ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Japo inakuuma lakni vumilia ukiwa na cha kumpinga ameorodhesha kila kitu vipinge kwa uchambuzi wako tumzomee.
Japo inakuuma lakni vumilia ukiwa na cha kumpinga ameorodhesha kila kitu vipinge kwa uchambuzi wako tumzomee.
Hana anacho jua na ndio maana ss tunao jua atutaki apotoshe watu.Mnatakiwa na nyie mjenge hoja zenu zenye uhalisia kwenye kumkosoa, ila mnapombeza au kutukana tu bila kujenga hoja mnaonekana mna chuki tu kwa yeye kufahamu mengi kuwazidi.
Baadhi ya maoni ya wadau kuhusu helicopterView attachment 2486094View attachment 2486095Mmmhhh hpo kwl hakuna maswala ya ujasusi kwl maana ha ni viongoz wakubwa na tension iliyopo kwa Sasa kl kitu kinafanyika kwa umakin mkubwa Sana huyo itakua ameuawa na warusi Sasa zele inabid ajipange Sana mdayc mrefu na yy atauwa
Nyie warusi wa buza ni siku chache tu zilizopita mlikuwa mnalalamika kuhusu kila jambo BAYA au ajali inayotokea huko urusi kuhusishwa na vita ya Ukraine.., naona Sasa mnaanza kurudia matapishi yenu[emoji16]Mmmhhh hpo kwl hakuna maswala ya ujasusi kwl maana ha ni viongoz wakubwa na tension iliyopo kwa Sasa kl kitu kinafanyika kwa umakin mkubwa Sana huyo itakua ameuawa na warusi Sasa zele inabid ajipange Sana mdayc mrefu na yy atauwa
Unachokijua umjibu, kama umeandika hivi sasa tujue wewe unajua?Hakuna unachokijua.ni bora unyamaze tu, unazidi kujizalilisha
NATO hawana budi kupeleka jeshi huko Ukraine.., comedian zelensiky tu anatosha kumtoa kamasi super pawer,Well said, wafanye kama Russia alivyofanya. Russia ni kidume bana tuache masihara
Mpinge kwa unachokijua.Huyu mwamba ndio maana ninamwambia yeye ni kilaza yeye ana jiona anajua kumbe debe tupu
Ukraine anamtosha mkuu.., NATO kuingiza jeshi huko Ukraine Ili kupigana na urusi ni sawa na kumuua nzi kwa lisasi!!Russia ni dubwana kubwa kama mbuyu unaweza kuuzunguka lakini KUUKUMBATIA NI MTIHANI.... NATO wanazunguka tu hawewezi KUUKUMBATIA
Wanajitahidi kuutikisa ila wanajikuta matako yao yanatikisikaRussia ni dubwana kubwa kama mbuyu unaweza kuuzunguka lakini KUUKUMBATIA NI MTIHANI.... NATO wanazunguka tu hawewezi KUUKUMBATIA
Ingekuwa ni waziri wa mambo ya ndani wa Russia na hao senior officials ndio wamekumbwa na hiyo dhoruba,Pro NATO humu kelele zenu sipati picha!Hata waliokimbia Uzi wangerudi!Nyie warusi wa buza ni siku chache tu zilizopita mlikuwa mnalalamika kuhusu kila jambo BAYA au ajali inayotokea huko urusi kuhusishwa na vita ya Ukraine.., naona Sasa mnaanza kurudia matapishi yenu[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
MKUU una matatizo gani
ASSAD Must Go haya maneno siku yasema mie wala sikumwambia RAIS wa US ayatamke haya wakati wamepeleka majeshi SYRIA ila hatimae aameondoka wao na ASSAD yupo pale pale mpaka leo
Mie sio nliotaka wao wenyewe ndio walitaka maana wote walisema ili SYRIA iwe kwenye mikono salama basi ASSAD must GO ila mpaka leo yupo madarakani kwakua waltaka aondoke nahawakumwondoa basi walichemka
Sasa unasema RUSSIA hana analoleta zaidi silaha kila mmoja Analeta anachoona kinampa faida kama mchina analeta mpaka electronic devices basi acha RUSSIA alete kinachofaa kwake maadam kina maslahi kwake
Usilolijua RUSSIA alikua mpaka kwenye g8 mataifa matajiri zaidi duniani kiuchumi taja sababu za KIUCHUMI zilizoitoa RUSSIA hapo
Mgogoro wakikatiba hata huko UK wanapokataa ireland kujitenga upo ila wanatumia mabavu kuzuia hilo
Hata RUSSIA hakupeleka silaha alipeleka jeshi kabisa ambalo lilizuia ASSAD asiondoke na kweli hakuondoka kama wao walikua wanajiamini wangeshambulia majeshi ya RUSSIA
Mwisho kwasasa RUSSI kwenye idara yaushawishi yupo mbele sana dhidi ya UK mfano hii vita nakupanda gharama za maisha lawama zote juu ya RUSSIA nato na UK wamepigana vita ngapi na hukuona haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Kiswahili kweli?NATO hawana budi kupeleka jeshi huko Ukraine.., comedian zelensiky tu anatosha kumtoa kamasi super pawer,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na yupo anakula upepo kwenye bustani yako bila kisahau kuwa kalala na mkeo tayari we unabaki kusema jamaa mwenyewe kitandan ni mbovu sana hajui kituUnasema haya wakati unajua kabisa huyo unayemdharau keshateka vyumba vinne kwenye nyumba yako na kuviita kuwa vya kwake na hauna uwezo wa kumtoa na kila siku unalilia kupewa silaha!
We jamaa kuna kuna gia zinachomoka mtu amezaa na mke wako watoto wanne we bado umekazana kumsema jamaa eti ana tatizo la nguvu za kiumeUrusi anachapwa na Ukraine tu, hao wengine usiwasingizie [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi huyo jamaa nimemuignore kitambo pamoja na wengine ambao naona hawana facts na shabiki bila facts haijalishi ni Pro NATO ama Pro RussiaWe jamaa kuna kuna gia zinachomoka mtu amezaa na mke wako watoto wanne we bado umekazana kumsema jamaa eti ana tatizo la nguvu za kiume
Good!!!!... Then they will burn like the rest" will burn just like the rest" huku lengo la kumpigisha danadana super pawer wa kuchonga likiendelea kutimia..,kazi ya silaha ni kutumika Mzee.., iwe kwa kulipuliwa na adui.kutekwa na adui,au kuharibika vitani..,hukujua Hilo?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimpinge nini sasa nawakati namuona muongoMpinge kwa unachokijua.
Hii vita inaenda kuwa kubwa, ni world war 3 in slow motion,, Russia hatakubali kushindwa,, hii ni existential threat kwa Russia na kwa US pia,,