Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
MKUU una matatizo ganiAssad wamtoe ili iweje, kwanini unalazimisha wamtoe. Na level za geopolitics za Russia ni kufanya uvamizi tu na kupigana vita, hakuna kitu cha maana Russia wanaweza fanya kwenye nchi. Hawafanyi investments wala kuongeza trade wala kusaidia kilimo, technology wala elimu. Hata wakija kwenye mikutano na nchi za Afrika agenda zao ni zilezile kuongeza ushirikiano wa kijeshi wauze silaha.
Hiyo ndiyo level ya nchi isiyo top 10 of the greatest economies in the world. Sasa hawa wengine kina UK wanaweza tumia ushawishi aina nyingine tofauti na jeshi hivyo hawalazimiki kila siku kupigana kama Russia. Na UK pale Argentina alienda kwa kuvamiwa, kama unataka kumpima mvamie tena.
Miaka ya 90s si USSR ilivunjika, Russia ikaanza na uchumi mbovu na constitutional crisis, Russia wakapigana wenyewe na Chechnia yao, muda huo UK wanakula maisha. Huo muda hatuwezi linganisha Russia iliyokuwa kwenye migogoro na UK. 2000s wakaufyata, 2008 wakavamia Georgia, 2017 nadhani ndio walienda Syria. 2014 wakachukua Crimea, wakajiona wababe wa dunia. 2022 wakafundishwa adabu hadi leo. Mwanzoni mlianza na mikwara nchi itakayopeleka silaha inapigwa, leo mnalalamika Ukraine inapata silaha. Si superpower nyie, wapigeni hao wanaopeleka silaha
ASSAD Must Go haya maneno siku yasema mie wala sikumwambia RAIS wa US ayatamke haya wakati wamepeleka majeshi SYRIA ila hatimae aameondoka wao na ASSAD yupo pale pale mpaka leo
Mie sio nliotaka wao wenyewe ndio walitaka maana wote walisema ili SYRIA iwe kwenye mikono salama basi ASSAD must GO ila mpaka leo yupo madarakani kwakua waltaka aondoke nahawakumwondoa basi walichemka
Sasa unasema RUSSIA hana analoleta zaidi silaha kila mmoja Analeta anachoona kinampa faida kama mchina analeta mpaka electronic devices basi acha RUSSIA alete kinachofaa kwake maadam kina maslahi kwake
Usilolijua RUSSIA alikua mpaka kwenye g8 mataifa matajiri zaidi duniani kiuchumi taja sababu za KIUCHUMI zilizoitoa RUSSIA hapo
Mgogoro wakikatiba hata huko UK wanapokataa ireland kujitenga upo ila wanatumia mabavu kuzuia hilo
Hata RUSSIA hakupeleka silaha alipeleka jeshi kabisa ambalo lilizuia ASSAD asiondoke na kweli hakuondoka kama wao walikua wanajiamini wangeshambulia majeshi ya RUSSIA
Mwisho kwasasa RUSSI kwenye idara yaushawishi yupo mbele sana dhidi ya UK mfano hii vita nakupanda gharama za maisha lawama zote juu ya RUSSIA nato na UK wamepigana vita ngapi na hukuona haya
Sent using Jamii Forums mobile app