Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa ni Maoni yako lakini hayana mtiririko unaotizamia kufikisha ujumbe mmoja. Hata kama ni maoni yako ndio utupangilie shagalabagala namna hii!? What is your point!?

"Vladimir Putin ni somehow autocrat na kawaida yao huwa hawataki mtu popular zaidi yao

Putin hakuwa best candidate kuwa Rais wa Urusi

Chubais ni kiongozi mzuri ana reputation duniani

Yumanshev ndio alimpendekeza Putin awe mrithi na Yeltsin akakubali baada ya kujadiliana na watu wake wa karibu na wao kushawishika

Yeltsin alikuwa na possible candidates wake ni Boris Nemtsov, sergei Stepashin na Nikolai Aksenenko.

Jeshi halikupenda kabisa lilimjua alivyo

Putin anawaamini hawa watu wawili

Na kitendo cha Shoigu na Gerasimov kupendekeza Surovikin atoke kisha Gerasimov aongoze operation mwenyewe

Wagner wamechukia.

Prigozhin haziivi sana na General Gerasimov na Shoigu"

- Haya sio maoni ni madai. Una ushahidi!? Mafano, Unaweza kututhibitishia kwamba Prigozin na Shoigu na Gerasimov haziivi!?
Nilijua mm tu ila nimaoni yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1982 Uingereza ilitembelea kilomita 13,000 kutoka kwake kwenda pwani ya Argentina kupigana vita ya Falklands. Argentina wakiwa na ndege za kisasa kipindi kile kutoka France, Super Etendard ambazo hazikuwa hata na miaka 10 tangu zianze kutengenezwa. Argentina wakiwa na one of the best anti ship missiles zile Exocet za Ufaransa hadi leo zinatumika.

Uingereza ilitumia wiki 10 kumaliza vita. Jeshi lake lilivuka maji 13,000km na likashinda. Russia ina miezi 11 inapigana na jirani ambaye hata wanajeshi wake ikiamua wavuke mpaka kwa kuruka kichura wanaweza.

Uzuri wa UK huwa inaprove wrong wanaojifanya wajuaji. Alikuwepo Napoleon Bonaparte, ego kubwa maradufu kupita Putin. Alikuwa anajua hapigiki, basi dharau za kutosha, ikaja Battle of Waterloo kamanda Mwingereza mmoja smart akamtimua Napoleon na kuikomboa Spain, Portugal na kuiepusha Ulaya nzima. Unahisi ni mchezo nchi nane (8) kumpa rank ya Field Marshall Duke Arthur Wellesley, ana batons za Field Marshal nchi zote hizo wakati Field Marshal wengine wana baton moja ya jeshi lao. Tukianza kutaja vyeo vyake alivyopata kihalali tutakesha.

Second World War pale Hitler alijua Britain ni dhaifu. Operation Sea Lion ilifeli hakuna meli ya Ujerumani ilivuka kufika Britain, ikaja The Blitz, ikaja Battle of Britain. Pote uko Nazi Germany ikaangukia pua. Kisha Hitler akaamua avamie nchi dhaifu nyinginezo, akapiga Operation Barbarossa kuitafuta USSR.

Ukweli mchungu msiotaka kuambiwa, Britain ndio ilitangaza vita dhidi ya Ujerumani baada ya uvamizi wa Poland. USSR na Stalin wake walikuwa na non-aggresion pact na Ujerumani maarufu kama Molotov -RRibbentrop pact. Na Marekani ikatangaza vita dhidi ya Ujerumani. UK na USA zilikuja kukomboa mataifa dhaifu ambayo Ujerumani ilivamia na kunyanyasa. Britain na UK wangeamua kuufyata ila sio utamaduni wao, na hata sasa utaratibu ni uleule kwenye Ukraine hii. Hujatuvamia sisi ila cha moto utakipata.

Kuidharau Britain ni kujifurahisha tu. Mjenzi mwenyewe wa Russian Navy ya kwanza kabisa aliacha nchi akaenda kupiga kambi Uingereza akajifunza kuunda meli. Bila Uingereza, Russia melivita sijui ingezijulia wapi. Peter the Great, one of the best Russian Tsars in history aliufyata pale London akapigwa shule jinsi ya kufanya navigation baharini na kuunda meli. Russia ilikuwa na maji mengi haijui kufanya navigation, shukuruni Waingereza ebo!
Maelezo yako yamekazia nilichokisema MKUU hapo hakuna hata tukio moja ulilonionesha lamwaka 1990s

Unantajia matukio ya 1980s miaka hio nimesema hapo juu kua UK alikua anatisha tena anatisha haswaaa

Huyo UK anaelalama kwamsaada aloutoa hapo KIEV ndio ataweza kusafiri miles hizo kwasasa akaipige ARGENTINA hilo sahau

Halaf ukweli mchungu munaotaka kuukataa nimsaada anaopewa UKRAINE toka NATO nk ndio kikwazo cha RUSSIA hata kama anapigana na jirani yake

Hata US hakupigana na VENEZUELA ila alimtambua GUAIDO kama RAIS vp ule URAIS bado anaoa ama aliogopa msaada wa Tu za RUSSIA zitakua kikwazo kwake

Mwisho UK imebakia historia kwasasa UK ni taifa lakawaida sana vinginevyo nitajie mishen yeyote aloenda akaipiga UK kama UK mwenyewe akaikamilisha kuanzia mwaka 1990s kuja chini huku 2000s

RUSSIA anapambana mwenyewe na kwa 90% anafanikiwa better late than never SYRIA tunaona ASSAD ndio RAIS tunaona VENEZUELA alomkingia kifua ndio RAIS turudi kule GEORGIA na sasa hapo UKRAINE mnasema aapigana mwaka sasa hatujakataa je ASSAD walimtoa baada ya RUSSIA kuingiaaa MADURO je !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia to Expand its Army to 1.5 Million​

WORLD HAL TURNER 17 JANUARY 2023 HITS: 4711
Russia to Expand its Army to 1.5 Million

Russia will be expanding its army to 1.5 million men, and will create two new military Commands near Europe according to Defense Minister Shoigu.
The expansion comes on top of a Mobilization of 300,000 men done last year, and on top of additional troops which came in above those 300,000.
Russia sees itself as being "at war with the collective west" and is now taking actual, tangible, steps to prepare for that war.
New structures in the regions around Moscow, St. Petersburg and Karelia on the border with Finland will be created under the program, Defense Minister Sergei Shoigu told commanders Tuesday, saying the major changes will start this year and continue through 2026. In addition, he said, “self-sufficient” units will be set up on the Ukrainian territories that Russia has annexed.
Kremlin spokesman Dmitry Peskov said the military expansion came in response to the “proxy war” he claimed the US and its allies are waging against Russia in Ukraine.
 
Mbona hiyo hiyo Uingereza haikuishinda Talban baada kuitembelea maelfu ya kilomita kuwafuata nchini Afghanistan?

Kulinganisha vita ya Ukraine na vita za huko nyuma ndo upumbavu ambao tunaukataa lakini mmekuwa mkijizima data.
Kabla hujalinganisha vita ya Argentina na Uingereza na vita ya Ukraine unaweza kunitajia ni msaada gani wa silaha alio kuwa ana upokea Argentina kama ilivyo kwa Ukraine sasa hivi?

Kinacho fanya vita ya Ukraine kuwa ndefu sio kwa sababu Ukraine ina nguvu au Urusi ni dhaifu bali ni usambazaji wa silaha za nchi za magharibi kwa Ukraine.

Mpaka sasa tangu vita ianze Ukraine imesha zambaziwa silaha zenye thamani ya $75 bilion ambazo ni sawa na bajeti ya ulinzi ya Ufaransa , Uturuki na Israel kwa kuziunganisha kwa pamoja lakini bado hazijafua dafu sasa hivi wana taka kutuma kifurushi kingine.
Kwa msaada wa namna hiyo hata kama ingekuwa Tz au Burundi tungeweza kupambana na taifa lolote lile duniani.

Ukraine kwa sasa ni sawa na mgonjwa mahututi asiye jiweza kwa lolote ambaye hawezi kuishi bila msaada wa mashine ya kupumua ina maana Ukraine anategemea silaha za wamagharibi ili aweze kuendelea na vita tofauti na hapo Ukraine haijiwezi kwa lolote kwa sasa.

Nchi zaidi ya 50 zimeungana kupambana na taifa moja kiuchumi na kijeshi na bado kiuchumi zimesha shindwa na kijeshi ni suala la muda.
Huyo jamaa hata usijisumbue kumjibu....anaongea vitu vingi kwa kujitoa ufahamu, maneno mengi lkn ukiangalia main point na logic ni sifuri

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa tangu vita ianze Ukraine imesha zambaziwa silaha zenye thamani ya $75 bilion ambazo ni sawa na bajeti ya ulinzi ya Ufaransa , Uturuki na Israel kwa kuziunganisha kwa pamoja lakini bado hazijafua dafu sasa hivi wana taka kutuma kifurushi kingine.
Duh!...hiyo misaada mpaka ilingane na bajeti ya NATO huko mbeleni, supa-pawa atakuwa hoi.
 
Uingereza ilitumia wiki 10 kumaliza vita. Jeshi lake lilivuka maji 13,000km na likashinda. Russia ina miezi 11 inapigana na jirani ambaye hata wanajeshi wake ikiamua wavuke mpaka kwa kuruka kichura wanaweza.
kaka Kumbuka Ukraine inasaidiwa na nchi za magharibi hata NYIE wenyewe mnatuletea hapa Misaada ya Ukraine kutoka kwa mashoga.
Ukraine ingepigana wenyewe vita vingishaisha tangu mda tuu.
Kwa vile inasaidiwa ndo maana wanapigana mpaka sasa.
Kumbuka Kule kuna wakujitolea zaidi ya 20,000 japo wengi wao kwa sasa wanarudi na wengine kufa.
Hata askari wa Nato wapo wengi na pesa zinatililika .
Chukuria mfano Argentina ingesaidiwa Na USA kwa kila kitu hivi kingetokea nini unvyoona.
 
Mwaka 1982 Uingereza ilitembelea kilomita 13,000 kutoka kwake kwenda pwani ya Argentina kupigana vita ya Falklands. Argentina wakiwa na ndege za kisasa kipindi kile kutoka France, Super Etendard ambazo hazikuwa hata na miaka 10 tangu zianze kutengenezwa. Argentina wakiwa na one of the best anti ship missiles zile Exocet za Ufaransa hadi leo zinatumika.

Uingereza ilitumia wiki 10 kumaliza vita. Jeshi lake lilivuka maji 13,000km na likashinda. Russia ina miezi 11 inapigana na jirani ambaye hata wanajeshi wake ikiamua wavuke mpaka kwa kuruka kichura wanaweza.

Uzuri wa UK huwa inaprove wrong wanaojifanya wajuaji. Alikuwepo Napoleon Bonaparte, ego kubwa maradufu kupita Putin. Alikuwa anajua hapigiki, basi dharau za kutosha, ikaja Battle of Waterloo kamanda Mwingereza mmoja smart akamtimua Napoleon na kuikomboa Spain, Portugal na kuiepusha Ulaya nzima. Unahisi ni mchezo nchi nane (8) kumpa rank ya Field Marshall Duke Arthur Wellesley, ana batons za Field Marshal nchi zote hizo wakati Field Marshal wengine wana baton moja ya jeshi lao. Tukianza kutaja vyeo vyake alivyopata kihalali tutakesha.

Second World War pale Hitler alijua Britain ni dhaifu. Operation Sea Lion ilifeli hakuna meli ya Ujerumani ilivuka kufika Britain, ikaja The Blitz, ikaja Battle of Britain. Pote uko Nazi Germany ikaangukia pua. Kisha Hitler akaamua avamie nchi dhaifu nyinginezo, akapiga Operation Barbarossa kuitafuta USSR.

Ukweli mchungu msiotaka kuambiwa, Britain ndio ilitangaza vita dhidi ya Ujerumani baada ya uvamizi wa Poland. USSR na Stalin wake walikuwa na non-aggresion pact na Ujerumani maarufu kama Molotov -RRibbentrop pact. Na Marekani ikatangaza vita dhidi ya Ujerumani. UK na USA zilikuja kukomboa mataifa dhaifu ambayo Ujerumani ilivamia na kunyanyasa. Britain na UK wangeamua kuufyata ila sio utamaduni wao, na hata sasa utaratibu ni uleule kwenye Ukraine hii. Hujatuvamia sisi ila cha moto utakipata.

Kuidharau Britain ni kujifurahisha tu. Mjenzi mwenyewe wa Russian Navy ya kwanza kabisa aliacha nchi akaenda kupiga kambi Uingereza akajifunza kuunda meli. Bila Uingereza, Russia melivita sijui ingezijulia wapi. Peter the Great, one of the best Russian Tsars in history aliufyata pale London akapigwa shule jinsi ya kufanya navigation baharini na kuunda meli. Russia ilikuwa na maji mengi haijui kufanya navigation, shukuruni Waingereza ebo!
Hakuna unachokijua.ni bora unyamaze tu, unazidi kujizalilisha
 
Maelezo yako yamekazia nilichokisema MKUU hapo hakuna hata tukio moja ulilonionesha lamwaka 1990s

Unantajia matukio ya 1980s miaka hio nimesema hapo juu kua UK alikua anatisha tena anatisha haswaaa

Huyo UK anaelalama kwamsaada aloutoa hapo KIEV ndio ataweza kusafiri miles hizo kwasasa akaipige ARGENTINA hilo sahau

Halaf ukweli mchungu munaotaka kuukataa nimsaada anaopewa UKRAINE toka NATO nk ndio kikwazo cha RUSSIA hata kama anapigana na jirani yake

Hata US hakupigana na VENEZUELA ila alimtambua GUAIDO kama RAIS vp ule URAIS bado anaoa ama aliogopa msaada wa Tu za RUSSIA zitakua kikwazo kwake

Mwisho UK imebakia historia kwasasa UK ni taifa lakawaida sana vinginevyo nitajie mishen yeyote aloenda akaipiga UK kama UK mwenyewe akaikamilisha kuanzia mwaka 1990s kuja chini huku 2000s

RUSSIA anapambana mwenyewe na kwa 90% anafanikiwa better late than never SYRIA tunaona ASSAD ndio RAIS tunaona VENEZUELA alomkingia kifua ndio RAIS turudi kule GEORGIA na sasa hapo UKRAINE mnasema aapigana mwaka sasa hatujakataa je ASSAD walimtoa baada ya RUSSIA kuingiaaa MADURO je !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea pumba kabisa.yani Argentina ya miaka iyo uje kupiganisha na UK ya miaka iyo alafu utegemee kupata tofauti na ushindi wa UK.ivi huna akili timamu kweli wewe.

Ilo mbona halitaji hesabu nashangaa wewe umeshindwa hata kuona kwa jicho la kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaka 1982 Uingereza ilitembelea kilomita 13,000 kutoka kwake kwenda pwani ya Argentina kupigana vita ya Falklands. Argentina wakiwa na ndege za kisasa kipindi kile kutoka France, Super Etendard ambazo hazikuwa hata na miaka 10 tangu zianze kutengenezwa. Argentina wakiwa na one of the best anti ship missiles zile Exocet za Ufaransa hadi leo zinatumika.

Uingereza ilitumia wiki 10 kumaliza vita. Jeshi lake lilivuka maji 13,000km na likashinda. Russia ina miezi 11 inapigana na jirani ambaye hata wanajeshi wake ikiamua wavuke mpaka kwa kuruka kichura wanaweza.

Uzuri wa UK huwa inaprove wrong wanaojifanya wajuaji. Alikuwepo Napoleon Bonaparte, ego kubwa maradufu kupita Putin. Alikuwa anajua hapigiki, basi dharau za kutosha, ikaja Battle of Waterloo kamanda Mwingereza mmoja smart akamtimua Napoleon na kuikomboa Spain, Portugal na kuiepusha Ulaya nzima. Unahisi ni mchezo nchi nane (8) kumpa rank ya Field Marshall Duke Arthur Wellesley, ana batons za Field Marshal nchi zote hizo wakati Field Marshal wengine wana baton moja ya jeshi lao. Tukianza kutaja vyeo vyake alivyopata kihalali tutakesha.

Second World War pale Hitler alijua Britain ni dhaifu. Operation Sea Lion ilifeli hakuna meli ya Ujerumani ilivuka kufika Britain, ikaja The Blitz, ikaja Battle of Britain. Pote uko Nazi Germany ikaangukia pua. Kisha Hitler akaamua avamie nchi dhaifu nyinginezo, akapiga Operation Barbarossa kuitafuta USSR.

Ukweli mchungu msiotaka kuambiwa, Britain ndio ilitangaza vita dhidi ya Ujerumani baada ya uvamizi wa Poland. USSR na Stalin wake walikuwa na non-aggresion pact na Ujerumani maarufu kama Molotov -RRibbentrop pact. Na Marekani ikatangaza vita dhidi ya Ujerumani. UK na USA zilikuja kukomboa mataifa dhaifu ambayo Ujerumani ilivamia na kunyanyasa. Britain na UK wangeamua kuufyata ila sio utamaduni wao, na hata sasa utaratibu ni uleule kwenye Ukraine hii. Hujatuvamia sisi ila cha moto utakipata.

Kuidharau Britain ni kujifurahisha tu. Mjenzi mwenyewe wa Russian Navy ya kwanza kabisa aliacha nchi akaenda kupiga kambi Uingereza akajifunza kuunda meli. Bila Uingereza, Russia melivita sijui ingezijulia wapi. Peter the Great, one of the best Russian Tsars in history aliufyata pale London akapigwa shule jinsi ya kufanya navigation baharini na kuunda meli. Russia ilikuwa na maji mengi haijui kufanya navigation, shukuruni Waingereza ebo!
Sasa what's your point kwa hili kuhusiana na petro-dollar, Ukraine-Russia war, nato Ukraine proxy war?
 
Mbona hiyo hiyo Uingereza haikuishinda Talban baada kuitembelea maelfu ya kilomita kuwafuata nchini Afghanistan?

Kulinganisha vita ya Ukraine na vita za huko nyuma ndo upumbavu ambao tunaukataa lakini mmekuwa mkijizima data.
Kabla hujalinganisha vita ya Argentina na Uingereza na vita ya Ukraine unaweza kunitajia ni msaada gani wa silaha alio kuwa ana upokea Argentina kama ilivyo kwa Ukraine sasa hivi?

Kinacho fanya vita ya Ukraine kuwa ndefu sio kwa sababu Ukraine ina nguvu au Urusi ni dhaifu bali ni usambazaji wa silaha za nchi za magharibi kwa Ukraine.

Mpaka sasa tangu vita ianze Ukraine imesha zambaziwa silaha zenye thamani ya $75 bilion ambazo ni sawa na bajeti ya ulinzi ya Ufaransa , Uturuki na Israel kwa kuziunganisha kwa pamoja lakini bado hazijafua dafu sasa hivi wana taka kutuma kifurushi kingine.
Kwa msaada wa namna hiyo hata kama ingekuwa Tz au Burundi tungeweza kupambana na taifa lolote lile duniani.

Ukraine kwa sasa ni sawa na mgonjwa mahututi asiye jiweza kwa lolote ambaye hawezi kuishi bila msaada wa mashine ya kupumua ina maana Ukraine anategemea silaha za wamagharibi ili aweze kuendelea na vita tofauti na hapo Ukraine haijiwezi kwa lolote kwa sasa.

Nchi zaidi ya 50 zimeungana kupambana na taifa moja kiuchumi na kijeshi na bado kiuchumi zimesha shindwa na kijeshi ni suala la muda.
Taliban gani iliishinda Uingereza. Sasa Russia haiwezi kuipiga Ukraine hao NATO itawaweza wapi
 
Russia to Expand its Army to 1.5 Million​

WORLD HAL TURNER 17 JANUARY 2023 HITS: 4711
Russia to Expand its Army to 1.5 Million

Russia will be expanding its army to 1.5 million men, and will create two new military Commands near Europe according to Defense Minister Shoigu.
The expansion comes on top of a Mobilization of 300,000 men done last year, and on top of additional troops which came in above those 300,000.
Russia sees itself as being "at war with the collective west" and is now taking actual, tangible, steps to prepare for that war.
New structures in the regions around Moscow, St. Petersburg and Karelia on the border with Finland will be created under the program, Defense Minister Sergei Shoigu told commanders Tuesday, saying the major changes will start this year and continue through 2026. In addition, he said, “self-sufficient” units will be set up on the Ukrainian territories that Russia has annexed.
Kremlin spokesman Dmitry Peskov said the military expansion came in response to the “proxy war” he claimed the US and its allies are waging against Russia in Ukraine.
Hata wakiongeza idadi ikafika million mbili,watazidi kuchapwa tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sasa what's your point kwa hili kuhusiana na petro-dollar, Ukraine-Russia war, nato Ukraine proxy war?
Point yangu ni ukiachana na kuchuuza gesi suala ambalo hata Msumbiji wanaweza hakuna lolote la maana duniani Urusi anaweza leta mbele ya Uingereza, sio kihistoria wala sio kwa dunia ya sasa. Kuidharau Uingereza ni kuidharau Urusi yenyewe, imefundishwa vingi na hata kukombolewa na Uingereza.

Russia hata Turkey anawabishia mara nyingi tu kwenye pande kizani kivita. Ni nchi kubwa kimipaka ila inajipa umuhimu bure. Winter ilifika vipi Ulaya waliganda kama mikwara yenu humu
 
Maelezo yako yamekazia nilichokisema MKUU hapo hakuna hata tukio moja ulilonionesha lamwaka 1990s

Unantajia matukio ya 1980s miaka hio nimesema hapo juu kua UK alikua anatisha tena anatisha haswaaa

Huyo UK anaelalama kwamsaada aloutoa hapo KIEV ndio ataweza kusafiri miles hizo kwasasa akaipige ARGENTINA hilo sahau

Halaf ukweli mchungu munaotaka kuukataa nimsaada anaopewa UKRAINE toka NATO nk ndio kikwazo cha RUSSIA hata kama anapigana na jirani yake

Hata US hakupigana na VENEZUELA ila alimtambua GUAIDO kama RAIS vp ule URAIS bado anaoa ama aliogopa msaada wa Tu za RUSSIA zitakua kikwazo kwake

Mwisho UK imebakia historia kwasasa UK ni taifa lakawaida sana vinginevyo nitajie mishen yeyote aloenda akaipiga UK kama UK mwenyewe akaikamilisha kuanzia mwaka 1990s kuja chini huku 2000s

RUSSIA anapambana mwenyewe na kwa 90% anafanikiwa better late than never SYRIA tunaona ASSAD ndio RAIS tunaona VENEZUELA alomkingia kifua ndio RAIS turudi kule GEORGIA na sasa hapo UKRAINE mnasema aapigana mwaka sasa hatujakataa je ASSAD walimtoa baada ya RUSSIA kuingiaaa MADURO je !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Assad wamtoe ili iweje, kwanini unalazimisha wamtoe. Na level za geopolitics za Russia ni kufanya uvamizi tu na kupigana vita, hakuna kitu cha maana Russia wanaweza fanya kwenye nchi. Hawafanyi investments wala kuongeza trade wala kusaidia kilimo, technology wala elimu. Hata wakija kwenye mikutano na nchi za Afrika agenda zao ni zilezile kuongeza ushirikiano wa kijeshi wauze silaha.

Hiyo ndiyo level ya nchi isiyo top 10 of the greatest economies in the world. Sasa hawa wengine kina UK wanaweza tumia ushawishi aina nyingine tofauti na jeshi hivyo hawalazimiki kila siku kupigana kama Russia. Na UK pale Argentina alienda kwa kuvamiwa, kama unataka kumpima mvamie tena.

Miaka ya 90s si USSR ilivunjika, Russia ikaanza na uchumi mbovu na constitutional crisis, Russia wakapigana wenyewe na Chechnia yao, muda huo UK wanakula maisha. Huo muda hatuwezi linganisha Russia iliyokuwa kwenye migogoro na UK. 2000s wakaufyata, 2008 wakavamia Georgia, 2017 nadhani ndio walienda Syria. 2014 wakachukua Crimea, wakajiona wababe wa dunia. 2022 wakafundishwa adabu hadi leo. Mwanzoni mlianza na mikwara nchi itakayopeleka silaha inapigwa, leo mnalalamika Ukraine inapata silaha. Si superpower nyie, wapigeni hao wanaopeleka silaha
 
Back
Top Bottom