Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi kwa sasa sehemu nyingine kuna ama uasi katika nchi za uarAbuni ni wapi
 
Supa-pawa anafanya uwekezaji wa muda mrefu.

Al Jazeera
Russia offers free sperm freezing to soldiers sent to Ukraine

3 weeks ago

===================
Supa-pawa ameona mbali Sana....'if you fail to plan, you plan to fail"...hapa Kuna la kujifunza.

T14 Armata MK254 dudus Jackal HIMARS Axel Lloyd
 
🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏
Anapenda kujifanya anajua vitu vya ndani ya serikali za watu wakati yeye ni kapuku mmoja ambaye ana mbele wala nyuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Yani kandika sijui ujumbe,insha au barua ya kuomba kazi.yani akieleweki alichoandika.[emoji23][emoji23][emoji23]
👍Jamaa ni mjuaji sana ,kwa mawazo yake,na wapo wanaomuamini,hawaamdiki chochote bila kumtag.
Anaandika mamaboengi sana ,ukisoma unagundua ni chuki TU.
 
Nikufahamishe tu lengo kuu la Putin lilikuwa ni kuipindua serikali ya rais zelensiky na kuweka kibaraka wake.., lakini Hilo lilishindikana.., na hatoweza kujaribu kufanya hivyo Tena maana anajua wazi kwamba uwezo huo Hana ..,Kwa Sasa anatafta Plano B

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Mkuu, Putin alikuwa na plan moja tu nayo ni kukomboa South east na South West ya majimbo ya Ukraine yenye majority ya ethnic Russians ambao walikuwa wanakuwa brutalized by Kiev Regime kwa muda - mpaka vita inanza Feb mwaka jana ethic Russian in Ukraine walisha uwawa 14,000 lakini hakuna Serikali hata moja ya magharibi iliwahi ku-condemn ukatiri huo hata siku moja!!

Sasa Zelensky na mataifa walipo panga final solution ya kuwamaliza ethnic Russian kwenye majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine - walipanga vile vile kuishambulia Crimea na kuiteka moja kwa moja - luckily enough Russians got wind of what NATO/US and Zelensky were planning ndio maana wakawawahi by pre emptive strike kutoka kwa jeshi la anga la Urusi wakaharibu ndege zote za kivita zilizo kuwa uwanjani mwa Kiev.

Msafara wa 64Km wa maghari ya kijeshi ya Urusi, hiyo ilikuwa danganya toto ya kuwaghiribu jeshi la Ukraine wadhani kwamba jeshi la Urusi lina mpango wa kuuteka mji wa Kiev hivyo Zelensky aka-panic kwa kudhani jeshi la Russia lina mpango wa kuukalia mji wa Kiev na kumuondoa Zelensky madarakani - kumbe huo ilikuwa ni Decoy tu ya kuchezea akili majenerali wa Ukraine ili wahamishe majeshi kutoka kusini mashariki na kuyaleta Kiev ku defend mji wa Kiev, thereby kupunguza nguvu za jeshi lilokuwa limejipanga vilivyo wakishirikiana na some troops wa NATO/US kujaribu kukomboa majimbo ya kusini mashariki yaliyo kuwa yametekwa kaliwa na ethnic Russia ambao waliokuwa/wamepania kujitenga na brutal regime ya Zelensky - Zelensky and his masters planned to wipe out ethnic Russians from Ukraine as a final solution - akili za Zelensky na wafadhili wake wa west notably the US hazina tofauti na akili za enzi za utawala wa KINAZI (Hitler) zilizo kuwa zinawahusu kuwamaliza Wayahudi wote huko Ujerumani na Ulaya mashariki!!
Ingawa nakumbuka kuna taarifa ilisambaa kwamba Ukraine wametungua Kh-22 missile kumbe hawakua na AD yenye capability ya kuitungua hiyo missile ilikua uzushi tu.



View attachment 2484980View attachment 2484981

Sent using Jamii Forums mobile app

Wala mimi sishangai, after all Zelensky is a clown, mtu unategemea nini kutoka kwa binadamu ambaye ni a comedian by default- maigizo tu 24X7, unajua vizuri kwamba jeshi lake halina uwezo wowote wa kuishinda Russia kijeshi - lakini wapi bwana!! Yupo yupo tu anapuyanga akiamini mataifa ya magharibi yatamsaidia kuigeuzia kibao Urusi - vigumu sana kumwelewa.
 
All over the map

Unasoma hadi katikati alaf unajiuliza anazungumzia nini!? Unarudi unaanza upya tena na tena

Mtu anaandika kbs Putin hampendi fulani anampenda fulani. How do you know that!?
Huyu jamaa hua yupo Kila sehemu,yupo Kremlin,yupo red square,yupo white house,yupo pentagon.
Anajua silaha zote duniani,ubora wa Kila silaha.kila unalolijia wewe yeye analijua na usilolijua wewe yeye tayari analijua ila ukisoma maandiko yake ndo utajua ni mtu wa aina Gani.
 
Sasa kama walikuwa hawataki akolewe silaha za mabilion ya $ walikuwa wanapeleka kwenda kuchezea rede au?

Usilete bulaabulaa hapa siyo yeye anaye razimisha Asad atolewe bali ni hao hao wamagharibi waliokuwa wanarazimisha atolewe ila wakashindwa mpaka walianzisha na msemo wao wa Asad must go na wakaunda ushirika wa mataifa mengi na kujiita marafiki wa kweli wa Syria.

Aya tuachane na Syria vipi kuhusu Venezuela ambapo mpaka walimtangaza raisi wao ?
Mkuu, kuna watu ukipanga nao hoja ni kama vile unaongea na ng'ombe. Hamna chochote waachoweza kubadilika hata uwafundishe vipi.

Dawa ni kuwapuuza
 
Supa-pawa anafanya uwekezaji wa muda mrefu.

Al Jazeera
Russia offers free sperm freezing to soldiers sent to Ukraine

3 weeks ago

===================
Supa-pawa ameona mbali Sana....'if you fail to plan, you plan to fail"...hapa Kuna la kujifunza.

T14 Armata MK254 dudus Jackal HIMARS Axel Lloyd
Mtu akianza kununua jeneza anakuwa anajua wazi tu kwamba mauti yake hayako mbali..,hiki ndicho anachofanya Putin. ,Anawaandalia mazingira askari wake wanaopelekwa huko field maana anajua wazi uwezekano wa kurudi nyumbani kwa askari wake wakiwa hai ni mdogo sana,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa hua yupo Kila sehemu,yupo Kremlin,yupo red square,yupo white house,yupo pentagon.
Anajua silaha zote duniani,ubora wa Kila silaha.kila unalolijia wewe yeye analijua na usilolijua wewe yeye tayari analijua ila ukisoma maandiko yake ndo utajua ni mtu wa aina Gani.
Pingeni hoja zake kwa hoja, sio kutuhumu watu kuwa 'wajuaji' (kisa mnatofautiana mtazamo) wakati hata nyie mna nafasi ya 'kujua/kufahamu' mambo mengi mkitaka.
 
Assad wamtoe ili iweje, kwanini unalazimisha wamtoe. Na level za geopolitics za Russia ni kufanya uvamizi tu na kupigana vita, hakuna kitu cha maana Russia wanaweza fanya kwenye nchi. Hawafanyi investments wala kuongeza trade wala kusaidia kilimo, technology wala elimu. Hata wakija kwenye mikutano na nchi za Afrika agenda zao ni zilezile kuongeza ushirikiano wa kijeshi wauze silaha.

Hiyo ndiyo level ya nchi isiyo top 10 of the greatest economies in the world. Sasa hawa wengine kina UK wanaweza tumia ushawishi aina nyingine tofauti na jeshi hivyo hawalazimiki kila siku kupigana kama Russia. Na UK pale Argentina alienda kwa kuvamiwa, kama unataka kumpima mvamie tena.

Miaka ya 90s si USSR ilivunjika, Russia ikaanza na uchumi mbovu na constitutional crisis, Russia wakapigana wenyewe na Chechnia yao, muda huo UK wanakula maisha. Huo muda hatuwezi linganisha Russia iliyokuwa kwenye migogoro na UK. 2000s wakaufyata, 2008 wakavamia Georgia, 2017 nadhani ndio walienda Syria. 2014 wakachukua Crimea, wakajiona wababe wa dunia. 2022 wakafundishwa adabu hadi leo. Mwanzoni mlianza na mikwara nchi itakayopeleka silaha inapigwa, leo mnalalamika Ukraine inapata silaha. Si superpower nyie, wapigeni hao wanaopeleka silaha
Umenisikitisha sana,,,Ni wewe huyu au mwingine?
 
Hivi ww jamaa una akili kweli yaani pamoja na maelezo yote bado umejizima data?

Nimesha kwambia Ukraine kama Ukraine kwa sasa hana lolote kinacho mfanya aendelee kusavave ni misaada ya silaha anazo pokea kutoka huko huko NATO kwa maana hiyo NATO inapigana vita ya Uwakala na Urusi ina maana tiyari Urusi iko vitani na Nato japo sio rasimi.
Hiyo misaada anayo pewa Ukraine angepewa Iraq kipindi inavamiwa na Marekani wenda mpaka sasa Sadam angekuwa Madarakani.

Umeniuliza swali la kipumbavu sana,mbona hujajiuliza inakuwaje Marekani aliye shinda vita dhidi ya taifa kubwa kama Japan badae ilikuja kushindwa vita tena vibaya sana na Kijitaifa kidogo na masikini kama Vietnam?

Mbona ujiulizi ilikuwaje Usoviet aliye shinda vita dhidi ya Ujerumani ya Hitra iliyo kuwa inatisha badae ilikuja kushindwa vita na kikundi cha mujahideen cha nchini Afghanistan? Hata kama ni ushabiki msiwe mna jitoa akili kiasi hicho.

Jana mkuu wa jeshi la Uingereza alikiri kuwa jeshi la Uingereza limedhoofika kwa sababu ya kupeleka silaha Ukraine na sio Uingereza tu vinchi vya vingi vya Ulaya mashariki maghara yao tiyari ni matupu sasa sijui kati yako na huyo jenerali wa kiingereza tumsikilize nani.
Nadhani tusimsikile Genaral wa UK tumsikilize yeye kwasababu anajua mengi zaidi.
 
Aisee uzi tu Russia ameshinda tena kwa knock out utasemaje isiwezekane katika uwanja wa Vita.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Bravo Russia. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kupeleka misaada ya silaha wazi wazi ni uoga na kujificha ?
Rafiki yangu Proved ,kabla ya mgogoro huu nilikua nakuona kama mtu unaelewa mambo kwa haraka sana.
Ila kwa michango Yako humu unaonekana ni mtu tofauti kabisa.
Rafiki Iko hivi?
Nilishakueleza vizuri huko juu,hata hivyo Sasa hivi ntaeleza kwa mtindo mwingine.

NATO sio umoja wa kutoa michango ya silaha kwa nchi wanayotaka kuisaidia,bali NATO huingia vitani kamili kwa kuingiza wanajeshi wake ambao wengi wako west Europe na wengine huongezwa kutoka nchi wanachama pale inapohitajika.

Sasa kwa kuangalia body language TU ya NATO ni kwamba wameipenda sana Ukraine na hata kufanya Kila mbinu ili ijiunge na NATO sema Urusi imekua ikitibua.

Sasa nchi wanayoipenda kwa kiwango hicho Leo hii imevamiwa na inapigwa Hadi kumegwa ardhi yake.
Tena inapigwa na nchi adui ambae ndiyo aliepelekea kuundwa kwa NATO.
Kumbuka NATO haikuumdwa kwa ajili ya kujihami dhidi ya Africa,Asia, South Amerika wala middle east.
NATO iliundwa kwa ajili ya Urusi.

Leo hii Kwa mapenzi waliyonayo NATO kwa Ukraine kwa mara ya kwanza NATO safari hii hawajatumia jeshi lake kamili Bali wanachangishana silaha,Tena kwa masharti ya silaha zisizoweza kufika ndani kabisa ya Urusi. Umeona hiyo?

NATO wan jeshi kamili la askari wa miguu,wakiwa na silaha zote,wan jeshi la anga na Majini.

Kwa huruma walioonesha juu ya Ukraine ilikua ndio muda Sasa wa kuingia jeshi lote la NATO na kumsaidia Ukraine. Zaidi ya hapo wanamuogopa Urusi kubali kataa.

Rais wa USA kaka mkubwa wa NATO aliiambia Dunia safari hii hatutapeleka jeshi Ukraine kwa sababu safari hii tunadili na moja kati ya jeshi kubwa sana hapa ulimwenguni.
Urusi sio mtandao wa kigaidi.
Hapa ni kama kusema sisi USA tumezoea kudili na vijitaasisi vidogo kama Al-qaida,Isis na nk.

Kwa hiyo kupeleka silaha kwa mtindo wa kuchangishana,NATO wanashiriki vita hii kwa uoga na kujifichaficha.

Sio utamaduni wa NATO na sio kawaida ya NATO.
Ukisema Ukraine sio mwanachama wa NATO majibu unayo kua NATO walishazipigania nchi ambazo sio hata wanachama wa NATO.
 
Back
Top Bottom