Tunawaondoa raia kwenye Uwanja wa mapambano kwanza.Jukwaa naona limeshaanza kukosa msisimko na amshaamsha. Hatuona tena vita ya silaha zaidi ni vita ya porojo tu sasa. Wapi rocket zikirushwa, wapi vifaru vikilipuliwa, wapi ndege vita zikikwepa kutunguliwa. KAMA GAME IMEISHA TUJUE TUENDELEE NA MENGINE Aaaaah!
US and its allies continue to supply weapons to Ukraine on a daily basis and increase humanitarian aid - BidenView attachment 2143601
RUSSIA AKI SURVIVE HAYA MAPITO YEYE MWANAUME.
The main thing from Biden's statements about the new anti-Russian sanctions:
- The United States prohibits the import of energy products from Russia;
- Biden understands that allies in Europe will not be able to join this ban;
- The states should become an energy independent country. Now they are discussing with the EU the prospects for their withdrawal from Russian oil and gas;
- gasoline prices in the United States, according to Biden, will continue to grow due to anti-Russian sanctions;
- US authorities urge the private sector not to inflate prices because of this. They intend to fight speculators;
- The United States will fulfill its collective defense obligations in NATO;
βRussia seeks to keep Ukraine under control, but will never be able to achieve t
Putin?Bora ulivyosema hujui....
Kwani kati ya Russia na hao Ukraine Nationalist nani ana sera za kifascist?
Jukwaa naona limeshaanza kukosa msisimko na amshaamsha. Hatuona tena vita ya silaha zaidi ni vita ya porojo tu sasa. Wapi rocket zikirushwa, wapi vifaru vikilipuliwa, wapi ndege vita zikikwepa kutunguliwa. KAMA GAME IMEISHA TUJUE TUENDELEE NA MENGINE Aaaaah!
Kaka tulia sikio halizidi kichwa kabla ya USA hajawa superpower Urus alikuwa kwenye Usukani.Russia sio wajinga wala wapumbavu kwamba hawakujua vikwazo havitakuwepo,na Urusi sio North Korea au Irani-ndio ataathirika na vikwazo lakini sio kwa kiwango hicho ambavyo western media inatudanganya.Kwa hali inavyozidi kwenda nashawishika kusema kuwa katika huu mgogo inaweza kuwa ndio njia ya ANGUKO LA DOLA LA RUSSIA. Japo natamani sana dunia isiwe na Mbabe mmoja lakini huu ni UKWELI MCHUNGU. Mwenye macho sahihi, mwenye masikio kwa yanayoendelea atakubali tu kuwa ni ngumu Russia kuhimili hii vita. Russia angeweza kuhimili hii vita hata kushinda kama kusingelikuwa na suala la vikwazo vinavyogusa uchumi wake kwa kiasi kikubwa hivyo. ATAJIKAKAMUA SANA LAKINI ITASHINDIKANA TU.
Pia huu mgogoro umedhihirisha ni namna gani USA alivyo Mkubwa kuliko nchi yoyote Dunia hii kwasababu alichokifanya Russia ndicho hichohicho alichofanya Marekani sehemu nyingi lakini hakuna Mbwa yeyote aliyebweka na hata Umoja wa mataifa. Na hata miaka ya mbeleni atafanya kama hiki cha Russia na hakuna wakumzuia au kuzuia biashara zake.
Pro Russia wenzangu tuzitendee haki akili zetu kuukubali ukweli. Russia itashinda tu iwapo ndivyo Mungu alivyopanda(Miujiza) lakini KWA HESABU ZA KIBINADAMU HAIWEZEKANI
Hii ni outdated, sio ya leo wala jana. Tunataka vya motomoto. Au Russia pumzi imekata sasa anazuga na vikao vya vya majadiliano na Ukraine.View attachment 2144483BAsi uone unachotaka. Unaridhika, je? (ingawa hazikuharibika, zimeachwa tu na wanajeshi Warusi...)
Kwani wewe Nyerere alipoivamia Uganda watanzania wote walikubaliana nae??,kuna interest nyingi za Nchi sio lazima imsikilize kula MTU watu huja na kuondoka Nchi na vizazi vitaendelea milelel.Putin anapingwa na raia wake mwenyewe,raia wa Ukraine,na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla wake,hawezi shinda hivi vita:
Assume mwanajeshi wa Urusi amkute huyu bibi, akilinda nchi yake halafu ampige risasi.Hii laana itamtafuna mpaka aingie kaburini!
This is the 68-year-old Ukrainian Kateryna Bilyk who protects her Homeland.
DON'T SCROLL BY WITHOUT WRITING RESPECT!View attachment 2144263
Basi taarifa ya leo (09.03.22).Hii ni outdated, sio ya leo wala jana. Tunataka vya motomoto. Au Russia pumzi imekata sasa anazuga na vikao vya vya majadiliano na Ukraine.
Sio ujinga ndugu yangu jaribu kufuatilia utagundua tu.Achaga Ujinga kijana lete facts usiongee Pumba kwanza Hao unowasema wapo mbali na haya Mambo mna hayatusaidii chochote ktka Ibada zetu
Chuki zako zitakukondesha
Kumbe Nyerere alisema eti Uganda si nchi, inahitaji kurudishwa nyumbani??? (hii ni ambacho Putin anasema kuhusu Ukraine)Kwani wewe Nyerere alipoivamia Uganda watanzania wote walikubaliana nae??,kuna interest nyingi za Nchi sio lazima imsikilize kula MTU watu huja na kuondoka Nchi na vizazi vitaendelea milelel.
Wamalizane wapi....Urusi hovyo, wewe uliona wapi baba kumpiga mtoto na marungu,mapanga,magongo nk!!Bado tu hawajamalizana?
Wamalizane wapi....Urusi hovyo, wewe uliona wapi baba kumpiga mtoto na marungu,mapanga,magongo nk!!
Sasa mtoto ataanza kumvizia baba mwenye bastola na manatiπ π π
Halafu mtoto alivyokosa adabu sasa yeye anapiga korodani sometime anashika dushe la baba ananingi'nia kama bembea sometime anamtupia baba pilipili/mchanga machoni.Toto Yukren hili halifai kabisaπππWamalizane wapi....Urusi hovyo, wewe uliona wapi baba kumpiga mtoto na marungu,mapanga,magongo nk!!
Sasa mtoto ataanza kumvizia baba mwenye bastola na manatiπ π π