LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
masikini dah! halafu mjinga mmoja yuko kwenye bunker kremlini kajilewea zake vodka anamwaga pumba hadharan
haya sasa mtoto mdogo huyu kadakwa
 
Chai
 
Mlitaka URUSI apige kila sehemu kama USA na NATO??
 
ni kama marekani anaogopa kushutumiwa na urusi
kwamba anaisaidia ukraine hizo ndege vita,
lakin mkuu
mbona hiyohiyo marekani na nchi kibao zinapeleke siraha za kila aina kwa uwazi na kujitangaza pia,
sasa hizo ndege mbona kama wanaziogopa,
ha
likin mkuu,
mbona marekani na nchi kibao2 zimeshashiriki kuipatia ukraine silaha pasipo kujificha yaan wanatangaza kabisa,
je huu si uchokoz wa wazi dhidi ya urusi?
halafu hizo ndege kama wanaziogopa hadi kufikia hatua ya kuanza kurushiana mpira.
mbona siraha zingne wanazituma kila cku,
hzo ndege zina nini cha ziada hadi warushiane mpira kati ya
poland na usa,
 
Kadanganye wenzako pale Riverside, hapa tupo tunaojielewa kenge wewe.
Sasa ulitaka nikuambie nini ili uelewe, kwamba hawawezi kutuma pesa popote, ni uongo? Swift system doesn't work, Russians can't send more than $10,000 abroad, nao ni uongo?

Kumbe huwa unaenda riverside kujiuza mzee, pole sana Ila mimi sio kenge, najadili na wanaojielewa. BTW, I work for the Russians, sijui unataka nini kingine. Na sifanyi mijadala na wasiojielewa.
 
Hii picha inaonesha vile marekani na poland zinavyo ogopa kuipa ndege ukraine kwa ha ha ha ha ha kila mtu anamsakizia mwenzaka putin shikamoo
 
Maelezo mafupi sana kwenye hilo. EU, NATO members na wengineo wanatoa defensive weapons sio offensive weapons. Hizo anti tank na anti aircraft missiles ni defensive, Russia akija kuvamia zinasaidia kumzuia ila haziwezi tumika kumvamia kwakwe. Huwezi enda vamia kwa mtu ukiwa na ngao badala yake unaenda na mkuki yeye ndio atatakiwa atumie ngao.

Sasa hizi ndege ni offensive maana kwa upande wa ulinzi Ukraine ana S-300 na mifumo mingine na MANPADS pia tena nyingine nyingi kaongezewa. Kumpatia Ukraine ndege atazitumia kushambulia hata silaha zilizoko Urusi au Belarus na inakuwa kitu kingine hapo. Afghanistan kule Marekani alitoa MANPADS kwa Mujahideen wakapigana wenyewe na Soviet Union. Korean war na Vietnam war Marekani ilitoa ndege na Soviet wakatoa ndege mwishowe wakakutana kwenye battlefield. Sasa hapa wakikutana kwenye mapigano Russia anakuwa nyumbani ukimvamia kwake ni kitu kingine hapo
 
Peskov, commenting on proposals for the nationalization of companies that left the Russian Federation, said that all options for responding to sanctions and the development of events are being worked out at the government headquarters.

 
The decision to transfer MiG-29 fighter jets from Poland to Ukraine is in the hands of the United States and NATO, the Polish prime minister said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…