharviv ili Ukraine iwe free.

Kubakwa ni kubakwa tu hata kama kwa sekunde 10.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio nasema,bila mifumo ya ulinzi ya Russia,himars zingetamba sana!Sema Ukraine hawezi kukuambia amefire mara ngapi!
Ungekuwa unafualtilia habari za Russia ungeona,Kuna wakati makombora yote ynadunguliwa kabla ya kufikia targets!
Yani nyie Himars zidunguliwe msilete taarifa hapa.

Au unataka tuamini zile taarifa za MOD za Urusi,zile fix. Juzi hapa walisema wameharibu Bradley AFV wakati hizo Bradley hazipo Ukraine ndio kwanza wanajeshi wa Ukraine wapo Ujerumani wanajifunza jinsi ya kuzitumia.

Yani Russia inaharibu silaha ambayo haipo kwenye uwanja wa Vita, hili si ni ajabu la nane la Dunia[emoji23][emoji23][emoji23]

Russia Mocked For Claiming To Destroy 4 US-Made Bradley Fighting Vehicles That Are Yet To Be Delivered To Ukraine

Russia has claimed to have destroyed four American-made Bradley Fighting Vehicles in Ukraine, which the Biden administration recently pledged to Kyiv as part of its latest $3.75 billion aid package. The only catch being they are yet to arrive in the war-hit country.

Russia’s Ministry of Defense spokesman Igor Konashenkov said in a recent press statement that Ukraine lost four Bradley Fighting Vehicles (BFVs) during hostilities.

“During the battle in this direction, the enemy (Ukraine) lost 11 tanks, 17 Infantry Fighting Vehicles (IFVs), including four Bradleys made in the USA,” said Konashenkov.

The video of Konashenkov claiming the destruction of Ukrainian Bradleys has become a laughing stock among the netizens on social media


Russia Mocked For Claiming To Destroy 4 US-Made Bradley Fighting Vehicles That Are Yet To Be Delivered To Ukraine

Yani Russia kwa fix ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ndugu yako katuambia Russia ana vifaru elfu 30.

Akaongeza kwamba juzi hapa imepeleka Ukraine vifaru vipya T-90M zaidi ya 2,000 kule Ukraine. Nimemuomba ushahidi kakimbia. Labda umsaidie.
Nyie mnavyosema Warusi wamekufa laki 1 mmetoa ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23].si mnaongea tu maneno matupu
 
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kweli ujielewi.kwani ni lazima kuchukua Dombass yote.nyie ndo mfanye mpango muwatoe Warusi kwenye majimbo ya Luhansk, Donesk, zaphorozia, Kherson na kharviv ili Ukraine iwe free.

Kubakwa ni kubakwa tu hata kama kwa sekunde 10.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha Leo unaanza kupingana na Babu yenu andunje[emoji23]. Nyie si mlipitisha mpaka Kura nyie kwamba Donbass yote ni Urusi bila kusahau Zaporizhzhia na Kherson,baadae mkakimbia Kherson kama paka wezi
 
Back
Top Bottom