Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Mkuu nimeshangaa sana kukukuta huku! Anyway ni vizuri kufuatilia current news![emoji1474]Hawaa jamaaa itakuwa kama vita ya Israel na Palestina aisee hawamalizii tuu duu
Mkuu nimeshangaa sana kukukuta huku! Anyway ni vizuri kufuatilia current news![emoji1474]Hawaa jamaaa itakuwa kama vita ya Israel na Palestina aisee hawamalizii tuu duu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu nilikuwa nakatisha tu one time kucheck kama amani imerejea.Mkuu nimeshangaa sana kukukuta huku! Anyway ni vizuri kufuatilia current news![emoji1474]
Yani kutoa vifaru 30 tu wanaogopa kuwa jeshi lao litapoteza nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Urusi juzi tu kapeleka vifaru vipya kabisa zaidi ya 2000 aina ya T-90 M kwa kila sehemu ya maeneo yake.
Kapeleka upgrade ya T-72 zaidi ya 1000.
Alafu mtu anakuja kutoka sijui wapi anasema ovyo kuhusu Urusi.
Vifaru 30 tu kazi, alafu uje kupigana na Urusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama Urusi ilikua haitaki kuiteka Kiev wale paratroopers na Spetsnaz walioshuka pale Kiev na kutaka kuiteka Antonov airport pale Hostomel ili kuhakikisha ndege za Urusi zinatua walifata nini Kiev,kwanini hawakushukia kule Donbass?!Mkuu, Putin alikuwa na plan moja tu nayo ni kukomboa South east na South West ya majimbo ya Ukraine yenye majority ya ethnic Russians ambao walikuwa wanakuwa brutalized by Kiev Regime kwa muda - mpaka vita inanza Feb mwaka jana ethic Russian in Ukraine walisha uwawa 14,000 lakini hakuna Serikali hata moja ya magharibi iliwahi ku-condemn ukatiri huo hata siku moja!!
Sasa Zelensky na mataifa walipo panga final solution ya kuwamaliza ethnic Russian kwenye majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine - walipanga vile vile kuishambulia Crimea na kuiteka moja kwa moja - luckily enough Russians got wind of what NATO/US and Zelensky were planning ndio maana wakawawahi by pre emptive strike kutoka kwa jeshi la anga la Urusi wakaharibu ndege zote za kivita zilizo kuwa uwanjani mwa Kiev.
Msafara wa 64Km wa maghari ya kijeshi ya Urusi, hiyo ilikuwa danganya toto ya kuwaghiribu jeshi la Ukraine wadhani kwamba jeshi la Urusi lina mpango wa kuuteka mji wa Kiev hivyo Zelensky aka-panic kwa kudhani jeshi la Russia lina mpango wa kuukalia mji wa Kiev na kumuondoa Zelensky madarakani - kumbe huo ilikuwa ni Decoy tu ya kuchezea akili majenerali wa Ukraine ili wahamishe majeshi kutoka kusini mashariki na kuyaleta Kiev ku defend mji wa Kiev, thereby kupunguza nguvu za jeshi lilokuwa limejipanga vilivyo wakishirikiana na some troops wa NATO/US kujaribu kukomboa majimbo ya kusini mashariki yaliyo kuwa yametekwa kaliwa na ethnic Russia ambao waliokuwa/wamepania kujitenga na brutal regime ya Zelensky - Zelensky and his masters planned to wipe out ethnic Russians from Ukraine as a final solution - akili za Zelensky na wafadhili wake wa west notably the US hazina tofauti na akili za enzi za utawala wa KINAZI (Hitler) zilizo kuwa zinawahusu kuwamaliza Wayahudi wote huko Ujerumani na Ulaya mashariki!!
Wala mimi sishangai, after all Zelensky is a clown, mtu unategemea nini kutoka kwa binadamu ambaye ni a comedian by default- maigizo tu 24X7, unajua vizuri kwamba jeshi lake halina uwezo wowote wa kuishinda Russia kijeshi - lakini wapi bwana!! Yupo yupo tu anapuyanga akiamini mataifa ya magharibi yatamsaidia kuigeuzia kibao Urusi - vigumu sana kumwelewa.
Nauliza,SMO imekwisha?Plans za Russia wanajua wenyewe!Mwisho wa hii SMO ndio tutajua,Je alisema kweli aliposema Hizo 4 regions zitakuwa Russia forever au ni mikwara tu!Sawa umekataa kheson haijaondoka .,vip kule Lyman..,mji uliokombolewa baada ya saa 24 za matokeo ya Ile kura ya kujiunga na urusi.., tuambie Putin alichukua hatua gani?
Yule ni Mzee wa mikwara na uongo mkuu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin kasala kule,yaani hawataki wanashika adabu,wanataka wanashika adabu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu nilikuwa nakatisha tu one time kucheck kama amani imerejea.
Bado mbwa mwenzake.Mnamo mwezi wa 6 mwaka 2022 waziri wa mambo ya ndani wa Ukrein alisema kua. Rais wa URUSI mwamba PUTIN atakufa hivi karibuni.
Lakini bahati mbaya amekufa yeye kwanza.View attachment 2486471
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe mwenyewe unachokiripot hata hukijui [emoji28][emoji23][emoji16]Mnamo mwezi wa 6 mwaka 2022 waziri wa mambo ya ndani wa Ukrein alisema kua. Rais wa URUSI mwamba PUTIN atakufa hivi karibuni.
Lakini bahati mbaya amekufa yeye kwanza.View attachment 2486471
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bado huyu nguchiro [emoji3525][emoji3525]Bado mbwa mwenzake.
Kazi yako kutumia emoj tu huna kipya zaidiWewe mwenyewe unachokiripot hata hukijui [emoji28][emoji23][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wakati nyinyi mna edit sasa tuna picha za kweli kazi kwakoBado huyu nguchiro [emoji3525][emoji3525]View attachment 2486491
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe huoni kama unatuletea taharifa za mchongo hapa?? Ficha aibu yako!!Kazi yako kutumia emoj tu huna kipya zaidi
We are coming for you !!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bora Mimi natumia emoji..,wewe hata kuandika hujui..,kuchamba kwingi tuKazi yako kutumia emoj tu huna kipya zaidi
We are coming for you !!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na ndio maana sasa Russis imemteua Gen Gerasimov, Chairman of Joint Chiefs of Staff, ku handle hii SMO.Hii vita inaenda kuwa kubwa, ni world war 3 in slow motion,, Russia hatakubali kushindwa,, hii ni existential threat kwa Russia na kwa US pia,,
Endapo Russia atashindwa, ile nchi itamegwa vipande vidogo vidogo,, nchi za magharibi wanazimezea mate rasilimali za Russia,, hivyo Russia hawezi kukubali,
Kwa upande mwingine, US akishindwa hii proxy war,, ndio itakua mwisho wa US kama super power,,
Hii maana yake hii vita, inakwenda kua vita kuu,, na ndo itakuwa vita mwisho kuu katika generation yetu,, [emoji23][emoji2298]
We are furked big time, whichever way[emoji2377]
Miongoni mwa wasio jitambua umo acha nikupe ufahamu kwa vitendo.Wewe huoni kama unatuletea taharifa za mchongo hapa?? Ficha aibu yako!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pole rafiki sauti ya wengi ni sauti ya ukweliHoja inapingwa kwa hoja ndivyo mijadala inaendeshwa...
pingeni hoja zake kwa kutoa hoja zenu na sio kujaza 'vihoja'.
Hakika tena wsvge pro-ukraine wajizime data ila Zerozensk ataita maji mma tena sio kupitia Putin Bali haohao wanajeshi wake maana Kuna karibia ya mia ya baadhi ya wanajeshi wa ukraine wamegoma kupigana na Urusi na wamemwambia jokeri Zelensky "we are coming for you." Yani mambo ni mperampera yani mukide mukideMkuu, Putin alikuwa na plan moja tu nayo ni kukomboa South east na South West ya majimbo ya Ukraine yenye majority ya ethnic Russians ambao walikuwa wanakuwa brutalized by Kiev Regime kwa muda - mpaka vita inanza Feb mwaka jana ethic Russian in Ukraine walisha uwawa 14,000 lakini hakuna Serikali hata moja ya magharibi iliwahi ku-condemn ukatiri huo hata siku moja!!
Sasa Zelensky na mataifa walipo panga final solution ya kuwamaliza ethnic Russian kwenye majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine - walipanga vile vile kuishambulia Crimea na kuiteka moja kwa moja - luckily enough Russians got wind of what NATO/US and Zelensky were planning ndio maana wakawawahi by pre emptive strike kutoka kwa jeshi la anga la Urusi wakaharibu ndege zote za kivita zilizo kuwa uwanjani mwa Kiev.
Msafara wa 64Km wa maghari ya kijeshi ya Urusi, hiyo ilikuwa danganya toto ya kuwaghiribu jeshi la Ukraine wadhani kwamba jeshi la Urusi lina mpango wa kuuteka mji wa Kiev hivyo Zelensky aka-panic kwa kudhani jeshi la Russia lina mpango wa kuukalia mji wa Kiev na kumuondoa Zelensky madarakani - kumbe huo ilikuwa ni Decoy tu ya kuchezea akili majenerali wa Ukraine ili wahamishe majeshi kutoka kusini mashariki na kuyaleta Kiev ku defend mji wa Kiev, thereby kupunguza nguvu za jeshi lilokuwa limejipanga vilivyo wakishirikiana na some troops wa NATO/US kujaribu kukomboa majimbo ya kusini mashariki yaliyo kuwa yametekwa kaliwa na ethnic Russia ambao waliokuwa/wamepania kujitenga na brutal regime ya Zelensky - Zelensky and his masters planned to wipe out ethnic Russians from Ukraine as a final solution - akili za Zelensky na wafadhili wake wa west notably the US hazina tofauti na akili za enzi za utawala wa KINAZI (Hitler) zilizo kuwa zinawahusu kuwamaliza Wayahudi wote huko Ujerumani na Ulaya mashariki!!
Wala mimi sishangai, after all Zelensky is a clown, mtu unategemea nini kutoka kwa binadamu ambaye ni a comedian by default- maigizo tu 24X7, unajua vizuri kwamba jeshi lake halina uwezo wowote wa kuishinda Russia kijeshi - lakini wapi bwana!! Yupo yupo tu anapuyanga akiamini mataifa ya magharibi yatamsaidia kuigeuzia kibao Urusi - vigumu sana kumwelehakika