Ukifuatilia CNN, BBC, SKY NEWZ utaona kabisa URUSI amezidiwa pakubwa.Nachoona Putin atapoteza wanajeshi wengi,wengi watakaoenda Ukraine asilimia kubwa hawatarudi hai
Kujificha kwenye makazi ya raia ni techniques za vita ndugu, unataka waje mbele vifua wazi? Kwani wao kwenye makazi ya watu walikuwa wanaelekea wapi? Je askari wa Ukraine siyo jukumu lao kulinda raia wao?Warusi wanakufa.. Hakuna ubishi
Hata ndege zao zinatunguliwa.. ila wanazo nyingi..
Kitu ambacho sio kizuri na hakisemwi ni baadhi ya askari wa Ukraine kushambulia warusi huku wakiwa karibu na majengo ya raia.
Askari wengine wa Ukraine wanajificha kwenye majengo ya raia wakiwa na ant tanks.. Sasa Mrusi akijibu inaonekana anashambulia raia..
Hili halisemwi ili likomweshwe ili raia wasichanganywe na wajeshi
Kyiv independent waongo somehow. Nimeacha kuwategemea wao tu bila source nyingineHii ni takwimu kulingana na Jeshi la Ukraine Leo hii.Kama utabisha wanaruhusu ukatafute chanzo chako unachoota Cha uhakika:
......
Today's Urkrainian defense reports
Verified by actual Urkrainians, in Ukraine. The source os clearly listed in the graphic, feel free to find your own sources.
These are the indicative estimates of Russia's losView attachment 2144522ses as of March 9, according to the Armed Forces of Ukraine.
Mlisema tar 3 Kieve inatekwa,labda channels zipi we unazoangalia maana karibia zote naziangalia ,kila upande inafanya propaganda onyesheni basi askari wa ukraine wakitekwa siyo manenoUkifuatilia CNN, BBC, SKY NEWZ utaona kabisa URUSI amezidiwa pakubwa.
Ila kwa ground UKRAINE hawapumui, viwanja vya ndege, miundombinu, kambi zao nk ziko vibaya muda huu.
Vita sio kitu ambacho utafucha, matokeo yanaonekana wazi kuwa UKRAINE hali yake ni mbaya, hadi Raia wanashika bunduki maana yake wamepoteza askari wengi sana.
Na muda huu hawavai kombat ili kujichanganya na Raia na ndio maana Urusi akapendekeza Raia waondolewe, mtakuja hapa kulalamika miji ya Ukraine kuwa vifusi muda si mrefu.
Uko sahihi, Siku mbili Hiyo habari imerudiwa.kilichokufanya uone hii ni chai ni kipi sasa,kwani ni uongo kuwa kwa sasa Russia huwezi kuchukua zaidi ya USD 10,000 mbona hata NYUNDO YA MOTO katika updates zake ameshaiweka hapa.
Mkuu tushaelewa hapa nani ana shida,achana nae,huhitaji wala kuendelea na majibizano nae.Kama mtu anabishia hata facts zilizo wazi utafanya nini ili akuelewe zaidi ya kuambulia lugha ya maudhi kama ndiyo silaha yake ya mwisho.Sasa ulitaka nikuambie nini ili uelewe, kwamba hawawezi kutuma pesa popote, ni uongo? Swift system doesn't work, Russians can't send more than $10,000 abroad, nao ni uongo?
Kumbe huwa unaenda riverside kujiuza mzee, pole sana Ila mimi sio kenge, najadili na wanaojielewa. BTW, I work for the Russians, sijui unataka nini kingine. Na sifanyi mijadala na wasiojielewa.
Kama nani Sasa ?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wenye Akili wamenielewa
Inaonekana wengi wetu huwa hatusomi unachotuwekea hapa kama Updates,matokeo yake ndiyo haya sasa kubishia hata vitu vilivyo wazi kabisaUko sahihi, Siku mbili Hiyo habari imerudiwa.
Kumbe hata hujielewi, Waukraine wanavua magwanda ya jeshi kisha wanajichanganya na raia mitaani au kwenye huduma za kijamii na kuwafanyia ambush warusi huku wakizuga kama raia. Lakini kumbuka pia kuna raia wa ukraine wanazo silaha za vita wanafanya ambush kwa warus unategemea mrusi afanyeje. Ndio mana amewahimiza raia wasiotaka madhara waondoke ukraine na wewe mwenyewe unaona wanavohama ukraine. Then utaona kyiev inavochukuliwa through total war. Sahivi mrusi anatumia akili kuubwa sana kuepuka masacre.😂😂😂Kuna Watu wanaona Warusi ni malaika ni kama vile miili Yao haingii risasi!!
Putin kutumia nguvu kubwa kushambulia miji ya Ukraine Mpaka maeneo ya raia kama hospital ni dalili ya maji kufika shingoni!!
Kwa hiyo akisema anafanya na Warusi bila ushahidi kuweka tutamwamini na kumuelewa?Sasa ulitaka nikuambie nini ili uelewe, kwamba hawawezi kutuma pesa popote, ni uongo? Swift system doesn't work, Russians can't send more than $10,000 abroad, nao ni uongo?
Kumbe huwa unaenda riverside kujiuza mzee, pole sana Ila mimi sio kenge, najadili na wanaojielewa. BTW, I work for the Russians, sijui unataka nini kingine. Na sifanyi mijadala na wasiojielewa.
Atakwambia angalia RT ndiyo inasema ukweli 🙂Mlisema tar 3 Kieve inatekwa,labda channels zipi we unazoangalia maana karibia zote naziangalia ,kila upande inafanya propaganda onyesheni basi askari wa urusi wakitekwa siyo maneno
Mimi hata kwa asilimia moja siwaamini kabisa...they are devilsFunzo lingine kubwa linalopatikana kwenye mzozo huu, bila kujali nani atashinda ni kuwa: Usiwaamini mataifa ya magharibi kwa asilimia 100. Ni wanafiki, wana double-standards, kampuni zao za kimataifa (MNEs) ni state owned kama za China tu.
Wanabagua watu kimadaraja. Ishi nao kwa akili!
Sawa mkuu, hiyo technique sio nzuri..Kujificha kwenye makazi ya raia ni techniques za vita ndugu, unataka waje mbele vifua wazi? Kwani wao kwenye makazi ya watu walikuwa wanaelekea wapi? Je askari wa Ukraine siyo jukumu lao kulinda raia wao?
Mtoto mtovu wa nidhamu utamchekea?Wamalizane wapi....Urusi hovyo, wewe uliona wapi baba kumpiga mtoto na marungu,mapanga,magongo nk!!
Sasa mtoto ataanza kumvizia baba mwenye bastola na manati [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe umeamini propaganda outlet ya Ukraine?Hii ni takwimu kulingana na Jeshi la Ukraine Leo hii.Kama utabisha wanaruhusu ukatafute chanzo chako unachoota Cha uhakika:
......
Today's Urkrainian defense reports
Verified by actual Urkrainians, in Ukraine. The source os clearly listed in the graphic, feel free to find your own sources.
These are the indicative estimates of Russia's losView attachment 2144522ses as of March 9, according to the Armed Forces of Ukraine.