Mkuu, jielimishe kidogo. Ukraine si mtoto wa Urusi. Habari hii unapata wapi???Halafu mtoto alivyokosa adabu sasa yeye anapiga korodani sometime anashika dushe la baba ananingi'nia kama bembea sometime anamtupia baba pilipili/mchanga machoni.Toto Yukren hili halifai kabisa😛😀🙄
Hawa Georgia Wana bifu na mrusi kwa sababu akishawatandika
Ki silaha anafananishwa na mtoto kwa Urusi...Mkuu, jielimishe kidogo. Ukraine si mtoto wa Urusi. Habari hii unapata wapi???
Kuna watu ni wabishi sana ,hawaamini kama Urusi naye anatandikwa .Hii ni takwimu kulingana na Jeshi la Ukraine Leo hii.Kama utabisha wanaruhusu ukatafute chanzo chako unachoota Cha uhakika:
......
Today's Urkrainian defense reports
Verified by actual Urkrainians, in Ukraine. The source os clearly listed in the graphic, feel free to find your own sources.
These are the indicative estimates of Russia's losView attachment 2144522ses as of March 9, according to the Armed Forces of Ukraine.
Jamaa kapigwa na vitu vizito ,wamejitahidi kufunga damu isitoke ila hamna jinsi
Sasa vita imeshatokea, je wasiposhabikia ndio vita vitakwisha?Halafu kuna vijana wajinga wanakaa sebuleni kwa shemeji zao wanakaa hapa wanaanza kushabikia vita
Na hiki ndio walichokuwa wanakitaka ila Nord stream 2 litafufuka ngoja tuwatwange wakina yuda.
Watu sio hawaamini kuwa kuna askari wa Urusi wanauawa, lkn kwa jinsi mnavyosema kuwa Urusi imezidiwa wakati kila uchao jamaa wanachukua maeneo ya Ukraine. Hapo ndio shida huanza, semeni hivi pamoja na Urusi kushambulia sana ila pia na wao wanapoteza angalau askari wao.Kuna watu ni wabishi sana ,hawaamini kama Urusi naye anatandikwa .
Ukiangalia ukraine video wanazopost instagram kwenye account yao ya Ukraine Defence hutabisha ,vifaru nyingi na helicompters za urusi zimedunguliwa sana
Kwani wewe Nyerere alipoivamia Uganda watanzania wote walikubaliana nae??,kuna interest nyingi za Nchi sio lazima imsikilize kula MTU watu huja na kuondoka Nchi na vizazi vitaendelea milelmilele
😂😂😂Kuna Watu wanaona Warusi ni malaika ni kama vile miili Yao haingii risasi!!Kuna watu ni wabishi sana ,hawaamini kama Urusi naye anatandikwa .
Mkuu I'm sure Ukraine wengi pia wamekufa lakini takwimu hizi za kusema Urusi wamekufa 12,000 + na Ukraine 400+ siziamini kwasababu kwenye majengo na makazi ya watu wapo wengi kuliko hao wanaovamia . Ila Ukraine naye si wa kitoto au legelege kama tulivyomchukuliaWatu sio hawaamini kuwa kuna askari wa Urusi wanauawa, lkn kwa jinsi mnavyosema kuwa Urusi imezidiwa wakati kila uchao jamaa wanachukua maeneo ya Ukraine. Hapo ndio shida huanza, semeni hivi pamoja na Urusi kushambulia sana ila pia na wao wanapoteza angalau askari wao.
Achana nae huyo,hawa ni wale maisha yao wanategemea mshahara mwisho wa mwezi kutoka kwa mwajiri,hawezi kuelewa kama kuna watu wana connection kubwa za kikazi/kibiashara.Tatizo tukiwa tunacomment hapa wote watu wanachukulia tuko sawa,kumbe nnje ya JF tunatofautiana sana kimaisha.Unadhani kila mtu amekaa hapa jobless anapunguza stress kwa kuandika chai sio, grow up!
Tusiongelee personal lives za watu hapa coz hazisaidii chochote, Ila I have strong ties with Russians.
Nachoona Putin atapoteza wanajeshi wengi,wengi watakaoenda Ukraine asilimia kubwa hawatarudi hai[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Watu wanaona Warusi ni malaika ni kama vile miili Yao haingii risasi!!
Putin kutumia nguvu kubwa kushambulia miji ya Ukraine Mpaka maeneo ya raia kama hospital ni dalili ya maji kufika shingoni!!
Kaka ongea uhalisia,kumbuka Historia ya Tanzania na Uganda ni tofati na historian ya Russia na Ukraine.Kumbe Nyerere alisema eti Uganda si nchi, inahitaji kurudishwa nyumbani??? (hii ni ambacho Putin anasema kuhusu Ukraine)
kama Nyerere hajasema hayo, kwa nini unawalinganisha vile?
Si jeshi la Uganda lilivamia Kagera, na BAADAYE nyerere aliamua kumwondoa mshambulizi? (au nimekosa????)
Ukraine ilivamia Urusi lini ???
Kaka, labda upumzike kidogo, jitafutie kitabu cha historia unyoshe elimu kidogo. Sawa?
(itakusaidia pia kujua kwamba Sebastian Kuru aliondoka uchansela wa Austria mwaka uliopita, hayuko tena jinsi unavyotangaza chini ya post zako )
😉
kilichokufanya uone hii ni chai ni kipi sasa,kwani ni uongo kuwa kwa sasa Russia huwezi kuchukua zaidi ya USD 10,000 mbona hata NYUNDO YA MOTO katika updates zake ameshaiweka hapa.Chai
Mkuu mbona Nyerere alikuwa na sababu za msingi kujibu mapigo ya Iddi Amini? Kavamia Kagera ambayo ni part ya Tanzania. Sasa je Kagera ichukuliwe? Kagera ilivamia Nyerere akajibu mapigoKaka ongea uhalisia,kumbuka Historia ya Tanzania na Uganda ni tofati na historian ya Russia na Ukraine.
Kiufupi katika ugomvi wa Tanzania na Uganda,mwenye makosa ni Nyerere alimkumbatia Obote ambaye ni Adui wa IDD Amin-ndio maana Idd amin alianza mikwaruzano kuichukua Kagera kumshinikoza Nyerere kutomkumbatia Obote.Idd Amin aliamini as long as Obote yupo kwa jirani take (Tanzania) basi Utawala wake upo mashakani.
Hivyo hivyo hii case inafanana kabisa na Russia na Ukraine
Hapo sentensi ya mwisho walau mnaanza kukubaliana na uhalisiaMkuu I'm sure Ukraine wengi pia wamekufa lakini takwimu hizi za kusema Urusi wamekufa 12,000 + na Ukraine 400+ siziamini kwasababu kwenye majengo na makazi ya watu wapo wengi kuliko hao wanaovamia . Ila Ukraine naye si wa kitoto au legelege kama tulivyomchukulia
Warusi wanakufa.. Hakuna ubishi😂😂😂Kuna Watu wanaona Warusi ni malaika ni kama vile miili Yao haingii risasi!!
Putin kutumia nguvu kubwa kushambulia miji ya Ukraine Mpaka maeneo ya raia kama hospital ni dalili ya maji kufika shingoni!!
Mkuu mi kuanzia mwanzo niliona dalili kwamba Ukraine siyo kirahisi hivo. Watu wanasema Ukraine wanafanya propaganda but tunaona video za kwenye uwanja wa vita wakiteka vifaru ,wakitungua ndege, wakiua warusi ,lakini upande wa pili wanachoonyesha ni mabomu yakitua kwenye majengo. Technically Russia anasifiwa tu maana kama Georgia alimtoa kamasi sembuse UkraineHapo sentensi ya mwisho walau mnaanza kukubaliana na uhalisia